basi

  1. L

    Kama Kocha Fahdu analipwa mamilioni kwa mpira huu basi viongozi wa Simba mjitafakari sana

    Sijaona uwezo wa kocha kabisa na kunifanya niamini kweli Simba inae kocha, tulicheza na Pamba tukashambuliwa hivi hivi Kama sio uhodari wa kipa Camara Leo Bravos alikuwa anatudhalilisha. Kwanza Fahdu hajui kupanga kikosi kabisa zaidi ya kubahatisha, pili timu inacheza kwa kiwango cha chini mno...
  2. Kama nyani alibadilika akawa binadamu ni kwanini nyani na sokwe wa sasa hawabadiliki tena kuwa binadamu?

    Ndugu zangu. 1: Tukiachana na maswala ya kidini, historia inatuambia binadamu wa kwanza alikua ni nyani / sokwe /chipanze, sasa kama kweli binadamu tulikua ni manyani ni kwanini nyani / sokwe tunaowaona sasa hivi hawabadiliki kua binadamu na wala hawakatiki tena mikia na kua na mwili na utashi...
  3. We do design and construction services

    WE DO DESIGN AND CONSTRUCTION SERVICES APPARTMENT VILLA EACH UNIT 2BEDROOM PLOT SIZE 20X30M CALL/WHATSAP +255624004650 VISIT OUR OFFICE SINZA PALESTINA
  4. Kama hili tukio ni la kweli basi iko siku na mimi litanitukia!

    Sijui ni madini gani hayo, lakini naamini yatakuwa ya thamani sana. "Kesho" nikikutana nayo shambani kwangu sitayaacha. 1. Ni madini gani hayo? 2. Hiyo video ni halisi au ni ya kutengenezwa? 3. Tanzania kuna madini kama hayo?
  5. Uhalifu wa mitandaoni tanzania basi tena!!!! 2024 /2025

    Serikali nchini Tanzania imeamua kuunda kikosi Kazi maalum cha kufuatilia makosa yote ya uhalifu mtandaoni, baada ya kufanyika mkutano wa wadau wa mawasiliano Jana novemba 22 mwaka 2024. Mkutano ulifanyika makao makuu ya mawasiliano Tanzania (Tcra) , Dar es salaam ukihudhuriwa na Waziri wa...
  6. Nasema hivi, kama upo nafasi unapata maslahi ya kukutosheleza wewe, familia na akiba yako, basi ishikilie, maana kwa hali hii wewe ni special

    Acha majivuno ndugu, acha umwamba, acha "usimba", sio wewe, ni hio bahati pekee ya mafanikio, kuwa grateful sio kwa aliekupa mchongo tu hata kwa sisi tunaojipitisha tu maana njaa zetu zikikupata hata ghafla utageuka chizi. Mfundishe mkeo asiwadharau wake za wengine kisa wamesuka njia moja ya...
  7. Alhamdulilah tumeshinda tumegubikwa na gumbizi la ushindi ila Morroco asirudue tena kupaki basi mapema zikiwa zimebaki dk 25

    Leo kama goli lingerudi angemezwa timu ameirudisha nyuma mapema sana dk 25 ni nyingi kwa timu zenye wabunifu huu mtindo wa mwalimu kujilinda kwa kutia mabeki wengi anakosea sana ni vyema timu imeshinda watu hawakuiona tena hayo mapungufu. Tunakwenda afcon atakutana na Misri au senegal kwa...
  8. Basi la Shabiby lilipata ajali jana Novemba 18, 2024 Tunduma

    Basi la Kampuni ya Shabiby inayofanya safari Sumbawanga-Dodoma ilipata ajali eneo la mizani ya Nkangamo Tunduma. Kwa inavyoonekana na ni kama lilianguka lenyewe. Nitaupxate kadri taarifa zitakavyopatikana Wakuu.
  9. Shetani, kwa nini haukuomba msamaha yaishe? Ulipewa nafasi ya kujirudi au basi tu na wewe ulikuwa mhanga wa Matrix? Au ni kiburi chako tu?

    Eeh Mungu nisamehe kama ninakufuru!! Like nini haswa kilikuwq nyuma ya shetani kuasi. Alipata hamasa binafsi au kulikuwapo na mamlaka nyingine iliompa hamasa ili washirikiane kumpindua Mungu pamoja kwa ahadi ya vikubwa zaidi ya vile mwenyezi Mungu alivyokuwa amempa. Is lucifer, satan? Au...
  10. Kuanzia sasa mimi na wanawake basi, inatosha!

    Maybe haya mambo ya mahusiano sio fungu langu, maybe nalazimisha nisipopendwa, ila ninachojua ni kwamba, umri wa kuishi wa binadamu ni miaka 70, acha huu muda uliobaki ni-enjoy mwenyew bila stress. Ningekuwa nina kilema ningejua sababu ni nn, ningekuwa maskini ningejua shida iko wapi, ila wapi...
  11. Kama hauuzi basi usiinadi sasa rafiki

    KAMA HAUUZI BASI USIINADI SASA RAFIKI Kama sehemu zako za..sio njia yako namba moja ya uchumi basi acha kujinadi. Naam kila mwanamke anapata pesa kupitia huo...wake Penginepo kwa kuhongwa ama kupata huduma kwa mume wake. Akimhudumia kama mke Lakini kama wewe hutumii sehemu zako hizo kama...
  12. Ukibaini umekosea chaguo/njia basi usiogope kuanza upya.

    Ukibaini umekosea chaguo/njia basi usiogope kuanza upya, maana hata watu sahihi au wema hukosea chaguo kwasababu ya ubinadamu walioumbwa nao au wamesababishiwa na mtu Mahusiano yanatakiwa yawe daraja la maisha yako wala si ukuta wa kufupisha au kuharibu maisha yako. Ukiona mahusiano uliyonayo...
  13. T

    Hoja ya ratiba kubana haina mashiko! Basi hakuna haja ya kusajili wa

    Ebu tuingie Kwa undani Kuhusu malalamiko ya timu kulalamika kuwa ratiba inabana Kwa kucheza Michezo baada ya siku 3. Kila Timu inatakiwa KUSAJILI wachezaji 30. Wenye mpira Wao sio wapumbavu kwa kutaka kila Timu isajili hiyo idadi ya wachezaji. Inapotokea Timu KUSAJILI idadi ya wachezaji chini...
  14. Ukiwa kila siku unapata Furaha basi hutoona thamani ya furaha

    Kawaida ya binadamu kitu chichote ukikipata kwa wingi na kwa urahisi basi thamani yake hutoiona, mpaka siku hiyo neema ikutoke. Mfano mzuri Yanga ilikuwa ikishinda goli tano tano mara nne nne mashabiki ilikuwa ikitokea wameshinda moja au mbili wanalalamika, hawakujua ile ni neema tu. Leo...
  15. L

    Uhamiaji marekani ndo basi tena?

    Wale wenzangu na Mimi wa kutafuta green card ndo bas tena baada ya Trump kushinda
  16. L

    Uhamiaji marekani ndo basi tena?

    Baada ya trump kuingia madarakani wale wenzangu na Mimi wa green ndo basi tena
  17. Ikibainika Wanao hujumu miundo mbinu ya SGR wahusika katika kijiji husika basi Kifutwe!!

    Kama kichwa cha habari, Naiomba serikali na Wizara husika ikibainika miundombinu imehujumiwa basi Uongozi wakijiji ukamatwe na kijiji husika kifutwe. Hii itasaidia hujuma hili ni pendekezo langu.
  18. D

    Mke wangu naona anaanza kumchekea chekea muuza mihogo; na hii habari ya Baltazar Egonga basi sina Imani kabisa. Najiandaa......

    Umiza kichwa sana hawa na kwa hakika hawaaminiki.
  19. Uliye kuwa unatoka na Ex- wangu please mjali kuwa nae busy basi

    Master ulie mdanganya uyo mdada mbona penzi lenu limefifia mapema ivyo nyodo zote alizokuwa nazo mbona hana kisa nini nilivyo amua kumpuuza au? Inasikitisha Sana mpenzi wa mtu unampigia ex wako unamwambia "moyo wangu Leo unaniuma Sana uko salama uko ulipo". Hivi hana watu wengine wa kumufanya...
  20. M

    AZAM TUNAWAPONGEZA KWA USHINDI, GSM AWEZI KULAUMIWA LEO KUWA ANAHARIBU LIGI KWA KUWA YANGA KAPOTEZA, BASI TUISHI HUMO!

    Ni vizuri tukawapa hongera zao Azam fc kwa ushindi wao Leo hii dhidi ya yanga ndio Mpira akuna timu inaweza kumaliza ligi nzima yenye ushindani bila kufungwa ama kuruhusu goli ni ngumu! Lakini pia tunapenda kutoa angalizo kwa wale wote walioujulia Mpira ukubwani kwamba timu yako inapopoteza ama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…