Wanabodi,
Kati ya vyombo vyote vya habari duniani, chombo kikuu kabisa cha kuaminika, kwa sisi Anglophone Africa ni our colonial master, The British na shirika lao la habari la kibeberu la BBC London, na kwa Francophone Africa ni France na RFI na F24 TV. Sasa inapotokea chombo kama BBC London...
Licha ya makelele yote yale na mamia ya nyuzi humu JF na nenda rudi nyingi zile baina ya serikali yenu na Barrick, ilifikaje makubaliano ya 2017 kupinduliwa na kufanywa kinyume chake, niwe mkweli hayo makubaliano ya awali yalinifanya nihisi kwa namna fulani Magufuli ndiye kiboko na starring wa...
Wadau habarini za usiku,
Kama heading isemavyo, ni wazi hili shirika now days professionalism imepungua kwa kiasi kikubwa mnoo uandaaji wa habari usioeleweka.
Mfano Usiku huu nimetazama ripoti iliyosomwa na Lulu Odhiambo kuhusu kupungua maambukizi ya corona huko Kenya sasa katka display pale...
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Uingereza, Tim Davie amewazuia watumishi wa ashirika hilo kuandika mambo ya kisiasa katika mitandao ya kijamii inayoonyesha mrengo wao wa kisiasa
Kuandika maoni au kuwa kama mpiga kamepeni wa chama fulani kwenye mitandao ya kijamii ni chaguo zuri...
Citizen TV’s Victoria Rubadiri wins BBC World News Komla Dumor award
Citizen TV news anchor Victoria Rubadiri has been announced as the winner of the 2020 British Broadcasting Corporation (BBC) News Komla Dumor award.
The win makes Ms Rubadiri the second Kenyan to win the award after her...
Eti wameonyesha kipindi cha historia ya ukombozi wa Afrika, ambapo wametaja wapambania uhuru kama akina Kwame Nkrumah, Patrice Lumumba na Nelson Mandela, Jomo Kenyatta miongoni mwa wengi.
Lakini cha ajabu walipofika kwenye ukombozi wa nchi za kusini mwa Afrika wameishia kumtaja Mandela tu na...
Journalist, BBC Swahili Service - Dar es Salaam
Job Reference: BBC/TP/788771/50346
Contract Type: Permanent
Job Category: Journalism
Business Unit: News - WSG World Service
Location: Dar es-Salaam, Tanzania, United Republic of
Job Title: Journalist
Job Introduction
The BBC is an...
Katika mojawapo ya mahojiano aliyowahi kufanya miaka ya nyuma, Rais Yoweri Museveni wa Uganda alipata kuulizwa anadhani nini hasa ilikuwa siri ya Baba wa Taifa la Tanzania, Julius Nyerere, kudumu muda mrefu madarakani.
Bila kupepesa macho, Rais huyo alitoa jibu moja tu; He tamed the army...
Tokea watawala wetu watangaze kanuni zao za "kipuuzi" kuwa kuanzia sasa, hakuna chombo cha habari hapa nchini kurusha matangazo na vyombo vya habari vya washirika toka nchi za nje, hadi kwanza wapate kibali toka mamlaka ya TCRA, wamepaisha mno umaarufu wa vyombo hivyo vya nje maradufu bila ya...
TCRA imekituhumu kituo cha utangazaji cha RFA kukiuka kanuni na maadili ya utangazaji kupitia kipindi cha 'amka na BBC' kwa kurusha maudhui bila kuzingatia mizania ya habari walipokuwa wanamuhoji Makamu mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu juu ya viongozi wa chama hicho kutoshiriki kutoa heshima...
Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Ziwa, Mhandisi Francis Mihayo amevitaka Vituo vya Utangazaji (Radio, Televisheni, Blogs na Online Tv) kuzingatia Kanuni mpya za Maudhui Mtandaoni 2020 na Kanuni Mpya za Redio na Televisheni 2020.
Mihayo ameyasema hayo wakati wa kikao kati...
Uganda imeamua kutumia wanajeshi kuzuia muingiliano na Watanzania mpakani, maana watu wanaotokea Tanzania kila wakipimwa wanakutwa na kirusi, kwa sasa hamna cha undugu tena mpakani. Kule Tanzania walishaambiwa corona imejifia kisa kiongozi kasema.
===
Uganda is clamping down on informal cross...
Mimi ni miongoni mwa wasikilizaji wa redio mbalimbali hapa nchini, miongoni mwa hizo ni BBC SWAHILI kupitia washirika wao. Si kwamba wanachonikwaza wao hakitokei kwenye redio nyingine la hasha ila naangalia na ukubwa wa shirika husika.
Hakuna shaka kuwa sehemu kubwa ya Wasikilizaji wa Kiswahili...
Focus on Africa - Tanzania: Tundu Lissu wants to run for president - BBC Sounds
Mbali na kuonyesha uwezo mkubwa wa kumudu lugha ya kingereza,lakini pia anajua kujieleza na kujibu vizuri maswali, sifa ambayo mwanasiasa yoyote anapaswa kuwa nayo
Machache miongoni mwa aliyosema katika mahojiano...
Mwanasiasa wa upinzani nchin Tanzania Tundu Lissu amesema anatarajia kurudi nchini humo Julai 28.
Lissu ametangaza nia ya kugombea urais kupitia chama chake cha CHADEMA Oktoba mwaka huu. Mwanasiasa huyo kwa sasa yuko ughaibuni ambapo alienda kupata matibabu baada ya kushambuliwa kwa risasi...
Kwa furaha tunayofurahia ndio tujipange kwa sababu maumivu yanayokuja kwa kupanda daraja ni makubwa.
1. Misaada iliyokuwa inapata kama nchi maskini itakatwa
2. Mikopo iliyokuwa inasemwa nafuu itakuwa haipo tena.
3. Mikataba yenye unafuu wa kibiashara itakuwa tofauti ile dhana ya kusaidiwa...
Leo 1 of july 2020 Tanzania imeingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati "middle income economies "
Tanzania imeweka rekodi hii haraka kuliko ilivyotarajiwa hapo awali
Benki ya Dunia na taasisi nyingine duniani zimeendelea kumwaga sifa za pongezi kwa Rais Magufuli kwa...
Na Sammy Awami BBC News, Dar es Salaam
18 Juni 2020
Rais wa Tanzania John Magufuli amekuwa akikosolewa kwa mashambulizi yake ya mara kwa mara dhidi ya "mabeberu" na tangazo lake la hivi karibuni kuwa maombi na sala vineondosha virusi vya corona katika taifa hilo.
Lakini suala hilo la...
Habari zimethibitishwa kuwa Pierre Nkurunzinza wa Burundi alikuwa muathirika wa gonjwa hatari la COVID19.
Tuchukue tahadhari wandugu, gonjwa bado linatesa.
---
Burundi’s outgoing President Pierre Nkurunziza died of Covid-19, diplomatic sources in Bujumbura and Nairobi confirmed on Wednesday...
Jozi za viatu za nguli wa mchezo wa kikapu Michael Jordan za mwaka 1985 zimeweka rekodi ya kuuzwa kwa kiasi cha dola za Marekani 560,000, kwenye mnada wa mtandaoni.
Jozi hiyo ya viatu ya Nike Air Jordan 1s, ilivaliwa na Jordan wakati wa msimu wake wa kwanza akiwa kinda na klabu ya Chicago...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.