Mwamba wa Siasa za kisasa kwenye eneo la Maziwa Makuu ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema ambacho ni Chama kinachoungwa mkono na watu wengi zaidi nchini Tanzania, huku takwimu zikionyesha kwamba kina wanachama hai zaidi ya mil 15, atazungumza na Waandishi wa Habari wa Kimataifa na wa ndani ya...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , ile Taasisi bora ya Vijana Barani Africa , ambayo pia inatajwa kushika nafasi ya tatu kwa Ubora Duniani Bavicha , inakutana mkoani Morogoro kwa semina ya kuwaongezea uwezo Wajumbe wake wa Kamati ya Utendaji.
Wakati Taasisi hii ambayo ndio Chimbuko la...
Sielewi kwa nini hadi sasa jeshi la polisi halijachukua hatua zozote zile kuhusiana na kitendo cha kiharifu cha wale Vijana, sijui ni kwanini Msajili wa Vyama vya Siasa hajakemea, na sijui ni kwa nini Viongozi wa Dini hawajajitokeza kukemea.
Wako wapi wanaojiita viongozi wa vyama walinda amani...
Leo kwenye post ya kada wa chama cha Mbowe ndugu Yericko Nyerere nimeona post inayoelezea kada mwenzie Malisa Godlisten akilalamikia kulamba Block toka kwa Mheshimiwa Nape huko Twitter. Mimi sifurahishwi kabisa na mambo ya watu kupigana block mitandaoni kwasababu ni mwanzo wa chuki na upotevu...
Ndugu wanaJF huu ni uzi wangu wa kwanza hapa ninaandika nikiwa nina hasira zisizo na mfano dhidi ya hizi idara za vyama vya siasa. Hawa vijana wamekosa mwelekeo na kuishia kuwa vituko tofauti na malengo ya uweo wao. Leo nitatoa mtazamo wangu kuhusu idara maarufu za ACT, BAVICHA na UVCCM kwa...
Salaam Wakuu,
Kama mnakumbuka, Baraza la Taifa vijana la CHADEMA Mkoa wa Tanga, Walitoa siku nne Watu wasiofahamika Waliompiga risasi Lissu Wajitokeze. Na Wasipojitokeza Watasoma Albadir.
Baada ya siku nne kuisha Wasiojulikana hawakujitangaza wakakaa kimya. Hivyo Albadir baada ya siku nne...
Halafu makamu mwenyekiti anacheka tu, Kisha analalamika kuibiwa kura.
===
Mpiga kura akimpatia Mh. LISSU kura aliyompigia mwaka 2020 ambayo ameiweka kwenye kioo (glass laminated vote) kumtia moyo aendeleze mapambano
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA), John Pambalu ameiomba serikali kulegeza kigezo cha uzoefu wa kazi kama mojawapo ya sharti la ajira kwa vijana.
Pambalu alisema hayo Dar es Salaam wakati akizungumza na waandishi wa habari katika makao makuu ya...
Habari wana JF,
Chadema imepata pigo kwa kumpoteza kamanda Calvin Lekule ambaye alikuwa mpambanaji sana, Lekule alikuwa mwanaharakati kama alivyo mdude, alikuwa anapinga sana police brutality na uonevu wa aina yeyote kwa vitendo na bila kuogopa.
Wiki moja iliyopita alitabiriwa kifo na mmoja wa...
Mara zote tumeandika humu na kwingineko kwamba BAVICHA ndio Taasisi pekee inayojishughulisha na Masuala ya Vijana nchini Tanzania kwa vitendo kabisa.
Pamoja na kwamba Dunia nzima kwa sasa inajiandaa na Siku ya Vijana Duniani ambayo itaadhimishwa 12/8/2022 , lakini hakuna Juhudi zozote za...
Sikilizeni kilichomtokea Twaha Mwaipaya kada wa CHADEMA.
Wapinzani wanalalamika kuonewa pamoja na kwamba Rais amesisitiza kufungua ukurasa mpya wa siasa Tanzania
Niweke wazi kwanza sina chama nimekuwa nikipiga spana pande zote, na unaweza kucheki profile yangu kuthibitisha hilo.
So napenda hoja yangu isijadiliwe kishabiki bali objectively
Ni kuhusu vijana wa Chadema, hawa wapo wengi sana mtandaoni kuliko vijana wa vyama vingine, ACT, CUF, CCM n.k...
Hawa vijana wanachafua mapambano ya katiba mpya kuyahusisha na Simba Fc. Huu ni ubaguzi wa kishamba na usiofaa kabisa. Hawafai hawa vijana ni washamba sana.
Mnatapeli ili iweje? Mnataka kuonyesha kuwa mnakubalika? Kwa nini jiwe la msingi mnaandika kwa peni inayofutika? Sababu mnataka kudanganya.
Hili jengo ni mali yenu? Huko misungwi? Semeni kweli tusijetukawaumbua acheni uongo
Leo, viongozi wa BAVICHA, John Pambalu na ujumbe wake wamekamatwa na jeshi la Polisi Babati wakiwa kijiweni, wakijadili na vijana wenzao masuala ya nchi yao.
Polisi Babati wanasema hili ni kusanyiko lisilokuwa na kibali, hivyo John Pambalu (mwenyekiti wa BAVICHA) na wenzake 7 wamekamatwa kwa...
Tatizo katika nchi hii Kuna kundi linajiona Lina hatimiliki ya upinzani kwenye siasa za Tanzania, wanawaona wapinzani wote ni mamluki wa watawala isipokuwa wao tu ni wazi kabisa kwa sasa hivi kwamba CHADEMA wameshindwa kufanya siasa bila kumtaja mwamba Zitto.
Tokea miaka ya 2009 Chadema...
Ubaya ya kuwa na chama ambacho mwenyekiti ndio one man band. Yaani ndio master minder, mpanga mikakati na hata mhamasishaji.
Kesi imevuruga mipango ya chama chetu kabisa. Uongozi umeyumba kabisa na inaonekana hakuna mikakati kabisa ya kujikwamua. Zimebaki ngonjera tu spacin huko Twita.
Bavicha...
Ile Taasisi ya vijana inayoongoza kwa Ubora barani Africa , na ya tatu kwa ubora duniani , BAVICHA , Imekwishaingia Mkoani Kigoma kwa ziara ya kikazi ya Kusambaza moto wa Katiba mpya Mkoani humo .
Kabla ya kuanza operesheni ya KATIBA MPYA vijana hao wamefika kijiji cha MSIMBA kwa lengo la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.