JWTZ kwa kirefu ni JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA moja ya majeshi imara sana katika Ukanda wetu.
Kuna kipindi wakati wa utawala wa Mh JOSEPH POMBE MAGHUFULI (RIP) walifanya onesho la mapigano na kulinda mipaka huku wakimualika Rais wa nchi kushuhudia.
Kisha katika HOTUBA yake waziri wa ulinzi...
Ilikuwaje na ulisolve vipi hata kama ulipakwa mafuta funguka ili vijana wajifunze kuwa mke wa mtu ni mtamu ila mpaka pale utakopofumaniwa ndio utajua hujui.
MOJA YA MAMBO YALIYONIFANYA NICHUKIE AWAMU YA TANO NI SUALA LA UTEKAJI. HATA KAMA WAKOSOAJI NI WAPUMBAVU BASI USITUMIKE UPUMBAVU KUKABILIANA NAO.
Anaandika, Robért Heriel
Mtibeli
Suleiman aliwahi kusema,
Mhubiri 7:17
[17]Usiwe mwovu kupita kiasi;
Wala usiwe mpumbavu;
Kwani ufe kabla ya...
Muweke kwenye fungu moja na watoto wako na familia yako. Yani kama ni hela ya matumizi basi uwe unampigia hesabu ya kila siku.
Kama unapanga kuwa una mpa lets say elfu 20 kila siku au lets say elfu kumi kila siku basi uwe unampa kila siku au kama unampa kwa wiki basi umpe kwa wiki.
Siku...
https://www.youtube.com/live/3CV9o7c2fo8?si=_pUk3LIG7gbkpfIq
Rais wa Tanganyika Law Society (TLS) Wakili Harold Sungusia amewataka washiriki wa Mdahalo wa wazi juu ya mchakato wa kupata katiba Mpya Tanzania kuangalia maslahi mapana ya Taifa na sio maslahi binafsi,au maslahi ya Taasisi,Dini...
From my own experience nilijichanga ili geto nisikae kinyonge niwe nasikilizia muziki pamoja na Fm stations kilichotokea ni vice versa na hasara ya Tz shilling 110,000/= just imagine ndani ya miezi miwili ilianza kujizima ukiwasha unasikiliza hazipiti hata dk 2 inazima
Ikabidi nirudishe dukani...
Kampuni ya udalali ya Legit Auctin Mart ya Dar es Salaam imetangaza mnada wa kuuza basi la kampuni ya Kilimanjaro Express kwa amri ya mahakama kuu kanda ya Dar es Salaam.
Kutangazwa kuuzwa kwa basi hilo kutokana na kampuni la Kilimanjaro kushindwa kulipa deni la shilingi milioni mia tatu...
Tukikumbuka ahadi za wanasiasa na siasa zao uhsusani kipindi hiki cha uchaguzi tunamalizia ni watu wale wale na mambo yale yale. Nakumbuka wakati ule waziri kama sikosei Bashungwa alipiga mpaka ziara katika mabasi yaendayo kasi jijini Dar es Salaam. Ukiwa mgeni unaweza fikiri wako serious kumbe...
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Moja ya dalili kuwa maisha yako yatakuwa ya chini ni kupenda bwerere. Kupenda utulivu wa bwerere.
Hakunaga vizuri kwenye bwerere. Yaani kamserereko.
Bwerere haitakuimarisha. Bwérere itakufanya uwe na akili mgando. Kupenda vitu visivyokupa changamoto.
Hata...
Kuanzia unapotongoza mwanamke anakubebesha gharama zote ambazo alitakiwa kuwajibika mwenyewe au kugharamiwa na baba yake sasa hapa mwanaume akisalitiwa ndio yale yale ya msukuma na penny uko goba
Imefika hatua hauwezi kutofautisha kati mke, mpenzi na kahaba maana along the way wote watataka...
Haiwezekani mbinguni au katika ulimwengu tusiojua wanaishi viumbe wawili wanaoogopana. Sasa tutajua nani mwenye nguvu?
Inasemekana shetani ni mbaya kama tulivyokalilishwa na Mungu lakini inakuwaje Mungu ashindwe kumuangamiza kama kweli Mungu hashindwi chochote?
Hata wachungaji/mapadre wenyewe...
Nimeona madudu yanayoibuliwa na Makonda na kushangiliwa sana na watu wa CCM wakiona kama Makonda ndiye CCM na taasisi na wengine wote ni Chauma au UDP.
Labda niwakumbushe watu wa Arusha, haya anayo yaibua Makonda ndiyo madhaifu ya serikali ya CCM. Rushwa, ubadhilifu, kunyima haki raia, matumizi...
Rais hakukosea kumteua Paul Makonda. Wengi wa wanaomchukia Makonda ni wale waliozoea blabla, shingwini shingwini na kona kona.
* Makonda akiagiza Ofisa kupaza sauti kwenye kisemeo - waovu eti ananyanyasa!
* Makonda akisimamisha watumishi kwa tuhuma kadhaa ili wapishe uchunguzi - waovu eti haki...
kiujumla, upinzani umekata tamaa kabisa, licha ya ukweli kwamba ukata wa fedha za kufanya mikutano ya hadhara, umekita mizizi kwenye vyama vyao.
hakuna uhakika wa chochote katika chaguzi zijazo, licha ya kwamba mazingira sawa ya kufanya siasa yamewekwa na serikali iliyopo madarakani.🐒...
Ni hayo tu , haiwezekani unazalisha mwingine unakwenda oa mwingine kisa hampendani au kuendana au una zaa na mwingine kirahisi tu unakwenda olewa na mwingine.
AU huoi kabisa
Haya maumivu ya kisaikolojia wanayosababishiana watu hayana afya kwa jamii