Viti Maalum vya wabunge Wanawake vimewekwa ili kulipa fursa kundi hilo la jamii kwenye ulingo wa siasa.
Mantiki yake ni kuwa, katika vurugumechi za siasa, wanaume huwazidi wanawake kutokana na sababu mbalimbali za kijamii na kitamaduni.
Katika kuheshimu misingi ya malengo hayo ya kuwa na viti...