Kutoka Ubungo Plaza, jijini Dar es Salaam (leo, Jumanne ya Januari 14.2024) vurugu zimeshuhudiwa tena kati ya wanahabari na baadhi ya vijana wa BAVICHA ambao wamepinga wanahabari kuwepo kwenye ukumbi wa uchaguzi, wanahabari waliingia ukumbini hapo baada ya kuruhusiwa na msimamizi wa uchaguzi huo...
Nimefuatilia Uchaguzi wa BAVICHA unaonekana umejaa wahuni wasiojitambua kabisa wakiongozwa na Mwenyekiti wao,nimeona wengine wanasema walifoji vyeti ili wagombee,wengine wanasema bila Posho hakuna kura,wengine wanakamata walipa Posho wanawatangaza ni watoa Rushwa bila kujua athari zake kwa Chama...
Taarifa ya BAVICHA iliyo chapiswa kupitia mtandao wa X imeeleza kama ifuatavyo
Si kweli kuwa kuna mazingira ya rushwa (kwenye uchaguzi wa BAVICHA Taifa , Idrissa Kassim alikabidhiwa fedha za nauli kwa wajumbe wa BAVICHA kutoka Kanda ya Magharibi, wakati akiwalipa ndio ilitafsiriwa kuwa anatoa...
Sintofahamu imezuka katika uchaguzi wa viongozi wa Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha), baada ya wajumbe kumtilia shaka mmoja wa wagombea aliyekuwa akitoa nauli.
Uchaguzi wa Bavicha unaendelea katika ukumbi wa Ubungo Plaza, jijini Dar es Salaam leo Jumatatu Januari 13, 2025.
Pia, Soma...
https://www.youtube.com/live/alKQnvp2Ei8?si=6igthwmbdWuJGUXI
Fuatlilia Uchaguzi wa Vijana wa CHADEMA ngazi ya Taifa unaofanyika muda huu.
Kutoka Ubungo Plaza, jijini Dar es Salaam sehemu ambapo mkutano mkuu wa uchaguzi wa BAVICHA Taifa unaendelea hivi ndivyo hali inavyoonekana nje ya ukumbi...
Katika hali isiyotarajiwa waandishi wa habari na wadau wengine wanaotajwa kutohusika moja kwa moja na uchaguzi, wameondoshwa kwenye ukumbi wa uchaguzi wa Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA) Taifa kutokana na kile kilichoelezwa kuwa kwa sasa wanaostahili kubali ni...
Wakuu,
Mbowe kama ana akili timamu inabidi mara tu akiona clip angejiuzulu mara moja na kutangaza kutokugombea tena.
Unapata wapi nguvu ya kutaka kuingia kwenye box la kura na hali iko kama hivi?
Mbowe ajitafakari sana!
Wakuu,
Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ya ACT Wazalendo, Abdul Nondo, Nondo wakati akitoa salamu za ngome hiyo katika mkutano wa Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha) unaoendelea katika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam leo Jumatatu, Januari 13, 2025 amesema:
“Sisi vijana wa vyama...
Wakuu wakati mkutano mkuu wa Bavicha ukiendelea leo, mjumbe mmoja aeleza kwa masikitiko kuwa hawajalipwa pesa za kujikimu walizohaidiwa.
"Tuliambiwa jana tutapewa pesa ya kujikimu mpaka leo hatujapewa, mnawezaje mkaipinga rushwa ilhali mnaitengeneza?" - Mjumbe wa mkutano mkuu Bavicha
Kupata...
BAVICHA wamelipuka kwa shangwe kubwa baada ya Tundu Lissu ambaye ni Mgombea wa Uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakati akiingia kwenye ukumbi wa uchaguzi wa Mwenyekiti wa BAVICHA leo, ambapo vijana wa CHADEMA kutoka sehemu mbalimbali wamekutana kuamua viongozi...
Uchaguzi Mkuu wa Bavicha ndio tukio kuu kwa siku ya leo, ambapo vijana wa CHADEMA kutoka sehemu mbalimbali wanakutana kuamua viongozi watakaoongoza Baraza hilo kwa kipindi kijacho.
===
Fuatlilia Mdahalo wa wazi wa Vijana wa CHADEMA wakifanya mdahalo wa wazi katika kutekeleza Demokrasia kwa Vitendo.
https://www.youtube.com/live/YtIJ2C2X2Pg?si=ouOhJNbacE7DLlke
JE UNAMJUA DEOGRATIAS COSMAS MAHINYILA?
MAMBO 10 KUMHUSU MGOMBEA WA UENYEKITI WA BARAZA LA VIJANA WA CHADEMA (BAVICHA - TAIFA) WAKILI DEOGRATIAS COSMAS MAHINYILA.
1. Deogratias Cosmas Mahinyila, Ni Wakili wa kujitegemea wa Mahakama Kuu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mahakama zilizo...
Na; Garatwa Francis
Wakati umma unaomuunga mkono Tundu Lissu ukiwaza zaidi juu ya kumpata Tundu Lissu awe M/Kiti wa CHADEMA ili Chama kiweze kuinuka tena na kutoka kwenye mifuko ya CCM na Dola yao walikokificha kwa manufaa yao. Wengine wanawaza zaidi kuhusu tumbo zao na wengine wanawaza kuhusu...
Vijana wa CHADEMA kutoka Kanda ya Kaskazini walijumuika kusherehekea Sikukuu ya Krismasi nyumbani kwa bibi yake Deusdedith Soka, huko Kibosho. Hafla hiyo pia iliadhimisha siku ya kuzaliwa ya Soka, ikileta furaha na mshikamano kati ya viongozi na wanachama wa chama hicho.
Pia, Soma: Mke wa...
Askofu Mwamakula anesema ni aibu kwetu sote kama taifa iwapo Vijana wetu wamefikia hatua ya kushindwa Kujibu na kujenga Hoja na badala yake wanaishia kutoa lugha za mkato " Hafai, Hana Sifa, Aondoke '
======================
'Hana sifa', 'Hafai', 'Aondoke'! Hizo ndio kauli za makundi ya kampeni...
Saa 24 baada ya Tundu Antipas Lisu kutangaza kuvunja Utawala wa kidikteta ndani ya Chadema kwa kutia Nia ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti dhidi ya Freeman Mbowe aka Mugabe, Bavicha na Bawacha hawajatoa kauli yoyote ya kumpinga
Hii ni hatua kubwa sana kuelekea mabadiliko ya kweli
Zitto Kabwe...
Katibu Mwenezi Bawacha Taifa Mhe. Aisha Machano akiwa Kibiti kuendelea na majumu ya Chama ametekwa na kupigwa sana kisha kutupwa porini.
Vijana wa bodaboda wamemuokota akiwa katika Hali mbaya na maumivu makali. Waliomteka walitaka maelezo ni nani aliwaelekeza kuchoma vitenge vilivyogawiwa na...