bei rahisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Natafuta lodge au guest bubu ya bei rahisi mbeya mjini

    Kesho asubuhi nitakua mbeya mjini kwa shughuli zangu binafsi. Natafuta lodge au guest house zile bubu ya bei rahisi,budget yangu ni shilingi za kitanzania elfu 8 to 10. Iwe mbeya mjini maeneo ya kuanzia uyole,nanenane,ilomba,Sae,Mama John,Soweto,isyesye na mafiati.iwe na usalama wa kueleweka na...
  2. Mayor of kingstown

    Anae itaji miche ya pilipili roleza kwa bei rahisi

    Husika na kichwa cha habari hapo juu Nauza miche 2000 ya pili pili aina ya loleza kwa bei ya mche mmoja tzsh 100 , ipo tayari kwa kupandwa na ime hudumiwa kwa mfumo wa kisasa Location Chamwino dodoma ( chamwino ya Ikulu)
  3. F35-Bomber

    DISCOVER 4 2015 BEI RAHISI

    2015 LAND ROVER DISCOVERY 4 SDV6 SE, 139,850 KM, U$ 20,000 Long range fuel tank, spare wheel carrier, 7 seater, navigation bar, Bluetooth, reverse camera, side steps, tow bar, high and low range, off road terrain responce, central locking Sun Roof,No mechanical issues,sold to the public as...
  4. J Mbungi

    Kitanda kizuri Cha chuma 5X6 kwa Bei rahisi 120,000/- Madale Mwisho - DSM

    Nauza kitanda chuma 5X6 kwa Bei rahisi kabisa 120,000/ bad kipya kimetumika miezi4 tu!( Kimsingi hiyo elf20 itakuwa nauli ya kukuletea ulipo,hivyo (naamini kwa maeneo ya mbeZi,tegeta,goba au bunju hiyo nauli itosha kukifikisha ,ili adhima ya kupata laki1 nayohitaji itimie)!. Kipo Madale Mwisho...
  5. J Mbungi

    Jiko la gesi (plate2) na mtungi wa gesi (30Kg) Vinauzwa Bei rahisi 70,000!! Madale-Dar es salaam.

    Jiko ni jipya nimelitumia mizi2 tu.. na mtungi una gesi kidogo ya kuanzia. Ni dharura (nasafri mkoani kwa dharura) naomba elf70 tu! Kama upo serious hata ukipungukiwa kidogo ilimradi initoshe nauli nayohitaji! Whatsapp/piga 0784355775 - nipo MADALE MWISHO- DAR ES SALAAM)
  6. J Mbungi

    Jiko la gesi (plate2) na mtungi wa gesi (30Kg) Vinauzwa Bei rahisi 70,000!! Madale-Dar es salaam.

    Jiko ni jipya nimelitumia mizi2 tu.. na mtungi una gesi kidogo ya kuanzia. Ni dharura (nasafri mkoani kwa dharura) naomba elf70 tu! Kama upo serious hata ukipungukiwa kidogo ilimradi initoshe nauli nayohitaji! Whatsapp/piga 0685308583 - nipo MADALE MWISHO- DAR ES SALAAM)
  7. Friedrich Nietzsche

    Mbinu za kupata tiketi za ndege kwa bei rahisi. Prove me wrong!

    1. Weka oda ya mwezi mzima na zaidi✅ 2. Usikate kipindi cha sikukuu✅ 3. Fuatilia meseji za promo ✅ hizi ili upate lazima uwe ushawai panda ndege ndo watakutumia 4. Uliza maagent✅ kua na namba za maagent tofauti tofauti kuna had tiket za 100,000/= ambazo uwezi kuzikuta mtandaoni 5. Cheki...
  8. A

    SmartTv TCL Inch 32 inauzwa bei rahisi

    ISHAUZWA TAYARI!
  9. Waufukweni

    PICHA: Rais Dkt. Samia aelekea Brazil kushiriki mkutano wa G20

    Rais Dkt. Samia akiagana na viongozi mbalimbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) leo tarehe 16 Novemba, 2024 kabla ya kuelekea Rio de Janeiro nchini Brazil kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa nchi Wanachama wa kundi la G20. Pia, Soma: Rais...
  10. MaduhuJ

    Nauza mbao za mti wa Eucalyptus/Mkaratusi kwa bei ya shambani

    Habari, nauza mbao za mti wa Eucalyptus, kwa majina ya kiswahili unajulikana kama Mlingoti, Mkaratusi, Mti Mbao, Mbao nyekundu. Mbao zina ubora, size zimejaa na bei ni rafiki (ya shambani). Mbao hizi ninachana mwenyewe maeneo ya Mgololo, Mufindi (Iringa) na Uchindile, Mlimba (Moro). SIFA ZA...
  11. Kalaga Baho Nongwa

    Wanaouza bidhaa za bei rahisi, sahani za plastiki na yeboyebo au viatu vya bei rahisi, mitumba nje ya dareslaam tukutane hapa

    Wakuu hii ni mada maalum ya kupeana mbinu, updates na kushea uzoefu kwenye biashara hizi za minadani au magulio. Nina plan na mikoa ya nyanda za juu kusini kibiashara. Nataka kupeleka mitumba, vikombe vya plastiki na yeboyebo. Karibuni kwa mjadala
  12. T

    Bidhaa za ndani, bei rahisi sana

    Vitu vya ndani vinauzwa kwa bei nafuu; Hisense smart TV, inch 43 ina box lake - 350,000/= Friji ndogo - 100,000/= Feni kubwa - 30,000/= Viti vya plastic (3) - 15000/= Meza ya kioo ndogo - 50,000/= Kochi la watu wawili - 80,000/= Meza ya kuwekea jiko, mtungi mkubwa oryx na jiko la plate2...
  13. kikoozi

    MWENYE KUJUA APARTMENT / AIRBNB YA BEI RAHISI DAR ES SALAAM

    Habari ndugu zangu, kama kicha cha habari kinavyo sema hapo juu, nina ugeni wa mtu wangu ambaye atakaa kama siku 14 (week mbili), sasa nilitaka kupata aprtiment nzuri yenye kila kitu ndani WIFI ISIKOSEKANE (kuanzia maeneo ya kiluvya, kibamba, mbezi, goba, kimara, tabata, ubungo , sinza, mlimani...
  14. Bani Israel

    Range rover na land cruiser 300 za bei rahisi

    Unavuta hizi alafu unavimba nazo mjini.
  15. BARDIZBAH

    Sumsung A14 inahitajika full box kwa bei rahisi ( 270k) mfukoni ipo hapa.

    Ndio wakuu napokea call 0621011063. Naweza ongeza kidogo bei.
  16. B

    INAUZWA Je, unateseka kufua? Mini washing Machine (Mashine za Kufulia) zipo kwa ajili yako kwa bei rahisi mno

    Mashine za kufulia za kisasa zipo karibu yako kwa bei nafuu. Ni za kilo 3.5 mpaka kilo 4 Mtu yoyote anaweza ku afford Bei ni tsh 120,000 tu. Offer hii si ya kukosa kwa kipindi hiki cha sabasaba. Kwa mawasiliano zaidi tunapatikana Kwa 0772835536. Karibuni sana wateja
  17. Jacky collection

    Karibuni vifaa vyote vya electronics, vyombo, mashuka, pazia n.k

    Habari wapendwa karibuni TV Aina za Hisense mpya. 32 (kawaida) 370,000 32 (Smart) 450,000 40 (kawaida) 560,000 40 (Smart) 595,000 43 (kawaida) 635,000 43 (Smart) 675,000 Sound bar zpo za Aina zote Fridge Sabufa Aina zote bei kwanzia 90000 nakuendelea Washing machine zpo 110,000 Pazia nzito 2...
  18. A

    Nauza Tv mbili (Hisense) na Ps3 kwa Tsh. 900,000 tu!

    SOLD....
  19. Teslarati

    Wadada acheni kupandikiza mashepu na lips za bei rahisi, nimemuona mmoja ninayemfahamu hapa Sinza kawa kituko kabisa

    Huyu binti alikua mzuri, akapotea kama miezi mitatu hivi akarudi na tako kubwa tu na lips pana. Mimi sikuwa na hiyana nikamuita nimchangie gharama alizotumia huko (malegend tutaelewa) Sasa imepita miezi miwili toka nionane nae, leo nimemuona kaumuka yaan ile kama kavimba vimba hivi. Kawa kama...
  20. Gulio Tanzania

    Kijana acha kunywa pombe za bei rahisi

    Kutokana na hali ya uchumi kuwa mgumu vijana wengi wameangukia kwenye unywaji wa pombe za bei rahisi zinazolewesha haraka kama sungura, master, jogoo nk. Ukiwa mtumiaji wa hizi pombe huwezi kufanikiwa kimaisha, hizi pombe zinapunguza uwezo wa kufikiria Kuna wengine wanakunywa hizi pombe za...
Back
Top Bottom