Kwahiyo kumbe hata Mimi GENTAMYCINE nikienda Kuwatembelea Marafiki zangu wakubwa hapa JamiiForums akina Mtani wangu Arovera, mrangi, Bila bila, SAGAI GALGANO. rodrick alexander na Mjeda wangu wa 521 Lugalo King Kong III na Watoto wao wakija kunipa Hela basi moja kwa moja natakiwa Kujisifu na...
Behaviour ya Kiboko ya Wachawi kuwakejeli victim wake inatoa taarifa moja tu kuhusu hali ya kiakili ya kiboko ya Wachawi. Amechanganyikiwa. Inaweza kuwa ni kazi ya Mungu mwenyewe au kazi ya miungu wa victim wake (probably walienda kulalamika kwenye madhabahu zao)
Pia inaweza kuwa kazi ya...
Unaweza kusema labda kwa vile mtu umepambana umetajirika basi utakuwa mbali na kero za serikali kumbe tabu iko palepale
Unakimbia kero ya kupanda mwendokasi kwa kununua magari binafsi lakini unakutana na kero ya barabara mbovu, mashimo na foleni
Unakimbia kero ya kupanga unaamua kujenga nyumba...
Mashirika yote yaliyotajwa kuwa yalihusika na kutengeneza simu za mkononi za pagers na Walkie talkie zilizowaripukia watu nchini Lebanon wamekataa kuhusishwa na vifaa hivyo.Kila mmoja akitaja kuwa zilitengenezwa na mdau mwengine.
Kikawaida Israel inapoona imepata mafanikio kwenye mashambulio...
Nakumbuka mno Waziri Mmoja aliposifiwa kuwa anajua Kuzungumza na Kupambania Jambo na Kesho akatumbuliwa. Na mpaka sasa haamini kwani alikuwa ameshaota Mapembe tayari huku akijiamini kwakuwa ana Waganga wazuri wa Kwao na alikuwa akimsaidia katika Umafia fulani ila akaliwa nae Kichwa mazima.
Yaani kama Mtu mzima hadi sasa hujajua na hujui kuwa Balozi ni Mwakilishi namba Moja wa Rais wa Taifa husika nchi fulani na kwamba kila Siku au mara kwa mara huwa wanafanya Mawasiliano ya moja kwa moja basi utakuwa si tu labda huna Akili lakini pia upo hapo ulipo kwa bahati mbaya au Watu...
Mwanaume aliyekamilika lazima apokee meseji inayo sema " mamb" walau mara 4 kwa Siku kutoka kwa watoto wa kike.
Mimi kwa Siku napokea zaidi ya mara 7 kutoka kwa wasichana 7 tofauti. Na wewe sema " NAPOKEA" !!!
Haya pokea.
Nisipopokea msg kama hiyo naweza kuumwa walahi.
Na kama kuna akina Matomoso ambao mtalibishia hili naomba mkija Kubisha mje mniambie ni kwanini 90% ya Wanawake (Mademu) ambao huachana na Waume zao / Mabwana zao wengi wao hujikuta wameangukia katika Mahusiano na Wanaume Machakaramu (Masela na Watukutu) na ni nadra sana kukuta wameanzisha...
Linapokuja suala la umiliki wa pesa basi tunazungumzia hisia ziletwazo na pesa ambavyo kwa namna yoyote unatakiwa hisia hizo zisikushinde bali uzitawale.Wengi hatutafuti pesa kama zilivyo karatasi bali tunatafuta ile hisia ambayo mtu anakuwa nayo akiwa na pesa ndio maana leo hii mtu akiwa na...
Watu wanne wamefariki dunia na wengine 15 wamejeruhiwa baada ya basi la kampuni ya Kibisa lililokuwa likitokea Dodoma kuelekea Dar es Salaam kugongana uso kwa uso na gari la kubebea mizigo…ajali iliyotokea usiku wa kuamkia leo katika kata ya Mikese Manispaa ya Morogoro.
Kaimu Afisa Habari wa...
Namungo haibebeki ni inapigwa kama Ngoma tena nyumbani na team za daraja lake ikiwepo na team mpya ya Fountain Gate.
Hapa naona David ouma akipewa kazi faster na zahera kwenda mapumzikoni
Hata hivyo, ikiwa unatafuta chaja ya wahusika wengine ambayo inafanya kazi na Google Pixel 9 Pro XL, utahitaji kuhakikisha kwamba inatumia voltage inayohitajika. Baadhi ya chaguo ni pamoja na chaja ya Samsung ya 45W ambayo inatumia hadi 20V/2.25A kupitia PPS, au 45W Nano II ya Anker, ambayo pia...
Jitihada zako ndio zitakupa faida kama zilivyowafaidisha waliokuwa na Dogs coin Airdrop
Link hizo hapo chini click then start anza kukusanya coin
https://t.me/major/start?startapp=474175254
http://t.me/catsgang_bot/join?startapp=CeU2qhnwz88jYNeUJJYN8
Mwenzenu nina ""aleji"" ya kuombwa hela
1. Ukiniomba hela basi ujue sura yako inabadilika kutoka Kuwa Beyonce kwenda Masudi sura mbaya..!!!!
2. Ukiniomba hela basi ujue hilo tako lako loteee linayeyuka, nakua silioni tenaaa ....!!!!
Dear baby, ukiniomba hela hiyo meseji sijibu ng'ooooooo...
Kuna msemo kuwa unaweza kuchagua marafiki lakini huwezi kuchagua ndugu wote tumezaliwa hatukuchagua baba wala mama ikitokea bahati nzuri ukazaliwa kwa wazazi wanaojiweza unashukuru ikitokea ukazaliwa kwa wazazi pangu pakavu unakubaliana na hali sababu huna uwezo wa kuchagua.
Ukweli mchungu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.