Kamati tendaji ya Baraza la Vijana CHADEMA (BAVICHA) usiku wa kuamkia leo imefanya kikao chake cha dharura kilichoongozwa na Mkiti wake John Pambalu.
Leo saa 5 asubuhi kinatarajia kuongea na waandishi wa habari kutoa msimamo wake juu ya kinachoendelea kuhusu wabunge wa Viti Maalumu.
“BAVICHA...
Hii ndio taarifa iliyotufikia usiku huu, kwamba Mhamasishaji wa BAVICHA Twaha Mwaipaya na Katibu Mkuu wa Bavicha Mh Nusrat Hanje , leo wameachiwa huru na Serikali ya Tanzania , huku ikidai haina haja ya kuendelea na kesi hiyo, hii ni masaa machache kabla ya kusomwa hukumu ya maombi yao ya haki...
Umoja wa vijana na umoja wa wanawake umeimarika na umetoa viongozi wengi wa leo na kesho wa Taifa hili.
BAWACHA nadhani ndio umoja wa wanawake wa vyama vya siasa uliowahi kusimamisha wanachama wengi kugombea Ubunge Afrika na hata Duniani. Lakini pia umoja huu si tu umetoa wagombea wanawake Bali...
Haiwezekani vijana hawa wasoteshwe jela kwa makosa yenye dhamana kwa sababu ya matakwa ya Biswalo Mganga na waliomtuma , hawa vijana hawana kesi yoyote ya maana ya kufanyiwa unyama huo.
Tundu Lissu tafadhari sana ingilia kati jambo hili wewe mwenyewe binafsi ili limalizike , unyama huu...
Ratiba ya Nchi inaonyesha kwamba Mwanza kuna kongamano la BAVICHA Jumapili hii na litahutubiwa na Katibu Mkuu wa chama Mhe. John Mnyika
Ewe kijana wa Mwanza hutakiwi kukosa kongamano hili hasa ikizingatiwa kwamba , Bavicha ndio Taasisi bora kabisa ya vijana kwa sasa barani Africa , njoo...
Hawa vijana wanateseka kwa sababu za kishamba sana zilizoambatana na njama ya Jeshi la polisi kwa lengo la kuokoa ccm Singida , leo kuna rufaa ya kutaka waachiwe kwa dhamana
Mashitaka yao ni vituko vitupu ! kuna haja ya CHADEMA kuweka uchunguzi maalum kwa jeshi la polisi Singida ili kufahamu...
Leo Julai 10,2020 Mahakama ya Wilaya ya Singida imewanyika dhamana Katibu Mkuu wa Bavicha Mhe. Nusrat Hanje, Mratibu wa Uhamasishaji Mhe. Twaha Mwaipaya na wenzao watano katika kesi ya jinai namba 115/2020.
BAVICHA kazi zetu za kila siku za SIASA na UJENZI wa CHAMA zianze kufanywa na WAFUNGWA?,
Hata mwenyekiti akitutenga na kuteua kutoka CCM sisi tusikubali kugoma na kuwaachia wazee wakakodi wafungwa.
Jukumu la kukijenga chama na kupeperusha bendera za chama hai Cha siasa ni la vijana.
Suala la...
Hii ni baada ya kukalishwa selo kwa mwezi mmoja , ameachiwa leo jumatatu . Alikamatwa kwa tuhuma za kupiga picha gari la DG wa TISS , lakini baadaye akashitakiwa kwa kesi ya kuumba ya kusambaza picha za ngono .
Shukrani ziwaendee wanasheria wa Chadema
VIJANA WANASIASA WAJIFUNZE KWA NGURI WA SIASA LOWASA
Kizazi cha kina lowasa na wenzake kama kina JK,Kinana, Mangula etc ni kizazi kilicho anza siasa enzi za Nyerere wakati huo ilikua muhimu kwenda jeshini, kusoma chou cha siasa kivukoni, kushika madaraka ya serikali toka ngazi za chini ndipo...
Lembrus Mchome anadaiwa kukamatwa na polisi kwa tuhuma za kupiga picha gari la Diwani Athuman akiwa Kwao Mwanga , ambapo gari hiyo imeonekana mitandaoni ikiwa imeegeshwa maeneo ya Mwanga .
Bila shaka kesi hii ikifika mahakamani itavuta hisia za wengi , maana hata kama ni kweli , kupiga picha...
Acheni tu siasa ziendelee kupigwa marufuku , maana zikiruhusiwa visukari vya watu vitapanda mara dufu .
Hapa ni mkoani Morogoro kwenye Kikao cha ndani cha BAVICHA, ambayo imebainika sasa kuwa ndio Taasisi ya vijana inayoongoza barani Africa.
December 08, 2019
Dar -Es-Salaam, Tanzania
Mh. Patrick Ole Sosopi akihutubia Baraza Tendaji la Vijana wa CHADEMA
Akitoa hotuba iliyoteka hisia za wasikilizaji amewataka Vijana wa CHADEMA ambao amesema ndiyo BARAZA KIVULI LA VIJANA WOTE TANZANIA tofauti na UVCCM ambao ni wasemaji wa makada wa...
Baraza la vijana (Bavicha) la Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) linaendelea na uchaguzi wake leo kwa ngazi ya kitaifa.
Muda mfupi uliopita katika ukumbi wa Mlimani City limewapata viongozi wake wakuu ambapo Diwani wa Butimba jijini Mwanza, Bwana John Pambalu ameshinda Uenyekiti kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.