Usithubutu kuwambia msabato maneno haya, Basi, mtu asiwahukumu ninyi katika vyakula au vinywaji, au kwa sababu ya sikukuu au mwandamo wa mwezi, au sabato; mambo hayo ni kivuli cha mambo yajayo; bali mwili ni wa Kristo.
Wadau hamjamboni nyote?
Ukitaka ukosane na Ndugu zetu Wasabato wewe...
Ngoja niwasanue!
Imekuwa kawaida kusikia wake zetu wakisifia chips za baa eti ni tamu kuliko wanazoweza kupika majumbani kwao.
Basi sasa mjue sio chips tu, hata chakula cha hotelini huwa ni kitamu kuliko mnachoandaa majumbani. Hii ndiyo sababu huwa waume zenu wanarudi wameshiba.
Au...
Wasalaam
Zote tunajua kwamba bwana mchengerwa ni mkwe wa mama Samia kwa maana kamuoa mtoto wa rais. Na nakumbuka mwaka jana bwana mchengerwa alikula kiapo mbele ya rais Samia na kujiapiza kwamba uchaguzi wa serikali za mtaa mwaka 2024 hakuna mtaa hata mmoja utaenda upinzani.
Hakika siku...
Mwanamke ni kiumbe chenye kuvutia sana kwa asili ya uumbaji lakini ni kiumbe hatari kwa namna isiyoelezeka kwa urahisi, nachotaka kusema hapa ni kwamba mwanaume yeyote lazima uzingatie namna ya kuishi na hawa viumbe kwa umakini kubwa sana ndio maana Biblia imetuasa na kututahadharisha kuishi nao...
Nimeshawaambia kuwa weatern siyo watu wazuri wakitaka jambo lao lazima litimie. Putin alinifanya mjanja sasa anapumulia mashine. Ukrain wameweza kuingingia nchini mwake na wanateka watu na putin analia kama mtoto.
Usicheze na nchi zenye demokrasia
Nchi za kidictator zinakuwa na poles nyingi za...
Amkeni wanangu, tunachofanya ni kufaidisha kwa kuenzi misingi ya watu waliokuwa nayo kutokana na imani na mtazamo waliokuwa nao.
Uko wapi mtazamo wako, ni kipi unachoamini?
Yani chuki za mtu binafsi ndio uzienzi na wewe hadi hii leo karne ya 21.
Mfia dini au mfia duni.
Katika mchezo wa jana wa ngao ya jamii kati ya Yanga SC na Simba SC wakati timu zote zina wasili uwanjani.
Yanga waliwasili na Wachezaji wa nne pekee kwenye basi lao kubwa na wachezaji wengine na benchi la ufundi waliwasili na costa.
Wanasoka kitaalamu imekaaje hii?
Nyie usiombe kuachwa na Mabasi ya Mikoani hasa kipindi kile Stendi kuu ilikua Ubungo 😅.
Kuna siku nilikua naenda Mbeya sasa nimefika ubungo kumbe nimesahau Tiketi, ikanibidi nirudi kufuata. Nimefika stendi Basi ndo kwanza linatoka nililia kama mtoto mdogo ikabidi watu wanisaidie kulisimamisha...
Kuna kipindi kulitokea janga la uchunaji wa ngozi za binadamu.
Likaja janga la kutolewa viungo vya mwili kwa ndungu zetu wenye albinism.
Sasa ni kuna taharuki kuhusu uibaji wa watoto. Ingawa jeshi la polisi lime downplay taharuki hii kusema ni za kizushi ila bado pia inatakiwa tuwe makini kwa...
Malalamiko mengi yamepelekwa kwa Waziri wa Mambo ya ndani na viongozi wake. Maeneo yanayolalamikiwa zaidi ni
1. Utekaji
2. Wananchi kunyimwa dhamana na kushikiliwa kinyume cha sheria
3. Viongozi wa chama cha mapinduzi kusafirisha wahamiaji haramu kwa mashangingi bila kuchukuliwa hatua
4...
Leo napenda kuwasiliana na wewe mchakalikaji popote Tz na nje ya nchi .Kama unajengaKujenga nyumba katika eneo lenye chemchemi ya maji au eneo lenye asili ya maji kunahitaji tahadhari maalum kutokana na hatari za kimaumbile na za kimuundo. Hapa kuna mambo kadhaa muhimu ya kuzingatia:
1...
................Akikusifia sana basi tambua unajilazmisha kuishi nje ya mipaka yako na comfort zone yako ili kumridhisha yeye au ku-brag kwake kuwa unamuweza.
Shikilia hapo hapo mwanangu ni bora uitwe mshamba kuliko kujisukuma sukuma hadi unajikuta umempangia nyumba malaya.
A HOE IS A HOE.
Hivi wajameni tuseme ukweli mnauonaje uwezo wa yule bwana mdago makonda. Sidhani kama anajua hata ofisini yupo kwa ajiri gani. Anachofanya huwa hakieleweki yeye ni kutafuta kiki tu basi.
Hata creativity ya maendeleo hata kidogo yeye ni kudeal na wadudu daily as if there is only one dimension in...
Huyu beki wa kulia kwa sasa hapa nchini hakuna, anaitwa Kevin Kijiri, huyu beki ana kasi, ana nguvu, mrefu na anajua boli.Anaitwa Kevin Kijiri.
Kwa sasa hapa nchini hakuna beki wa kulia kama huyo, prove me or not.
Mechi ya kwanza ya Kjjiri akiwa Simba anakwenda Stars moja kwa moja.
Huyu...
UGENINI JITAHIDI KATI YA RAFIKI ZAKO BASI AWEPO MBEA MMOJA NA MROPOKAJI MMOJA WATAKUSAIDIA KIJASUSI.
Yawezekana ukaona ni kinyume kwa sababu wengi husema hao marafiki hawafai ila kijasusi wanafaa sana muhimu tu uishi nao kwa akili kubwa sana yaani utumie madhaifu yao kukunufaisha wewe .
Iwe...
Nahitaji basi linalosafiri kati ya Nairobi na Kigali likipitia mpaka wa Rusumo nchini Tanzania.
Naomba kufahamu jina la kampuni na ikiwezekana na nauli.
Humu wengi wanachekesha, jameni mjue kuwa nyie hampo serious kweli mnaamini picha za avatar. Haya basi kama mnataka mtu awe utakavyo siunagharamia sasa mtu kafikia alipofikia unashangaa what niwewe ,?? Eh kwani nimegharamiwa ili nipendeze what if naona mi nilivyo nipo sawa.
Hi sio facebook...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.