bawacha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    John Mnyika: Bawacha haijaundwa kwa ajili ya kupeleka wabunge wa viti maalumu bali kuchochea mageuzi ya Demokrasia

    Katibu mkuu wa Chadema mh J J Mnyika amesema Bawacha haijaundwa kwa ajili ya kuchagua wanawake wa kuwapeleka bungeni kwa viti maalumu bali ni kichocheo cha demokrasia nchini. Mnyika amesema wanawake ni jeshi kubwa hivyo wanao wajibu wa kupigania katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi. Pia...
  2. Erythrocyte

    Mwanza: BAWACHA wapata safu mpya ya uongozi wa Kitaifa: Sharifa Suleiman, Catherine Ruge, Bahati Chumu, Nuru Ndossi, Aisha Machano

    Amechaguliwa leo kwenye Mkutano Maalum ulioitishwa Mwanza ili kuziba pengo la wale Corona 19 waliovuliwa uanachama. ===== Sharifa akabidhiwa mikoba ya Mdee Bawacha Chama cha Chadema kimemteua Sharifa Suleiman kuwa kaimu mwenyekiti wa Baraza la wanawake la chama hicho (Bawacha) ambapo...
  3. Elisha Sarikiel

    Uchaguzi BAWACHA: Sharifa Suleiman aibuka kidedea Uenyekiti Taifa

    Mheshimiwa Susan Kiwanga na wenzake Monica Nsaro na Aisha Luja wameshindwa kurithi nafasi ya Halima Mdee ya mwenyekiti wa BAWACHA kitaifa. Kwa msingi huo, Sharifa ambaye ni kama makamu mwnyekiti wa Bawacha-Zanzibar, ndiye amechukua nafasi ya mheshimiwa Halima Mdee ya mwenyekiti wa Bawacha taifa...
  4. Francis12

    Hujuma za kutisha uchaguzi mkuu wa BAWACHA - Mwanza

    Anaandika Mdau kutoka Mwanza HUJUMA ZA KUTISHA UCHAGUZI MKUU WA BAWACHA - MWANZA Leo 18 May 2021 ni siku ya Uchaguzi Mkuu wa Bawacha Taifa kujaza nafasi zilizoachwa wazi na akina Halima Mdee na wenzie, Kwa tulio wengi tunategemea Chadema kama Chama cha Demokrasia na waumini wakubwa wa uhuru...
  5. N

    Uchaguzi wa Katibu Mkuu BAWACHA: Nani ni nani?

    UKATIBU MKUU BAWACHA NANI NI NANI? HAPO LEO TAREHE 18 / 05/2021 - MWANZA 1. ESTER DAFFI UIMARA 👉🏼Ni kijana aliyekulia kwenye Chama toka Bavicha ya John Heche akiwa Naibu Katibu Mkuu Bavicha Chini ya Deogratius Munish. 👉🏼Amekuwa Afisa Utawala na Rasilimali Chadema Makao Makuu. 👉🏼Amekuwa Afisa...
  6. J

    Husna Saidi akiwa Mwenyekiti wa BAWACHA Taifa itapendeza sana

    Huyu mama ana msimamo usioyumba tokea enzi za hayati Magufuli hajawahi kujipendekeza. Tukumbuke kuwa hata mgombea ubunge wa Chadema kule Chato alipata kura nzuri tu. Na hata Tundu Lisu wakati wa kampeni Chato na Nkasi ndio maeneo aliyopata mapokezi makubwa sana. Bawacha fikirieni kumpa huyu...
  7. Erythrocyte

    BAWACHA hawatanii, waomba ulinzi wa Polisi, RPC Muroto maji yamfika shingoni, aonywa aache siasa

    Habari kamili hii hapa ====== Bawacha wamesema kuwa, hao ni wabunge wasiokuwa na chama, wanamwambia kamanda Muroto kuwa pamoja na kusema utatupiga mabomu sisi tunaandama mpaka Dodoma. Wewe sio mwanasiasa achana na mambo ya siasa kazi yako ni kutulinda sisi na mali zetu, tunakata tujibiwe na...
  8. Poppy Hatonn

    BAWACHA wapo Dodoma kupima kina cha maji

    Polisi ya Tanzania ni ile ile. Jambo gani litawafika hawa wadada? Hawa wadada lazima wafuate Sheria za Tanzania kama wengine wote tunavyozifuata. Wanataka kulivamia Bunge kama wafuasi wa Trump walivyoivamia Congress. Hawa watu hawana uzalendo. Hawa ni vilaza au vipi? Lazima tuwe na nidhamu...
  9. R

    NGUVU YA BAWACHA; Ushahidi kuwa CHADEMA imekita mizizi kila mahali nchini

    Kitendo cha akina mama wa Chama cha demokrasia na maendeleo kuwa katika mstari wa mbele kupigania haki na utawala bora unaozingatia sheria na kayiba za nchi kimefikirisha wasomi, wanasiasa na wataalam wa maswala ya siasa nchini. Tangu zamani inaaminika kuwa Ukimwelimisha mwanamke basi...
  10. J

    RPC Muroto atoa onyo kwa BAWACHA, asema wanaotaka kuandamana watakipata wanachokitafuta wakasimulie wenzao huko Geita

    Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma amesema ofisi yake haina taarifa rasmi za maandamano ya BAWACHA hivyo atakayeandamana atakutana na mkino wa dola. Kamanda Muroto amewataka akina mama hao waliopanga kuandamana waje na computer na madaftari ya kuchukulia notisi ili waandike kile watakachokutana...
  11. J

    Basi la Bawacha kuondoka Geita kesho kuelekea bungeni Dodoma kuwang'oa akina Halima Mdee na wenzake

    Msafara wa Bawacha unatarajiwa kuondoka Geita kesho asubuhi kuelekea bungeni Dodoma kumshinikiza Spika Ndugai awatimue bungeni akina Halima Mdee na wenzake. Ni msafara wa mabasi kadhaa ambapo mengine yataunga msafara njiani kama Kahama, Nzega na Singida huku Husna Said wa Chato akiongoza...
  12. S

    BAWACHA kumvaa Ndugai kwa Kigodoro - Gear habib kurusha live

    Wanasema Ndugai amechokoza manyuki jike sasa ni neno kwa neno na kama haitoshi huwenda wakamvaa Ndugai hadi nyumbani kwakwe na ngoma ya kigodoro. Ndugai omba msamaha au wacha kujibizana na kupashana na wanawake. Imekuwa sasa ni kujibizana,Ndugai mambo ya wanawake huyawezi shauli lako !
  13. J

    BAWACHA kutinga Bungeni tarehe 10/05/2021 kuwatimua Wabunge 19 waliopora nafasi za CHADEMA

    Bawacha wamepanga kwenda Bungeni Dodoma tarehe 10/05/2021 kudai nafasi zao 19 za Ubunge zinazokaliwa kwa mabavu na akina Halima Mdee na wenzake . Mwenyekiti wa Bawacha wilaya ya Chato bi Husna amesema maandamano yao jijini Dodoma kuelekea Bungeni hayatakuwa na kikomo hadi suluhisho lipatikane...
  14. msuyaeric

    BAWACHA: Spika Ndugai kuita barua rasmi kipeperushi ni kiburi cha madaraka. Amekuwa Mtetezi wa wanawake kuanzia lini?

    Hotuba ya Susan Kiwanga, Mjumbe wa Kamati Kuu Tarehe 20 April 2021 Naibu Spika alitoa kauli Bungeni kwamba ofisi ya Spika haikuwa na taarifa rasmi ya CHADEMA kuhusiana na kuvuliwa uanachama kwa waliokuwa wanachama wake 19. Ibara ya 67 (1)(b)ambayo imeweka masharti na sifa za mtu kuteuliwa kuwa...
  15. Erythrocyte

    BAWACHA kuongea na waandishi wa habari wa ndani na nje ya nchi

    Hii ndio taarifa yao mpya waliyoisambaza kwa vyombo vyote vya habari duniani Wote Mnakaribishwa . Tunasisitiza kwa wale wote watakaohudhuria kufuata mwongozo wa WHO wa kudhibiti maambukizi ya corona
  16. U

    BAWACHA kuwapeleka Mahakamani wabunge 19 waliofutwa uanachama CHADEMA

    Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha) limesema litakwenda mahakamani kufungua kesi iwapo wanawake 19 waliofukuzwa katika chama hicho wataendelea kutambulika kama wabunge wa Chadema. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma leo Jumamosi Aprili 24, 2021 mweka hazina wa Bawacha, Catherine...
  17. I

    BAWACHA: Rais Samia asiwatambue Wabunge 19 wa Viti Maalum waliofukuzwa uanachama CHADEMA

    Katika mkutano huo, Catherine Ruge amesema: Tumeona kwenye vyombo vingi vya habari kuwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassani anaenda kulihutubia Bunge tarehe 22 -04-2021 kwa mara ya kwanza tangu alipoapishwa kwa rais wa JMT kufuatia kifo cha mtangulizi wake, Dkt. John Magufuli. Kuelekea tukio...
  18. Erythrocyte

    BAWACHA kuongea na Waandishi wa Habari Jijini Dodoma

    Taarifa inaeleza kwamba Mkutano huo utafanyika kwenye ofisi za Kanda ya Kati Jijini Dodoma kesho Tarehe 21/4/2021, kuanzia saa 5 kamili asubuhi . Wote Mnakaribishwa . Muhimu : Zingatia mwongozo wa WHO kuhusu janga la corona =========
  19. Erythrocyte

    Uchaguzi BAWACHA: Majina ya waliorejesha fomu za kugombea uongozi haya hapa

  20. Erythrocyte

    Uongozi BAWACHA: Suzan Kiwanga ajitosa rasmi kuwania Uenyekiti wa BAWACHA Taifa

    Wakuu wakati Taifa letu likiwa tulivu kabisa baada ya wananchi kuombwa wawe na mshikamano , basi kule BAWACHA nako mambo yanazidi kusogea kimya kimya . Mh Suzan Kiwanga mbunge wa zamani wa Mlimba aliyedhulumiwa hata kutetea tena ubunge wake kwa sababu ambazo hata Tume ya Uchaguzi haizifahamu...
Back
Top Bottom