Wadau habarini za usiku,
Kama heading isemavyo, ni wazi hili shirika now days professionalism imepungua kwa kiasi kikubwa mnoo uandaaji wa habari usioeleweka.
Mfano Usiku huu nimetazama ripoti iliyosomwa na Lulu Odhiambo kuhusu kupungua maambukizi ya corona huko Kenya sasa katka display pale...