beach

A beach is a landform alongside a body of water which consists of loose particles. The particles composing a beach are typically made from rock, such as sand, gravel, shingle, pebbles. The particles can also be biological in origin, such as mollusc shells or coralline algae.
Some beaches have man-made infrastructure, such as lifeguard posts, changing rooms, showers, shacks and bars. They may also have hospitality venues (such as resorts, camps, hotels, and restaurants) nearby. Wild beaches, also known as undeveloped or undiscovered beaches, are not developed in this manner. Wild beaches can be appreciated for their untouched beauty and preserved nature.
Beaches typically occur in coastal areas where wave or current action deposits and reworks sediments.

View More On Wikipedia.org
  1. Q

    Plot4Sale Beach Plot Nunge Bagamoyo Mjini

    Beach plot inauzwa Nunge Beach Bagamoyo Mjini. Nunge Beach ni maeneo ya ilipokuwa Paradise Hotel and Resort. Ni eneo linalofaa kujenga Hotel za kitalii. Size ya kiwanja ni 11 acres. Bei ni $2M. Serious customers wawasiliane nami kupitia 0687320462.
  2. M

    Natafuta Beach Plot/ eneo ambalo ni mita chache toka ufukweni sehemu yoyote Dar es Salaam

    Wakuu, Natafuta eneno ambalo ni mita chache toka ufukweni. Sehemu ambayo nitaweza kujenga nyumba ya makazi. Budget yangu ni kati ya Milioni 12 mpaka milioni 30. Hii itategemea na sehemu. Unaweza nicheki inbox kama una eneno na upo serious kuuza. Nitalipa pesa kwa mkupuo pindi tutapo fanya...
  3. Magari ya Biashara

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Mbezi Beach - Africana (upande wa bahari)

    Kiwanja kipo Mbezi Beach Africana upande wa chini. Kina ukubwa wa sqm 800, HATI IPO Bei ni milioni 130 tu. WAHI SASAA. MAWASILIANO 0677 818283
  4. L

    Bar zinavyochipuka ukanda wa Mbezi Beach

    Kwanza naunga mkono kauli ya RC mstaafu wa Mwanza kuwa "watu wanywe bia maana bia ni uchumi" Lakini pamoja na hilo siku za karibuni kumeibuka mfululizo wa bar ukanda wa mbezi beach ya chini hali inayopelekea mtaa kukosa utulivu hii imepelekea hata baadhi ya wasanii kuhama mjini sinza na kufata...
  5. M

    Mbezi beach, Dar: Jimson Kibiki, apigwa risasi na Majambazi wakati akitoka benki kuchukua hela, wamnyang'anya Mil 4

    Afande sina cha kueleza, taarifa zinajitosheleza hapa chini! Tukio la kusikitisha limetokea leo mchana maeneo ya Juliana Mbezi beach ambapo Jimson Kibiki amefariki baada ya kupigwa risasi. Kutokana na vyanzo vya mashuhuda Jimson alivamiwa alipokuwa ametoka bank na kuporwa na majambazi kiasi...
  6. Tripo9

    Watoto niwapeleke wapi leo Eid wakatembee hapa Dar? Nimechoka na Coco Beach

    Eid Mubarak! Baada ya kuwanunulia nguo za Eid 😃sasa niwakati wa kutafuta sehemu ya kuwapeleka wanangu kutembea Leo hii siku ya Eid. Naombeni sehemu ya kwenda maana nimechoka kila siku Coco beach tu bhana. Asanteni
  7. Joshua kachala

    Plot4Sale Beach plot for sale Bagamoyo

    Beach plot for sale Bagamoyo Viwanja vipo eka 3 na lina hati miliki kila eka moja bei yake 120million maongezi yapo. [emoji1428] eka moja tsh: 120million maongezi yapo [emoji3591]viwanja vinagusa maji kabisa [emoji3513]0712943877=0789076089 kalibuni sana
  8. luangalila

    Coco beach Jumapili ya leo ilipendeza

    Ilikuwa siku ya uchovu kwangu baada ya kumalizana na shemeji yenu ma vishughuli vya mjini nikaona nijichanganye kwa waswahili wenzangu ktk ufukwe wa Umma wa coco beach hakika Jpili ya leo ilikuwa tofauti sanaa Watu walikuwa wengi wakubwa kwa wadogo Moja kati ya kitu kilinistajabisha ni pale...
  9. P

    House4Rent Nyumba inapangishwa Mbezi Beach

    NYUMBA
  10. M

    Naomba kufahamishwa Shule ya Msingi ya Kikristo iliyopo Goba, Mbezi, Madale, Kunduchi au Mbezi Beach

    Wadau, Kwa unyenyekevu naomba kufahamishwa kwa mtu yeyote anayejua shule yoyote ya msingi ya Kikristo iliyoko katika maeneo ya Goba, Mbezi au Madale, Kunduchi, au Mbezi Beach. Kama unafahamu shule ya namna hii iliyoko eneo lolote jingine Dar es Salaam. Naomba pia kufahamishwa ingawa kipaumbele...
  11. J

    Polisi: Bastola ya Nape Nnauye iliyoibwa nyumbani kwake Kawe Beach imepatikana mkoani Mbeya

    Polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam imesema silaha ya mbunge wa Mtama mkoani Lindi iliyoibiwa kupitia dirishani nyumbani kwake Kawe beach jijini Dar es salaam imepatikana. Silaha hiyo aina ya bastola ikiwa na risasi 14 imepatikana mkoani Mbeya baada ya ushirikiano wa polisi wa mikoa hiyo...
  12. J

    Lukuvi tembelea na Ununio beach kuna ushuru unatozwa kuanzia Halima Mdee alipokuwa Mbunge

    Nisiongee mengi tembelea tu wewe mwenyewe mh waziri Lukuvi utagundua hapo Coco beach ni " cha mtoto" Yaani ni mwendo wa ushuru tu, ukiingia na gari ushuru, ukitaka kupiga picha ushuru yaani ni full ushuru. Maendeleo hayana vyama.
  13. Mkogoti

    Ukiwa huna hela hata ukienda beach kuogelea Mawimbi yanakuja kukusomba Maana yanafikiri umekuja kujiua

    Habari za mida hii wadau!? Yani nipo napiga hesabu nifanyeje haya Maisha naona yanazidi kupiga chenga tu halo inakuwa ngumu, ukimuomba mtu hela anasema mitano tena sasa hiyo mitano tena ndo ntashiba ama au ni hela, Tufike muda tuoneane huruma jamani. 🤦🤪🏃
  14. M

    Tuliowahi kukamatwa Coco beach tukila tunda kwenye mapango tujuane hapa na ilikuwaje baada ya kukamatwa?

    Niaje niaje Turudi kwenye mada kuu kuna siku moja Mimi na aliyekuwa demu wangu tulienda zetu Coco kupunga hewa sasa bana sijui shetani kijicho chongo alipita wapi akatuona kuja kucheki Gogo liko wima kama miguu ya ngongoti. Nikasema sasa hapa ndio penyewe kukamua maziwa maana mtoto alikuwa...
  15. Red Giant

    Siku ya kwanza kufika Coco beach ilipaonaje?

    Mimi Dar mara ya kwanza nilifika wakati naanza chuo. Sasa toka zamani nimekuwa nikiisoma Coco beach. Yale magazeti ya Sani na Bongo yalinijengea picha kuwa Coco beach ni sehemu moja babkubwa sana. Walikuww wakichora watu wanogelea na maputo huku kwenye background kuna maghorofa tupu. Siku...
  16. Heci

    Plot4Sale Beach Plot in Mbweni for sale

    Beach Plot No 1 kina Sqm 1,808 kinauzwa Tshs 100,000,000/ ila Hati bado inabidi kilipiwe kiasi na Hati ikitoka zinamaliziwa. Beach Plot No 2 kina 1,323 sqm kinauzwa Tshs 95'000'000/ kina Hati. contacts 0787069996 and 0717454455
  17. Magari ya Biashara

    Tunauza Viwanja na Mashamba kwa bei nafuu

    Habari wana JF.Nina hekari 2,000 za shamba maeneo ya mazinde wilaya ya korogwe mkoani Tanga. Ninatumia heka 1,000 tu.Zimebakia heka 1,000 kwa mwekezaji yoyote wa kilimo aje. Pembeni limepakana n mto ambao haujawahi kukauka maji. Nauza 1,000,000 Kwa Heka 1. DIRECTION YA SHAMBA LILIPO Ukiwa...
  18. Magari ya Biashara

    House4Sale Tunauza Nyumba aina mbalimbali kwa bei nafuu

    Nyumba ipo Mbezi beach upande wa chini Ina vyumba vitatu kimoja master Jiko, sebule, dinning na public toilet Ina eneo lenye ukubwa wa sqm 1000 Hati miliki mkononi Wahi sasa BEI ni milioni 200 Tu Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283...
  19. beth

    Mkesha Mwaka Mpya: Polisi yasema kukaa ufukweni mwisho saa 12 jioni

    Kuelekea mkesha wa mwaka mpya, Jeshi la Polisi Nchini limewataka Wananchi watakaokusanyika katika fukwe za Bahari na Maziwa kurejea nyumbani ifikapo saa 12 jioni. Vilevile uchomaji wa Matairi umepigwa marufuku na kwakuwa unasababisha uharibifu wa miundombinu mingi ambayo imejengwa kwa gharama...
  20. D

    Nimepasikia sana Beach Kidimbwi. Kunani huko?

    Poleni na majukumu ya mwisho wa mwaka wadau. Niseme tu nimezunguka maeneo mengi sana ya starehe hapa DSM mengine ya kistaarabu na mengine ya kishenzi ila sijawahi fika beach kidimbwi. Kwanini Beach Kidimbwi? 1. Salim Kikeke akiwa likizo alitembelea beach kidimbwi na akapiga picha na AY. 2...
Back
Top Bottom