Habari wadau,,,,ninauza canter ya tani nne kwa bei nafuu, imetembea km 48500 tu, na bodi lake Lina urefu wa mita 4,,,,,,kwa maelezo zaidi piga namba 0783696253,,,ninapatikana dar es salaam
Habari zenu wadau.
Naombeni mwenye uzoefu anisaidie kujua ni wapi naweza kupata vitu vya Stationery kwa bei nafuu sana, mfano pen, karatasi, mafaili n.k
Natanguliza shukrani
Gari ipo Japan na inachukua siku 30 kufika pindi unapo agizia na hiyo gharma ni GHARAMA KAMILI PAKA GARI LINAKUFIKIA MKONONI IKIWA NA KILA KITU KASORO BIMA na pia hamna gharama zozote zitakazo ongezeka zaidi ya hapo.
MALIPO HUFANYWA KWA AWAMU TATU (3)
1) Unalipia CIF yani bei ya kutoka japan...
Kwa utafiti usio rasmi kwa mtazamo wangu baada ya kupita pita kwenye magroup ya Whatsapp na Kurasa za facebook za wauza magari yaliyotumika hapa Tanzania ni kama yafuatayo:
Toyota Vitz, IST, Raum, Passo, Run X Mark II, Grande,Altezza Cresta, Brevis, Nissan X - Trail haya bei zake huanzia...
MALALAMIKO MBALIMBALI YALIYOTOLEWA NA WADAU:
Habari za mida hii wakuu, hivi haya mabadiliko ya bando za Tigo ni kwangu tu au kwa watu wote? Maana daah bando zimekuwa ghali sana kwa sisi Wananchi wanyonge.
=====
---
---
---
---
---
---
=====
WADAU WENYE MTAZAMO TOFAUTI:
---
---...
Simu za infinix zilizopo zote ni mpya:
Hot 8 lite bei 250,000
Smart 3+ bei 290,000
Hot 7 bei 240,000
S4 bei 350,000
Simu za Tecno zilizopo zote ni mpya
Spark 2 bei 230,000
Spark 3 na pro yake bei 250,000
Spark 4 bei 300,000
Camon 12 bei 350,000
Kwa mawasiliano piga simu 0652 565 597 au 0743 448...
Vijana wa CHADEMA mna maana gani mnapoyakana maandishi yenu wenyewe au ndo uvivu wa kusoma? Ipitieni upya ilani yenu la sivyo mtakuwa kama akina Lema wanaopinga hata vivuli vyao
Ilani yenu ilimaaanisha nn kufufua shirika la ndege la Tanzania au mlimaanisha ndege za kivita?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.