Wanabodi,
Kuna vitu vingine vya Magufuli alivyofanya, watu hawavijui, na sio vya kuhadithiwa, hebu msikilize mwenyewe huyu huyu Kibonge Mweusi ambaye ni 'Mrisho Mpoto' wa Coco Beach, bwana Benard Mwinuka, akituma salaam mahsus kwa JPM, wao pale Coco Beach, wanamwita Magufuli, Uncle Magu...