Pata viwanja eneo la mbezi mzalendo kuanzia 10 kwa 10 sq meter 100 kwa shilingi mil 1 na laki 2. Pia kuna eneo lingine lina ukubwa wa 10 kwa 10 tofali 500 na nondo 10 kwa shilingi mil 2 na laki 5 maeneo yote yanafikika kwa gari yapo karibu na barabara za mtaa. Ukihitaji ukubwa wa aina yoyote...
WAZIRI wa Mambo ya Nje wa Russia Sergey Lavrov amesisitiza kwamba Russia haihusiki kwa vyovyote vile na ongezeko la bei ya bidhaa muhimu kote duniani, na kwamba taarifa hizo zinaenezwa na nchi za Magharibi ili kueneza chuki dhidi yake.
Amesema hayo akiwa Kampala, Uganda katika ziara yake ya...
Habari wadau nina kitabu kina page 4000
Huku posta sehemu ya bei rahisi kuprint 200
4000 x 200 = 800000 laki nane
Heeeh si ni balaa hili naombeni msaada
Dodoma. Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amemcharukia Waziri wa zamani wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina ambapo amesema ni hatari kwa mbunge wa muda mrefu kuupotosha umma.
Mpina wakati akichangia mjadala wa makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Kilimo kwa mwaka 2022/2023 bungeni leo...
Nilitegemea mkazo na msisitizo uwe bwawa la Mwl Nyerere likamilike kwa wakati ili umeme ushuke bei na bidhaa zishuke bei. Hii ingekuwa ni nafuu ya maisha kwa watanzania wa hali ya chini.
Lakini kiongozi wetu yupo busy kucheza filamu kwa ajili ya watalii ambao wanapata information kutembelea...
Nianze Kwa kutoa pole kwa changamoto za kuishi!
Kama kichwa kinavyojieleza, kumekuwa na taarifa kuhusu kupanda Kwa Bei za mafuta na gesi duniani, huku Urusi, Moja ya wazalishaji wakubwa wa mafuta na gesi akishusha Bei ya bidhaa hizo ambapo mataifa makubwa, ikiwa ni pamoja na Yale yaliyomwekea...
Hello bosses
Hapa duniani nadhani moja ya kitu kibaya na chenye madhara makubwa ni umasikini, hasa hasa umasikini wa kiuchumi tukiweka pembeni ule wa kiakili. Umasikini ndio uongeza chuki kwenye jamii, husababisha vita vya wenyewe kwa wenyewe na maswaibu kibao.
Kuna vyanzo vingi vya umasikini...
Kushabu/Koshabu ni bangi ambayo haijakidhi viwango, unaweza kusema ni makapi pia. Inakuaga
Ndio aina ya bangi ambayo huuzwa kwa kiasi kikubwa hapa nchini, kati ya wauzaji 10 wauzaji tisa huuza kushabu. huyo mmoja aliebaki hadi kumpata ni mpaka connection, nadra sana kumpata kiukweli, ubora...
Wadau mimi binafsi sijawahi kuwa mpenzi wa simu. Nimekuwa na simu simple tu sababu matumizi yangu makubwa ya simu ni Internet na Camera. Sina mambo mengi.
Nimepata wazo la kuwa na simu ya kichina ambayo itakuwa bora kwa bei nafuu isiyozidi tsh 400,000 simu ya uchumi wa kati. Naombeni ushauri...
Kila Jumamosi alasiri, Levin Chama mwenye umri wa miaka 11 anakwenda kwenye Kituo cha Mtandao cha Konnect Hub kilicho kwenye mtaa wa 44 wa Githurai wa mji mkuu wa Kenya, Nairobi, ili kusikiliza masomo ya lugha, utamaduni, hisabadi yanayotolea na walimu wa nchi mbalimbali kupitia mtandao wa...
Wakuu habari
Wapi nitapata mabati ya bei rahisi yale ya migongo mipana kwa mkoa wa Dar es Salaam.
Bei hizo tofauti tofauti ni kiasi gani kwa kila gauge
Kwa Nini ukose nyumba mjini?.Pata nyumba za bei rahisi zote zinapatikana eneo la Mbezi malamba kituo mzalendo ni buku tu kwa bajaji kutoka mbezi stand (Bei na maeelekezo vipo kwenye picha).
Vilevile kuna viwanja vya kuanzia Milioni 2 kwa mita kumi kwa kumi na unakatiwa kulingana na hela yako...
*Bei Rahisi
*Vifaa vyenye ubora
*BRAND TOFAUTI TOFAUTI
Cordless drill
Jigsaws, circular saws.
Generators and grinders pamoja na drill bits na misasa.
TUPO KKOO
MIKOANI TUNATUMA KWA UAMINIFU
Piga 0788622610
Pata nyumba ya vyumba vitatu, public toilet kwenye eneo lenye ukubwa wa mita 10 kwa 10 kwa shilingi milioni 7 tu.
Pia Kuna nyumba ya vyumba vitano kwenye uwanja wa mita 20 kwa 15 kwa shilingi milioni 10 tu. Nyumba zote zipo mbezi malamba eneo linaitwa mzalendo. Nauli kwa bajaji ni buku tu...
Tunachukua order za kutengeneza Milango ya Mbao,Imara na Misafi toka Urambo Tabora. Mbao Maarufu za Mninga ,Mkongo na Mbanda. Inapatikana.
Kwa order kuanzia milango 5 na kuEndelea. Karibuni Kwa order na mawasiliano zaidi.
Huo ambao haujawa polished Tsh. 300,000. Pure Mninga. Ule wenye vibox...
Diamond Platnumz anatumia Radio na yake na TV yake kudanganya watu kuwa kanunua gari la bilioni, how Diamond Platnumz unakuwa muongo hivyo?
Ifike Hatua Diamond aache kudanganya watu, huu hapa ushaidi wa bei ya gari alilonunua Diamond Platnumz na gari yake ni used kwa Bei chee.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.