Waliojitokeza mapema kabisa kutia nia ni pamoja na Kamanda Elizabeth Mwakipesile ambaye kwa sasa ni Mwenyekiti wa Bawacha wa Mkoa wa Mbeya, Huyu yeye ametia nia kwenye nafasi ya Makamu Mwenyekiti Bara.
Nako kwenye nafasi ya Mwenyekiti wa Bawacha Taifa amejitokeza mzito mwingine anayeitwa...
Baraza la wanawake wa Chadema (BAWACHA) , limetangaza rasmi kuanza mchakato wa kujaza nafasi za Wasaliti waliotimuliwa ndani ya Chama wakiongozwa na Halima Mdee.
Fomu za Kugombea nafasi hizo za uongozi wa Bawacha Taifa zinapatikana kwenye ofisi za Mikoa za Chadema, ofisi za Kanda zote na ofisi...
Mnyukano wa kugombania madaraka ndani ya Chadema sasa umethibitika. Tayari Hilda Newton na Devotha Minja wameanza kukinyemelea kiti cha Halima Mdee Bawacha. Wanafanya kila mbinu kuhakikisha kwamba Mdee na wenzake hawarudi. Wanatumia nguvu kubwa kupamba na kundi la kina Mdee kuliko nguvu ambayo...
Baraza la Wanawake wa Chadema limekanusha kuitisha kongamano lolote linalohusiana na BAWACHA , hivyo halitambui kongamano lolote litakalofanywa kwa kutumia jina lao.
Chadema ipo mbioni kuziba nafasi za viongozi wa jumhia mbalimbali ikiwemo ya wanawake ambazo zipo wazi baada ya viongozi kuvuliwa uanachama. Mchakato wa kupata watu wa kuziba nafasi hizo unaendelea huku baadhi ya wanavyuo wakielezwa kupewa nafasi kwa lengo lakutengeza viongozi wapya. Timu ya...
Wakuu muda ni mchache sana na mambo ni lukuki, bila kupoteza muda Kamati kuu ya CHADEMA baada ya kutimua wasaliti, imeagiza mchakato wa kujaza nafasi zao uanze mara moja, jambo ambalo naliunga mkono .
Sasa kwa haraka haraka unadhani ni nani kati ya akina mama waliopo chadema kwa sasa anayefaa...
Viti Maalum vya wabunge Wanawake vimewekwa ili kulipa fursa kundi hilo la jamii kwenye ulingo wa siasa.
Mantiki yake ni kuwa, katika vurugumechi za siasa, wanaume huwazidi wanawake kutokana na sababu mbalimbali za kijamii na kitamaduni.
Katika kuheshimu misingi ya malengo hayo ya kuwa na viti...
Spika Ndugai amesema kanuni za bunge zinamtaka kuwalinda wabunge walio wachache na maslahi yao naye atafanya hivyo kwa nguvu zake zote.
Ndugai amesema wabunge 19 wa CHADEMA wameteuliwa kihalali na kama CHADEMA wana matatizo nao walipaswa kuwaita kwa heshima na kuwasikiliza badala ya kuwahukumu...
Kama tukikubaliana na hoja ya ''kununuliwa'' ambapo viongozi wote wa Juu wa Balaza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) wanaweza ''kununuliwa'' basi kuna tatizo kubwa nala msingi ndani ya chama ambacho kwa sasa kingekuwa ni chama kilichokabidhiwa mali za Taifa zima wazilinde na kuziendeleza kama...
Naona Watu wengi (Members) hapa tunawasema, tunawacheka, tunawadhihaki hadi kuwatukana huku tukiwaambia sijui wamenunuliwa na wana Njaa sana. Sitaki Kuwakatalia au Kupinga haya Maneno yenu Kwao hawa Wabunge Viti Maalum CHADEMA kutokea BAWACHA, ila GENTAMYCINE nina Ombi moja Maalum tu Kwenu na...
Nilidhani yale majina ya Wabunge wa Viti Maalumu wa CHADEMA yalizingatia uwakilishi kama wafanyavyo UWT ya CCM.
Kumbe hawa CHADEMA wamepeleka majina ya viongozi watupu ukiwemo uongozi wote wa BAWACHA yaani Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti, Katibu Mkuu, Manaibu Katibu Mkuu, Mtunza Hazina nk.
Ni...
Unapozungumzia Viti maalum wa 2020 hawa 19 WALIOCHAGUANA unazungumzia ngome kongwe ya viongozi wa wanawake wa chadema (BAWACHA).
Nakukumbusha katibu mkuu utendaji wako juu ya hili kundi sio tu unawaathiri wao kama viti maalum bali unaathiri mfumo mzima wa balaza lako la wanawake ambalo ndio...
Nidhamu katika taasisi yeyote ile ni jambo la msingi sana, iwe sehemu ya kazi iwe jeshini, kwenye biashara, pesa zako bila nidhamu huwezi kufanikiwa.
Kiongozi anapoenda kinyume na maamuzi halali ya taasisi ni aidha anajiuzulu au anafukuzwa. Halima Mdee amekiuka maamuzi halali ya Kamati Kuu...
Wabunge Viti Maalum kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wameanza mchakato wa kusajiliwa Jijini Dodoma.
Majina yao yamewasilishwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA
ORODHA YA WABUNGE WA VITI MAALUM CHADEMA 2020:
1. Halima Mdee
2. Grace Tendega
3. Ester Matiko
4. Cecilia Pareso
5. Ester...
Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amesema anatamani sana atakapostaafu kama mwenyekiti wa Chadema taifa basi mrithi wake atoke Bawacha.
Source Tanzania Daima
My take; Namuona Halima Mdee akiandaliwa fursa ya kuongoza Chadema
Maendeleo hayana vyama!
Nauliza tu endapo itampendeza Rais Magufuli na akamteua mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe kuwa mbunge, kamati kuu ya CHADEMA itamzuia kama wanavyojaribu kuwazuia wale wabunge wanawake 19 kutoka Bawacha?
Ni hako kaswali tu makamanda.
Maendeleo hayana vyama!
17 October 2020
Halima Mdee : Wanawake ni Jeshi Kubwa, Wanaweza
Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) Bi. Halima James Mdee azungumzia umuhimu wa wanawake ktk Taifa kushirikishwa katika maamuzi ngazi zote ili kuwa na Taifa bora kijamii , kisiasa na kiuchumi
Hapa Tanzania...
Umoja wa vijana na umoja wa wanawake umeimarika na umetoa viongozi wengi wa leo na kesho wa Taifa hili.
BAWACHA nadhani ndio umoja wa wanawake wa vyama vya siasa uliowahi kusimamisha wanachama wengi kugombea Ubunge Afrika na hata Duniani. Lakini pia umoja huu si tu umetoa wagombea wanawake Bali...
Baraza la Wanawake CHADEMA chini ya Mwenyekiti wake Halima Mdee sauti ya zege, limeweza kuhamasisha wanawake vijana wengi kugombea majimboni.
Taarifa zinasema zaidi ya wanawake 60 wameteuliwa kugombea kwenye majimbo huku CCM ikiweka wanawake 12 tu majority wanangojea viti maalumu, Hongera Ummy...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.