beach

A beach is a landform alongside a body of water which consists of loose particles. The particles composing a beach are typically made from rock, such as sand, gravel, shingle, pebbles. The particles can also be biological in origin, such as mollusc shells or coralline algae.
Some beaches have man-made infrastructure, such as lifeguard posts, changing rooms, showers, shacks and bars. They may also have hospitality venues (such as resorts, camps, hotels, and restaurants) nearby. Wild beaches, also known as undeveloped or undiscovered beaches, are not developed in this manner. Wild beaches can be appreciated for their untouched beauty and preserved nature.
Beaches typically occur in coastal areas where wave or current action deposits and reworks sediments.

View More On Wikipedia.org
  1. Beach ya Ununio kunafanyika uchafu mpaka kwa Watoto wadogo

    Tunapoendelea na sakata la mashoga na mambo mengine yanayotia aibu na kinyaa, wazazi mnaoruhusu watoto wenu wa kike na wa kiume kwenda Ununio Beach wanafanya uchafu kul, kuweni makini lindeni watoto wenu. Maana usitegemee serikali ije ikulindie Serikali itapiga soga la siasa tu lakini pale kuna...
  2. Natafuta nyumba ya kupanga vyumba viwili inayojitegemea (stand alone) maeneo ya Mbezi Beach

    Habari Wakuu, Kama kichwa kinavyosema, nahitaji nyumba ya kupanga inayojitegemea kwenye fensi yaani stand alone maeneo ya Mbezi Beach. ~ Nyumba ya vyumba viwili, sebule na jiko inayojitegemea. ~ Bajeti laki 5 (500,000). ~ Iwe maeneo tulivu Nikipata ambayo haina udalali nitashukuru. Najua...
  3. INAUZWA Nyumba inauzwa Mbweni

    Mbweni Stand alone House, 3 bedrooms, Toilets, Kitchen and Dining, Parkin space up to 5 cars, Dawasa Water supply, Garden space,sqm 460, hati miliki ipo. Price tshs.180million. Dalali pia unaruhusiwa kuleta mteja . 📞 +255 785 335 350. WhatsApp +255 621 142 409
  4. J

    Natoa siku 14 kwa viongozi wa Tanesco walioshiriki kuninyima umeme mbezi beach!

    Mimi kama "Jicho la Mganga" nafikisha ujumbe huu kutoka kwa Wilfred kwenda kwa viongozi wa Tanesco! Wilfred anasema! Takribani miezi miwili sasa Tanesco wananihangaisha! Uungwana wangu hauna maana kwao! Niliomba umeme pale tanesco tankibovu, kwa kufuata taratibu zote, wakaja kunipimia na...
  5. Mbona hatujatangaziwa Tume ya Uchunguzi Kuungua kwa Al Moustafa Islamic Foundation Mbezi Beach Makonde?

    Endeleeni kudhani wenye Akili hatujui kwanini mmeuchuna wakati siyo Kawaida yenu Kuuchuna katika Matukio kama hata tena likihusisha Taasisi ya Kiimani. Halafu washaurini kama wataendelea kuwa hapo Makonde Wabadilike na kale 'Katabia Kero Kao' kwa Wanafunzi wa Kiume vinginevyo Moto wa Mwenyezi...
  6. N

    Wizi umezidi maeneo ya beach hasa silver beach jirani na kunduchi beach tunapoteza watalii

    Wizi umezidi maeneo ya beach hasa silver beach iliyopo karibu na kunduchi beach matukio ya wizi hasa maeneo ya beach yamekuwa ni kama jambo la kawaida, siku ya leo nikiwa katika fukwe za beach jiranj kabisa na beach ya kunduchi kuna eneo linaitwa silver beach pia kuna hotel inaitwa silver...
  7. Coco Beach pajengwe Shopping Mall

    Ukipita pale Coco Beach utagundua like eneo halitumiki ipasavyo. Kwanini pasijengwe Shopping Mall kubwa ili watalii wapate nahitaji yote hapo huku waki-enjoy upepo wa bahari? Pichani ni Water Front Shopping Mall, Cape Town, SA
  8. Coco Beach pesa ya maegesho inaenda wapi?

    Ukifika Coco beach na gari utakaribishwa na mdau anayekusanya ushuru wa TZS 1,000 Kwa kila gari. Je, hiyo pesa inafanya kazi gani? Maana hata kile choo pale unalipia tena pesa. Uchafu umejaa kila kona. NB: Halmashauri ya Manispaa waliwahi kupewa maelekezo ya kuendeleza usafi hapo Coco Beach...
  9. M

    Plot4Sale Viwanja vinauzwa Kimbiji, Kigamboni

    👉 Viwanja Kigamboni Kimbiji 👉 Mashamba tambalale Kwa ufupi. Eneo la ekari 3.5 beach area Lipo mkoa wa pwani Kisiju Karibia na bandari ya Kisiju Kituo ni Sotele Km 87 kutoka City Center DSM Bei ni milioni 12. (Negotiable) +255746 474849 Update** Heka zaidi ya 100 zinauzwa kisiju wilaya ya...
  10. BASATA wanaendaga beach za wapi?

    Wakuu ishu ya BASATA na Wavuvi Kempu imeniacha na maswali najiuliza hawa BASATAwanaendaga beach za wapi hadi washangae bikini ufukweni. Kuna beach watu hawavai bikini? Tena bora hata wavuvi camp watu wote ni watu wazima hakuna watoto,ukienda pembeni tu beach za bure watu wanapiga bikini na kuna...
  11. Bora tukose umeme na Maji kuliko watu kupotea na kuokotwa kwenye Viroba baharini Coco Beach

    Salaam Wakuu, Nape Nnauye aliwahi kusema "Bahari imetulia, Mwenyezi Mungu ameamua ugomvi". Kuna utawala uligubikwa na Sintofahamu ya Watu kupotea, kufa, kubambikiziwa kesi. Utawala uliteneza kundi la watu wasiojulikana ambao kazi yao ilikuwa kumshughulikia yoyote atakayekuwa na Mawazo mbadala...
  12. Kwanini ajali nyingi zinazotokea mataa Mbezi Beach huwa zinaua tu Vijana walioanza kufanikiwa kimaisha na kiutajiri?

    Karibia 85% ya Ajali mbaya zinazotokea hapo Mataa ya Mbezi Beach Jirani na Kanisa la KKKT huwa zinachukua tu Uhai ( Zinaua ) Vijana ambao Wameshaanza Kutusua ( Kutoka ) Kimaisha. Na kwanini zote ziwe ni eneo hilo hilo na hapo hapo Mataa upande wa Barabara ya Kuelekea Rainbow au pale kwa CDF...
  13. Je, hi Taarifa kuwa Mtume Mwamposa 'Kaondolewa' Kawe na sasa anahamia Mbezi Beach Kona Baa ni za kweli?

    "Mtume Mwamposa amepewa hadi Jamamosi ( 8 Oktoba, 2022 ) awe ameshaondoka Tanganyika Packers Kawe na sasa atahamia rasmi Mbezi Beach Kona Baa njia ya zamani ya kwenda Goba ambako amenunua Eneo Kubwa sana kwa Juu kwa thamani ya Shilingi Bilioni 3.5 za Kitanzania" amesema Mkazi Jirani na Eneo...
  14. J

    Plot4Sale Tunauza Viwanja, Nyumba na Mashamba Dar es Salaam

    1- kinauzwa kiwanja mbezi ya goba kulangwa sq 400 Bei million 17 (maongezi yapo) kilipo si mbali na barabara (dk7- 10 main road) 2- kiwanja kinauzwa MBEZI GOBA sqm 1000 Bei million 57 (maongezi yapo)pia hakipo mbali na barabara 3. Nyumba ya vyumba 6 Mbezi beach Goigi (dk 10 bagamoyo road)...
  15. 🚗 IST ilivyoleta kizaa zaa Coco Beach

    Siku moja miaka ya nyuma kidogo Jamaa mmoja aliingia pale Coco beach mida ya mchana na IST yake, sasa alipofika alikuta parking imejaa ila katika kutafuta jamaa wa parking akamuita, Kulikua na spot moja kwenye mchanga mchanga na kulikua na gari za juu zimepark pale.. . Yule jamaa wa parking...
  16. NEMC hakikisheni manaowapa vibali kujenga karibu na fukwe wanafuata taratibu zilizowekwa ili kutunza fukwe zetu

    Kwa muda mrefu ni mdau wa utunzaj wa mazingira kwa maendeleo endelevu. Juhudi za awamu ya sita nazo zimepajipambanua kuweka uhifadhi ili jamiii inufaike na suala zima za uhifadhi kwa vizaz vya sasa na vijavyo. Leo nilikua na tambiko fulan asubh baharin. Nimekuta vitu si vizur kwa fukwe zetu.em...
  17. FBI raiding trump estate at "MAR-A-LAGO" in Palm Beach, Florida

    08 AUGUST 2022 FBI Agents are executing a Search Warrant against the home of President Donald J. Trump at Mar-a-Lago, in Palm Beach, Florida at this hour. The President issued a statement: Hal Turner Editorial Opinion I’m not surprised. Anything to try to make him not run again and take...
  18. House4Sale Nyumba inauzwa Mbezi Beach (Stand alone)

    Ni standalone 4bedrooms living room dinning kitchen area size 800sqm Asking price 280mil note...viewing charges is applied
  19. Chupuchupu nimezwe na maji Coco Beach!

    Habari za humu wanajukwaa, natumai hamjambo wote. Kisa changu kipo hivi Mimi wakati huo nilikuwa naweza tu kuogelea umbali kama mita 3 tu napumzika, sasa siku ya kati kati ya wiki nikaenda zangu coco. Kupun ga upepo nikafika nikakodisha boya kwa buku nikaingia zangu kwenye maji kuogelea, kwa...
  20. Feeling stressed? There’s a beach for that

    Feeling stressed? There’s a beach for that
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…