Habari wanajukwaa wenzangu🤝, naomba ufafanuzi wa jambo hili.
Ni kwanini vyombo vya habari vya serikali especially radio na TV vingi vinatumia mfumo mmoja wa majina yao mfano (KBC, TBC, BBC, UBC, etc.)
1:Je nilazima kwa radio na Tv za serikali kutumia mfumo huu.?
2:Ni sababu ipi ilizifanya...