bei nafuu

  1. Car4Sale Suzuki Swift Bx inauzwa bei nafuu

    Habari jf Suzuki swift bx iko sokoni, magomeni Dar Transmission: Automatic Engine; Petrol, cc 1300 Milleage: 110,000kms Year made: 2000 Bei 4 million Piga simu 0744033555
  2. H

    Jipatie SSD kwa ajili ya laptop na desktop yao kwa bei nafuu

    nauza SSD mpya zenye ukubwa wa GB 240 kwa ajili ya laptop na desktop, SSD hizi ni brand ya kingston (A400) unafungua mwenyewe zipo sealed na hazijawahi kutumika. hii model imetoka amazon na sasa hivi ndio ssd inayouzika kwa sana Duniani, kwa wale wanaotaka kuhama toka HDD. unaweza kuiangalia...
  3. D

    Mchele safi toka kyela unapatikana kwa bei nafuu

    Ewe mkazi wa Dar es salaam karbu tukuhudumie Mchele safi toka kyela. Tutakuletea mchele popote ndani ya Dar es salaam kwa bei 1400/Kg hapo ni pamoja na gharama za usafiri. Kwa mawasiliano zaidi tutumie ujumbe kwa wasap au kutupgia kupitia 0757160773 Ah karbu kituo chetu cha mauzo kilichopo...
  4. Heavy duty blenders kwa bei nafuu

    Call/WhatsApp 0788622610 Brand new heavyduty commercial blender. Zinaweza kusaga matunda, juice,pilipili nk Zinatengeneza smoothie Zinauwezo wa kufanya kazi mda mrefu Ina jagi lita 2 Ina power watts 2200 Zina warranty miezi 12 Unaipata kwa bei ya 135,000 tu Tupo kkoo Kwa Dar free delivery
  5. INAUZWA Ofa baab kubwa: T-shirt kali zinauzwa kwa bei nafuu

    Ofa ofa ofa T-shirt kali zinauzwa kwa bei nafuu, bei karibu na bure, Kuanzia 5-10 bei ni Tsh 6900 . 11-30 bei ni Tsh 6600 . 31 + bei ni Tsh 6400 Mkoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa sana Wahi ofa hii mapema kabla mzigo haujaisha Kwa mawasiliano zaidi ## 0715477041
  6. M

    INAUZWA Ninauza vitambaa, mito na foronya kwa bei nafuu sana

    Vitambaa set moja ni sh.70,000 kwa 80,000. Mto na foronya moja ni sh.15000 karibuni sana wateja ninapatikana Tunduma Songwe. Kwa mawasiliano ni kupitia namba 0758267513.
  7. S

    Kama hatujui kilichomo katika mkataba wa ujenzi wa Bwawa la Umeme huko mto Rufiji, tuna uhakika gani bei ya umeme itakuwa nafuu?

    Japo ni kweli kuwa umeme unaotokana na maji huwa ni wa bei nafuu kulinganisha na umeme unaotokana na vyanzo vingine kama vile mafuta, gesi, nuclear, n.k , lakini je,si kweli kuwa mkataba wa ujenzi wa chanzo husika cha umeme unaweza kufanya bei ya umeme kuwa kubwa kuliko inavyotarajiwa? Kwa...
  8. Nataka kujua vyuo vya afya vyenye bei nafuu katika ada

    Habari za siku, nataka kujua vyuo vya afya vinavyotoa elimu ngazi ya degree (DOCTOR OF MEDICINE) vyenye ada nafuu ukiachana na 1. MUHAS, 2.UDSM, 3. UDOM, 4........., 5........... 6.........
  9. House4Sale Nyumba inauzwa ipo Tanga mjini

    Nyumba inauzwa ipo tanga mjini maeneo ya usagara ipo karibu na barabara. Ina vyumba sita (6) Sebule Choo ndani Fremu moja ya biashara Maji + Umeme Total Square meter (660)..Bei ni milioni sabini na tano {75,000,000} pia mazungumzo yapo.Kwa mteja Serious nicheki kupitia namba 0763316426 pia...
  10. G

    Neti za kisasa kwa Bei nafuu

    Lala usingizi mnono kwenye neti nzuri na ya kisasa. Neti 1 yenye ukubwa wa 6*6 na Bomba mbili ngumu kuvunjika. Bei 120000 Dar na mikoani tunatuma. Mawasiliano +255 620 301 071
  11. M

    Guest house za bei nafuu Dar

    Heshima kwenu washikadau Embu kwa wenye uzoefu tutajiane Guest House za bei nafuu kwa hapa Dar hasa maeneo ya Sinza na Manzese na hata maeneo mengine Bei kuanzia 10k,15k au 20k Karibuni
  12. Nauza tiles kwa bei nafuu

    Wewe mtanzania ambaye bado unaendelea na ujenzi jipatie frool tiles kwa bei nafuu ukubwa wa tyles ni 50×50 bei ni 3000 kwa kila moja :mawasiliano ni 0788274721 na utaletewa popite ulipo ndani ya Dar es Salaam
  13. Phone4Sale Viwanja Kibaha mjini vinauzwa bei nafuu

    Kampuni ya Drone Ads inakutangazia wewe unayependa kujenga maeneo jirani na kitovu cha mji, kwamba inauza viwanja 150 vilivyopimwa vilivyopo nyuma ya stendi kuu ya Kibaha, eneo la Pangani kilomita 1.5 toka stend, karibu kabisa na hospital ya wilaya Kibaha. Hivyo huduma zote muhimu zipo...
  14. I

    House4Rent Nyumba bora za Ghorofani za kupanga za kisasa zinapangishwa Kinondoni

    Nyumba nzuri na zina mvuto na mwonekano mzuri wa kupendeza zikiwa na vyumba viwli vya kulala, jiko, sebule na mahala pa kula. Kodi TZS 750,000 kwa mwezi. Kuziona piga simu au whatsapp +255755312233
  15. Uzi wa kuunganishana na viwanda nje na ndani ya Tanzania vinayouza bidhaa za jumla kwa bei nafuu

    Wandugu nimeona nilete uzi huu ili tupate kujuzana viwanda mbalimbali tunakoweza kununua vifaa/ bidhaa mbalimbali kwa bei za jumla. Bidhaa mfano: Vifaa vya ujenzi Vyombo Vifaa vya simu Vifaa vya usafi Pembejeo za kilimo Furniture Nguo Simu Spair parts Nk Nawakaribisha wenye viwanda na...
  16. D

    Onions Suppliers from Tanzania

    Natokea Kenya nataka kuanza biashara ya vitunguu natafuta mtu atakaye nisaidia kupata supplier wa vitunguu kutoka Tanzania kwa bei nafuu. Asante
  17. Agiza spea za Magari ya Ulaya aina zote hapa kwa bei nafuu

    habari wakuu? Ninajihusisha na uagizaji wa Spea za magari ya Ulaya... Kwa muhitaji yeyote anaweza kuni PM au akacomment hapa nitakusanya request kisha nitareply kwa Bei zetu. Bei ni nafuu na spea ni Original Kwa sababu ya changamoto ya mtaji hatuna stock bali tunaagiza moja kwa moja Ulaya kwa...
  18. Welding machine na grinder machine za Bei nafuu zinahitajika

    Welding machine na grinder machine za Bei nafuu zinahitajika.
  19. J

    Vifaa Vya stationery vinauzwa bei nafuu mno

    Habari wakuu, Tunabadili matumizi ya ofisi na kuuza vifaa vya ofisi vifuatavyo 1. Meza mbili za plastic - zote 140,000 (@ 70,000) 2.Viti 3 vya plastic -vyote -30,000 3.laptop ya hp - 300,000 4. Min laptop bytespeed (haikai na chaji,utabadili battery) - 120,000 5.Printer - 60,000 6...
  20. Apple waja na iphone ya bei nafuu iphone SE (2020)

    Apple wameamua kula sahani moja na makampuni yanayotengeneza budget phone. Apple wamezindua simu ya iphone inayoitwa iphone SE. Kitu kinachovutia kwa toleo jipya la simu hii ni bei nafuu kulinganisha na matoleo mengine ya hivi karibuni. Bei yake ni $399. Hii bei ni kubwa kwa sisi watumiaji wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…