Hari Nath Bastola is a Nepalese politician, belonging to the Nepali Congress. He was elected to the Pratinidhi Sabha in the 1994 election from the Sunsari-4 constituency with 16922 votes.
Meya wa manispaa ya Moshi Mh.Juma Raibu ameagiza uongozi wa manispaa hiyo kurejesha Fedha kiasi cha Tsh.3.2 milioni zilizotengwa kwaajili ya kununua Bastola ya Mkurugenzi wa manispaa.
=======
Moshi. Meya wa manispaa ya Moshi, Juma Raibu ameagiza Sh3.2 milioni zilizotengwa na halmashauri ya...
Moshi. Meya wa manispaa ya Moshi, Juma Raibu ameagiza Sh3.2 milioni zilizotengwa na halmashauri ya manispaa hiyo kwa ajili ya kununua bastola ya mkurugenzi kurejeshwa.
Raibu ametoa tamko hilo leo Ijumaa Mei 28, 2021 katika kikao cha baraza la madiwani kilichofanyika katika ofisi za mkuu wa Mkoa...
Mnamo tarehe 23 mwaka 2017 Mbunge wa Mtama Ndugu Nape Nnauye alitishiwa bastola hadharani na mtu asiyejulikana.
MARCH 23, 2017, Rais John Magufulli aimteua Harrison Mwakyembe, aliyekuwa Waziri wa Sheria na Masuala ya Katiba, kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni na Sanaa na Michezo, nafasi iliyokuwa...
MFANYABIASHARA, Adelard Lyakurwa (58), anayefanya shughi uli zake Kariakoo amepandishwa katika kizimba cha Mahakama ya Wilaya ya Ilala kujibu shtaka moja la kutishia kumuua mfanyabiashara mwenzie marufu, Valence Lekule kwa silaha, Bastola
Katika hati ya mashtaka iliyosomwa mahakamani hapo...
Katika hali isiyo ya kawaida aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma, Peter Toima Kiroya anadaiwa kumshushia kipigo mkewe, Philomena Toima mpaka kufikia hatua ya kukimbizwa hospitalini kupatiwa matibabu.
Tayari suala hilo limeshatinga polisi ambapo mwanamke huyo alifika katika kituo...
Polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam imesema silaha ya mbunge wa Mtama mkoani Lindi iliyoibiwa kupitia dirishani nyumbani kwake Kawe beach jijini Dar es salaam imepatikana.
Silaha hiyo aina ya bastola ikiwa na risasi 14 imepatikana mkoani Mbeya baada ya ushirikiano wa polisi wa mikoa hiyo...
Jamani bado sijui ikiwa Upupu ni haramu au la! Maana kuna mitaa kuna wapiga roba maarufu, sasa tusio na vibali vya kumiliki silaha tunaruhusiwa kuumiliki kama njia moja wapo ya kujihami kwa tunaojua kuutumia?
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
KUPATIKANA KWA SILAHA MBILI AINA YA BASTOLA NA KUUWAWA KWA MAJAMBAZI WAWILI
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limefanikiwa kukamata silaha mbili aina ya bastola na kuwaua majambazi wawili katika matukio mawili tofauti.
Tukio la kwanza ,Mnamo tarehe...
Mfanyabiashara wa madini ya dhahabu jijini Mwanza, Salum Othuman (44) anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita kwa tuhuma za kuwajeruhi watu wawili, akiwemo mpenzi wake Happiness Israel (32).
Anadaiwa kumpiga risasi ya mguuni mpenzi wake baada ya kutokea ugomvi wakati wakiwa chumbani...
Habari wanajamvini
Nimepita Tanganyika Arms kwa lengo la kujua utaratibu wa kuingiza silaha (bastola) kwa ajili ya matumizi binafsi lakini sikufanikiwa kupata majibu. Naomba muongozo kwa anayefahamu utaratibu wa kuingiza kifaa hiki.
Ni aibu kwa taaluma nzima ya usalama,kwa mwanausalama kumvamia kiongozi bila ya kujitambulisha na kuonyesha kitambulisho na kuanza kumtisha kwa bastola ili atii amri yako.
Nakushauri kamanda Sirro umrudishe uyu kijana akasome vizuri sheria za usalama kuliko kulitia aibu jeshi la polisi.
Haapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.