Habari jf
Suzuki swift bx iko sokoni, magomeni Dar
Transmission: Automatic
Engine; Petrol, cc 1300
Milleage: 110,000kms
Year made: 2000
Bei 4 million
Piga simu 0744033555
nauza SSD mpya zenye ukubwa wa GB 240 kwa ajili ya laptop na desktop, SSD hizi ni brand ya kingston (A400) unafungua mwenyewe zipo sealed na hazijawahi kutumika. hii model imetoka amazon na sasa hivi ndio ssd inayouzika kwa sana Duniani, kwa wale wanaotaka kuhama toka HDD. unaweza kuiangalia...
Ewe mkazi wa Dar es salaam karbu tukuhudumie Mchele safi toka kyela.
Tutakuletea mchele popote ndani ya Dar es salaam kwa bei 1400/Kg hapo ni pamoja na gharama za usafiri.
Kwa mawasiliano zaidi tutumie ujumbe kwa wasap au kutupgia kupitia 0757160773
Ah karbu kituo chetu cha mauzo kilichopo...
Call/WhatsApp 0788622610 Brand new heavyduty commercial blender.
Zinaweza kusaga matunda, juice,pilipili nk
Zinatengeneza smoothie Zinauwezo wa kufanya kazi mda mrefu
Ina jagi lita 2 Ina power watts 2200 Zina warranty miezi 12 Unaipata kwa bei ya 135,000 tu
Tupo kkoo
Kwa Dar free delivery
Ofa ofa ofa
T-shirt kali zinauzwa kwa bei nafuu, bei karibu na bure,
Kuanzia 5-10 bei ni Tsh 6900
. 11-30 bei ni Tsh 6600
. 31 + bei ni Tsh 6400
Mkoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa sana
Wahi ofa hii mapema kabla mzigo haujaisha
Kwa mawasiliano zaidi ## 0715477041
Vitambaa set moja ni sh.70,000 kwa 80,000.
Mto na foronya moja ni sh.15000 karibuni sana wateja ninapatikana Tunduma Songwe.
Kwa mawasiliano ni kupitia namba 0758267513.
Japo ni kweli kuwa umeme unaotokana na maji huwa ni wa bei nafuu kulinganisha na umeme unaotokana na vyanzo vingine kama vile mafuta, gesi, nuclear, n.k , lakini je,si kweli kuwa mkataba wa ujenzi wa chanzo husika cha umeme unaweza kufanya bei ya umeme kuwa kubwa kuliko inavyotarajiwa?
Kwa...
Habari za siku, nataka kujua vyuo vya afya vinavyotoa elimu ngazi ya degree (DOCTOR OF MEDICINE) vyenye ada nafuu ukiachana na 1. MUHAS, 2.UDSM, 3. UDOM, 4........., 5........... 6.........
Nyumba inauzwa ipo tanga mjini maeneo ya usagara ipo karibu na barabara.
Ina vyumba sita (6)
Sebule
Choo ndani
Fremu moja ya biashara
Maji + Umeme
Total Square meter (660)..Bei ni milioni sabini na tano {75,000,000} pia mazungumzo yapo.Kwa mteja Serious nicheki kupitia namba 0763316426 pia...
Lala usingizi mnono kwenye neti nzuri na ya kisasa.
Neti 1 yenye ukubwa wa 6*6 na Bomba mbili ngumu kuvunjika.
Bei 120000
Dar na mikoani tunatuma.
Mawasiliano +255 620 301 071
Heshima kwenu washikadau
Embu kwa wenye uzoefu tutajiane Guest House za bei nafuu kwa hapa Dar hasa maeneo ya Sinza na Manzese na hata maeneo mengine
Bei kuanzia 10k,15k au 20k
Karibuni
Wewe mtanzania ambaye bado unaendelea na ujenzi jipatie frool tiles kwa bei nafuu ukubwa wa tyles ni 50×50 bei ni 3000 kwa kila moja :mawasiliano ni 0788274721 na utaletewa popite ulipo ndani ya Dar es Salaam
Kampuni ya Drone Ads inakutangazia wewe unayependa kujenga maeneo jirani na kitovu cha mji, kwamba inauza viwanja 150 vilivyopimwa vilivyopo nyuma ya stendi kuu ya Kibaha, eneo la Pangani kilomita 1.5 toka stend, karibu kabisa na hospital ya wilaya Kibaha. Hivyo huduma zote muhimu zipo...
Nyumba nzuri na zina mvuto na mwonekano mzuri wa kupendeza zikiwa na vyumba viwli vya kulala, jiko, sebule na mahala pa kula.
Kodi TZS 750,000 kwa mwezi.
Kuziona piga simu au whatsapp +255755312233
Wandugu nimeona nilete uzi huu ili tupate kujuzana viwanda mbalimbali tunakoweza kununua vifaa/ bidhaa mbalimbali kwa bei za jumla.
Bidhaa mfano:
Vifaa vya ujenzi
Vyombo
Vifaa vya simu
Vifaa vya usafi
Pembejeo za kilimo
Furniture
Nguo
Simu
Spair parts
Nk
Nawakaribisha wenye viwanda na...
habari wakuu?
Ninajihusisha na uagizaji wa Spea za magari ya Ulaya... Kwa muhitaji yeyote anaweza kuni PM au akacomment hapa nitakusanya request kisha nitareply kwa Bei zetu.
Bei ni nafuu na spea ni Original
Kwa sababu ya changamoto ya mtaji hatuna stock bali tunaagiza moja kwa moja Ulaya kwa...
Habari wakuu,
Tunabadili matumizi ya ofisi na kuuza vifaa vya ofisi vifuatavyo
1. Meza mbili za plastic - zote 140,000 (@ 70,000)
2.Viti 3 vya plastic -vyote -30,000
3.laptop ya hp - 300,000
4. Min laptop bytespeed (haikai na chaji,utabadili battery) - 120,000
5.Printer - 60,000
6...
Apple wameamua kula sahani moja na makampuni yanayotengeneza budget phone.
Apple wamezindua simu ya iphone inayoitwa iphone SE.
Kitu kinachovutia kwa toleo jipya la simu hii ni bei nafuu kulinganisha na matoleo mengine ya hivi karibuni. Bei yake ni $399.
Hii bei ni kubwa kwa sisi watumiaji wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.