bavicha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Erythrocyte

    Katavi: BAVICHA yasambaza moto wa Katiba Mpya kwenye vijiwe vyote vya Kahawa na Tangawizi

    Huu ndio Mtiti ambao hawa vijana wameamua kwenda nao kwa sasa, huku taarifa zikionyesha kwamba kila wanapoingia wanashangiliwa mno. Katavi yote inawaka moto wa Katiba Mpya. Kwa hali ilipofikia si rahisi tena kuzuia Katiba Mpya. Mungu ibariki Bavicha.
  2. Cvez

    BAVICHA na CHADEMA kazi mnayo

    Katika moja ya mistake kubwa ilifanyika ni kuanza harakati za Katiba Mpya wakati wanachama wameparaganyika. Enzi za Mwendazake ilikua kufanya siasa ni dhambi kiasi ambacho wengi ya wapinzani waliamua kukaa kimya na kuendelea na maisha yao ya kila siku kwa usalama wao na familia zao. Walioendelea...
  3. M

    BAVICHA CLUBHOUSE, leo mmepata somo

    Leo nimetumia tena muda mrefu katika clubhouse ya Bavicha na mada mbili zilikuwa mezani,kesi ya Mbowe na mkutano wa Dodoma. Mengi yamejadiliwa lakini niweke haya ambayo naamini ni funzo kubwa, Kuna mchangaji kwa jina la BM ambaye alihoji mawakili wa Chadema kumuita shahidi aliyeugua kichaa.Kuna...
  4. Idugunde

    Bavicha kwenda uwanja wa Mkapa huku mmevalia rangi nyekundu ni wazi kuwa mliwabagua Yanga, kwa mantiki hii mnadhihirisha CHADEMA ni wabaguzi

    Kwa nini msivae rangi nyeupe? Hii ni wazi kuwa hata kura za wanaYanga hamzitaki huko mbeleni.
  5. J

    UVCCM noma | BAVICHA Chukueni hii

    === Miongoni mwahazina kubwa ya Vijana viongozi kwa Taifa hili ni huyu kijana Kenani Kihongosi Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa, Kitendo Chake cha kuibadili UVCCM kutoka Ufuasi wake wa kisiasa pekee kwenda kwenye Ufuasi wa Kiuchumi kitawafanya Vijana wengi wa UVCCM-Tanzania kuwa matajiri wakubwa...
  6. T

    BAVICHA, UVCCM Wapinga katiba wako wapi?

    Miezi kadhaa kulikuwa taarifa mahususi kupitia Channel Ten na TBC ikiwa na matamko ya kwamba BAVICHA haihitaji katiba mpya. Walienea kila mkoa na kwenye vyuo, nani alikuwa anawafadhili badala yakutusaidia maji na umeme. Vyombo hivyo vya habari vilikuwa vinalipwa na taasisi ipi? Chongolo...
  7. jitombashisho

    CHADEMA nendeni na wamachinga na bodaboda mtanikumbuka baadaye

    Ndilo kundi linalonyanyasika sana kipindi hiki. Nyinyi msijali walikuwaje bali jalini mailage ya kisiasa.Hawa ndiwo watu wanaotegemewa hadi na wajomba zao huko kijijini kuwatumia elfu 5 kila wapatapo sasa wakiikosa ya kuwatumia huko kijijini lazima nao huko waelewe mchawi wa elfu 5 yao ni...
  8. comte

    BAVICHA: Unamuenzije Nyerere huku unadhihaki Mwenge na Muungano

    Nimesikitika sana kusikia BAVICHA ati wameenda Butiama kwenye kaburi la Nyerere kumuenzi. Naomba niwakumbeshe dhihaka zao kwa Nyerere. BAVICHA-Mwenge upelekwe makumbusho Lissu- wakati wa bunge la Katiba - Nyerere alikuwa laghai- CHADEMA- serikali za ukabila za majimbo na kuvunja Muungano kwa...
  9. J

    Tanzania kuna Demokrasia ya kweli kwenye nchi za kidikteta Bavicha wasingeruhusiwa kulisogelea kaburi la Nyerere!

    Nenda kwenye nchi yoyote ya kidikteta halafu wasimulie kwamba vijana wa upinzani waliingia lilipo kaburi la hayati mwenyekiti wa chama tawala na wakacheza bao na kunywa maziwa, maandazi na samosa. Watashangaa sana. Tanzania tuna demokrasia pana!
  10. J

    Halima Mdee ameondoka na Bawacha, Katambi aliondoka na Bavicha na sasa Chadema inasuasua!

    Kiukweli udhaifu wa CHADEMA ulianzia pale Balozi Wilbroad Slaa alipoamua kuachana na siasa za majukwaani. Baadae Patrobas Katambi akaidhoofisha Bavicha kwa kuhamia chama dume CCM. Halima James Mdee akapigilia msumari wa mwisho kwa kusepa na kijiji kizima cha Bawacha. Mungu ibariki CHADEMA!
  11. Lord denning

    Ushauri Kwa BAVICHA na CHADEMA; Someni Historia ya Nchi hii, mnajidhalilisha kwa wenye akili

    Habarini Bavicha na Chadema kwa Ujumla Leo napenda kuwashauri jambo la kuwasaidia kutokana na trend yenu ya kuanzisha vi thread humu kuongelea kesi ya Mbowe na kuleta nadharia zenu kuhusu watu waliokuwa Wanajeshi ambao wamedhibitiwa na vyombo vya ulinzi na Usalama Napenda kuwashauri hivi...
  12. Miss Zomboko

    Darasa la saba waanza Mitihani

    JUMLA ya wanafunzi 1,132,143 wa darasa la saba waliosajiliwa na Baraza la Mitihani la Taifa (Necta), leo na kesho watafanya mitihani ya taifa ya kuhitimu elimu ya msingi. Akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na mitihani hiyo Dar es Salaam jana, Katibu Mtendaji wa Necta, Dk Charles...
  13. Erythrocyte

    Bavicha kushiriki Kampeni ya usafi iliyoandaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Mara tarehe 4/9/2021

    Baada ya kusikia Bavicha wanafanya kongamano la Katiba mpya mkoani Mara , Mkuu wa Mkoa huo ameleta siasa za kishamba za kutangaza kuwa kesho ni siku ya usafi mkoani humo , na kwamba usafi huo utafanywa na vyombo vya ulinzi na usalama . Hata hivyo Bavicha imetangaza kuunga mkono juhudi za usafi...
  14. MamaSamia2025

    Ushauri: BAVICHA waandaliwe semina ya kuwaondoa mkwamo mbaya wa kisiasa uliowakumba

    Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi. Bila kupoteza muda niende kwenye mada. Binafsi nimeona kuna haja ya vijana wenzetu wa CHADEMA kuandaliwa semina ya dharura ili kuwaondoa na huu mkwamo mbaya wa kisiasa uliowakumba. Kwa muda mrefu sasa vijana wa CHADEMA wamekosa muelekeo wa wapi pa...
  15. P

    Nini kipo nyuma ya Channel Ten na matamko ya BAVICHA?

    Sio utamaduni wa chombo cha utangazaji cha Chanel Ten kutangaza habari za vyama vya upinzani nchini. Tangu wiki lililopita wamekuwa wakitangaza taarifa za Chadema wakidai wao ni wanachama wa chadema bile kujitaja wadhifa wao kichama. Pia najiuliza juhudi ya channel Ten kuwa mstari wa mbele...
  16. Erythrocyte

    Baadhi ya WanaCHADEMA waanza kuachiwa, yumo Pambalu wa BAVICHA

    Magaidi waliobainishwa na Jeshi imara la Polisi Tanzania wameachiwa leo akiwemo Mwenyekiti wa Bavicha Pambalu, hii ni hatua mpya ambayo haikutarajiwa na wengi. Bado tunaendelea kutafakari, bali inafurahisha sana ikiwa kama Magaidi wanaachiwa bila kufikishwa Mahakamani kujibu mashitaka ya ugaidi...
  17. W

    Mbunge CHADEMA: BAVICHA waache mihemko ya kisiasa, wabuni mambo ya kuwakwamua kwenye umasikini

    Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA Conchester Lwamlaza awataka vijana ambao ni wafuasi wa CHADEMA kuacha mihemuko ya kisiasa kwa sasa badala yake wabuni mambo yatakayowapa nafasi ya kuchangamkia fursa zinazotolewa zenye lengo la kuwakwamua kwenye wimbi la umaskini wa kipato. Chanzo: Radio One...
  18. Analogia Malenga

    Mwanza: Watu 30 wanashikiliwa na polisi kwa kukusanyika na BAVICHA bila kibali

    Polisi Mkoa wa Mwanza wamethibitisha kuwashikilia watu 30 waliokusanyika bila kuwa na kibali. BAVICHA waliandaa mkutano ambao watu walihudhuria lakini hawakuwa na kibali, na hakukuwa na fujo katika kusanyiko hilo. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza amesema wanaruhusu mikusanyiko lakini inapaswa...
  19. Erythrocyte

    Katibu wa Bavicha Iringa Mjini, Vitus Nkuna aachiwa huru bila masharti yoyote

    Hii ndio Taarifa ya sasa kutoka selo alikohifadhiwa , alikamatwa kwa maagizo ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga ambaye bado ana akili za Mwendazake za kuficha taarifa za CORONA , ilikuwa asafirishwe usiku huu kupelekwa Shinyanga kuhojiwa kwa andishi lake kuhusu corona Shinyanga. Pia soma > Kiongozi...
  20. Erythrocyte

    Kiongozi wa BAVICHA Iringa, Vitus Nkuna aitwa ofisi ya RC kwa mahojiano

    Katibu wa Bavicha Iringa Vitus Nkuna leo ameitwa ofisini kwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa ili ahojiwe , tambua kwamba RC wa Iringa anaitwa Queen Sendiga . Bila shaka Mahojiano hayo yanahusiana na kauli yake ya kizalendo kutokana na kuzidiwa kwa Mkoa wa Shinyanga na wagonjwa wa Corona huku kukiwa...
Back
Top Bottom