bastola

Hari Nath Bastola is a Nepalese politician, belonging to the Nepali Congress. He was elected to the Pratinidhi Sabha in the 1994 election from the Sunsari-4 constituency with 16922 votes.

View More On Wikipedia.org
  1. Ngunya1

    Kuna mtu amelewa anatishia bastola

    Hapa Morogoro maeneo ya Joradani university kuna grocery napata bia zangu mara gafla kuna mtu anatoa bastola. Polisi Tanzania muwe makini sana maana hawa watu watatumaliza.
  2. Chachu Ombara

    Mkurugenzi wa Shule ampiga Mzazi na kitako cha bastola baada ya kuomba uhamisho wa mwanaye

    Jeshi la polisi mkoani Iringa linamshikilia Mkurugenzi wa shule ya Sun Academy, Nguvu Chengula, kwa tuhuma za kumpiga na kumjeruhi Alifa Mkwawa, ambaye ni mzazi, kwa kutumia kitako cha bastola baada ya kuombwa uhamisho wa mtoto anayesoma katika shule hiyo. Kamanda wa Polisi mkoani humo Allan...
  3. D

    Kumiliki bastola ni mzigo; ni salama zaidi ukiwa huna

    Kuna watu wengi sana huomba ushauri wa kumiliki bastola. Wakiamini usalama wao utaongezeka wakiwa na bastola. Kama kuna huo ulazima wa kumiliki silaha unaothibitika, nashauri mamlaka irahisishe mchakato wa kuwapatia silaha wale watu wanaothibitisha wako mazingira hatarishi ya uvamizi...
  4. Jidu La Mabambasi

    Toka majuzi natembea na bastola yangu, panya road hamjambo?

    Mie si mshari, mchokozi na wala sina hasira. Lakini toka majuzi panya rodi walipotetemesha hadi Kunduchi nikaona sasa wacha mbwai iwe mbwai. Wanaume wa kanda Maalum Musoma wamezidi kutucheka. Panya rodi mkiniona na subaru ya bluu na nakunywa mitaa ya Kunduchi njooni mnisalimie. Nina salaam zenu.
  5. voicer

    Wanaume wa Dar! Mitaa mitatu Mnatekwa na Panya Road?

    Mitaa mitatu yote kutekwa kwa wakati mmoja huko chanika,bila hata Panya mmoja kukamatwa au kujeruhiwa. Hili jambo nashindwa kulielewa kabisa! Nafikiria ingekuwa vipi kama hao Panya road wangejaribu huo ujinga huku mikoani. Sijui kama wangekuwa hai mpaka saa hii! Wanaume wa Dar es salaam...
  6. JanguKamaJangu

    Mbeya: Watelekeza bastola na risasi kumi baada ya kushtukiwa na askari

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limekamata bastola na mkasi mkubwa zilizotelekezwa na watu wawili ambao bado wanaendelea kutafutwa na jeshi hilo. Kamanda Wa Polisi Mkoa Wa Mbeya, Ulrich O. Matei amesema leo Machi 28., 2022 majira ya saa 06:30 asubuhi maeneo ya Uhindini, Kata na Tarafa ya Sisimba...
  7. kavulata

    Askari aliyemtolea bastola Nape bado yupo?

    Kweli elimu haina mwisho, wote wenye mamlaka na madaraka leo heshimu watu, ogopeni watu, tumikieni watu na kuweni na kiasi, maana leo haifanani kila kitu na kesho. Kuna jamaa mchana kweupe alitaka kumtwanga risasi kiboya Mh. Nape ambae leo ni waziri tena. Yule jamaa anajisikiaje leo kama bado...
  8. Memento

    Gazeti la Mwananchi limeongopa, Aliyemtishia Nape bastola sio mmoja wa waliokamatwa Mtwara

    Gazeti la mwananchi limeandika Aliyemtishia Nape bastola apandishwa kizimbani kwa makosa ya mauaji huko Mtwara. Hii sio kweli, gazeti hili limeweka picha ya afande Gilbert na kuonyesha ndiye aliyemtishia Nape bastola. Gilbert Kalanje ni SP wa police(mrakibu), wale wenye mwenge mmoja begani...
  9. Course Coordinator

    Mwananchi: Aliyemtishia Nape bastola ni miongoni mwa wanaoshikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya mfanyabiashara Mtwara

    Dunia inazunguka kwa kasi. Askari huyu, tarehe 23.3.2017 alimtishia Nape Nnauye bastola asiongee na waandishi wa habari baada ya kutumbuliwa na Rais Magufuli kwa sakata la Makonda kuvamia Clouds FM usiku. Leo hii ni miongoni mwa maaskari waliokamatwa kwa tuhuma za mauaji mfanyabiashara mkoani...
  10. M

    Yuko wapi Henry Kisanduku aliyemnyooshea Nape bastola?

    Mzuka wanajamvi! Huyu jamaa alikuwa 'shortsighted'. Wenzake aliotumwa nao walikuwa wataratibu sana yeye kimbelembele. Sasa leo Nape kateuliwa tena kwenye Ile nafasi. Pia Nape asingekuwa wazir tena leo kama asingejishusha na kunyenyekea kwa Jiwe siku ile akitembeza huku akirekodiwa jasho...
  11. mdukuzi

    Aliniacha baada ya kugundua namiliki bastola

    Miaka kadhaa iliyopita kabla sijafulia nikiwa kwenye kilele cha ukwasi niliopoa binti mmoja mtoto mzuri sana ila mpekupeku.wale wanawake ukienda bafuni unakuta kaishasoma sms zako zote na kaishakusachi,wale ukilala anachukua kidole chako anaweka kwenye simu ili kufungua biometric password,demu...
  12. B

    Kesi ya Mbowe: Namba A5340 kwanini imekuwa issue kubwa?

    Yasemekana mshitakiwa #2 alikamatwa na bastola ambalo anakanusha. Kwamba alikamatwa na bastola au hakukamatwa na bastola, hayo ni mambo mengine. Kukamatwa na bunduki kinyume cha sheria mbona bado ni msala usio kuwa na kifani? Kwanini upande wa mashtaka wameshupalia zaidi namba kuliko hata...
  13. Chachu Ombara

    Mmiliki wa silaha kinyume na sheria kutoshtakiwa ikiwa atasalimisha silaha yake

    Serikali imekuja na sheria ambayo itampa msamaha mtu yeyote anayemiliki silaha kinyume na sheria ikiwa ataisalimisha silaha hiyo kuanzia Novemba 1 mpaka 30 Novemba 2021. AMNESTY FOR ILLEGAL FIREARM OWNERS The Government of Tanzania has granted amnesty for illegal firearm owners to surrender...
  14. beth

    DCI Wambura: Uchunguzi umebaini Hamza alikuwa gaidi wa kujitoa mhanga

    Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Camillius Wambura amedai kuwa uchunguzi uliyofanywa na Jeshi la Polisi umebaini kwamba Hamza Mohammed alikuwa gaidi wa kujitoa mhanga. Hamza aliuawa na polisi Agosti 25, mwaka huu baada ya kuwaua kwa risasi askari wanne, watatu kati yao wa...
  15. M

    Askofu Gwajima umekuwa na maadui wengi usisahau kutembea na bastola yako yasije yakajirudia ya kipindi kile

    Kipindi kile mwaka 2015 ulizua taharuki kubwa baada ya kuvunja sheria na kuagiza wasaidizi wako wakuletee bastola yako ukiwa hospitali. Sasa hivi ni wazi kabisa kwa msimamo wako dhidi ya chanjo umeshajenga maadui katika jamii. Kwa sababu na wewe ni muoga kuondokewa na uhai wako basi ni bora...
  16. J

    Shuhuda: Gaidi alishuka kwenye gari akiwa na bastola na kuanza kuwapiga risasi polisi

    Nimeangalia taarifa ya habari Star tv na kuona mwandishi wao akimuhoji kijana mmoja aliyeshuhudia tukio mwanzo mwisho. Kijana anadai gaidi Hamza alishushwa na gari fulami ( sijasikia vizuri kama ni ST au IST) na kuanza kuwashambulia polisi kwa bastola huku akitamba kila kona na kuonekana ni...
  17. Jembe Jembe

    Shahidi: Sabaya alinifunga Pingu miguu na Mikono na nilipigwa nusu ya kifo

    Shahidi wa sita katika kesi ya Unyang'anyi wa Kutumia Silaha na uporaji inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Mkaoni Kilimanjaro,Lengai Ole Sabaya(34) na wenzake wawili,Bakari Rahibu Msangi ameieleza Mahakama kuwa kipigo alichokipata ni sawa na nusu kifo kwani alipoteza fahamu kwa muda...
  18. chiembe

    Sinza kuna mtu anaitwa Wambura, naye hutishia watu bastola hadharani

    Huyu naye ni wa hapa hapa Sinza kwa Remi, ana bastola lakini ana akili kama za yule aliyeua, msijesema hatukuwaambia, enyi polisi, huyu hutoa silaha hadharani na kutishia.
  19. LellozWho

    Leseni ya umiliki silaha Vs Leseni ya udereva ipi imeleta madhara zaidi?

    Sina takwimu kamili Issue ya umiliki wa silaha imeleta fikra/ hisia/ mawazo mengi kwa Watanzania hasa baada ya taarifa za wiki iliyoisha(weekend). Kikubwa nimejifunza Wengi wanalaani umilikishwaji wa silaha kwa watu.(kiholela) Ingawa process ni ndefu. Wanakemea na kuiomba serikali Au taasisi...
  20. Mshana Jr

    Bastola iliyoua wawili Sinza ni dili kishirikina, lakini pengine pia imebeba mikosi na laana

    Silaha tajwa tayari imeshaondoka na roho mbili na tayari iko mikononi mwa jeshi la polisi.. Haijajulikana kama mmiliki alinunua 'used' au brand new! Kama kanunua mtumba ni kwamba hapo kabla ilishawahi kutumika mostly ilishauwa.. Wangapi? Haijulikani..labda mpaka kupata historia yake..! Kama...
Back
Top Bottom