Habarii natak mwaka huu niingie mwenyewe chaka kwenda kufunga mzigo wa mchele na kuja nao hapa dar
Naombeni muongozo wenu fremu ninayo mombasa ipo sehem yeny mzunguko mkubwa wa watu pia ni karib na lami ko wateja sina ila kutokana na location naamin sitahangaika sana kutafuta wateja wa kuanza...
Hello,
Nauza magauni mazuri sana ya kwenda kazini,ofisini na kwenye mitoko mbalimbali.kwa Bei ya Tsh 10,000-20,000.
Lakini Pia ninauza Official skirt na pant kwa Bei ya sh 6,000-15,000.
Lakini pia kwa wale wa msikitini na wapenda vaa stara kuna Mabaibui/Abaya mazuri mno kwa Tsh 15,000-20,000...
Leo nimeamua kuperuzi baada ya kupata business idea ya kufungua duka la electronics, phone and accecories.
Nikasema acha niiingie kwenye application ya Alibaba kuona bei za electronics huko china na huku bongo.
Mfano hapo glass protector ni Usd 0.01 napo zingine ni mpaka Usd 0.15 sawa na...
Wadau mlioko Nairobi niko njiani naelekea huko,mwenye kujua mitaa gani naweza kupata Lodge ya bei rahisi,budget yangu isizidi 1500 ksh kwa siku,chumba sefl contained...
"Bado nchi yetu ndio ina bei rahisi ya Data kwa GB kuliko nchi yoyote ya East Africa...SADC, kwa kuwa na gharama ya GB 0.71 kwa Dola ambayo ni sawasawa na shilingi 1600/=". Mkurugenzi Mkuu, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania - Dkt.Jabiri Kuwe Bakari
#ITVUpdates
Bodaboda kutoka nchini Kenya sasa wanavuka mpaka na kuingia Tanzania kufata mafuta ya bei nafuu huku Tanzania ikitajwa kuwa na bei ya chini zaidi ya dizeli na petroli kutokana na mfumo wa kuagiza mafuta kwa pamoja 'Bulk procurement'
Bei ya mafuta ya petrol nchini Kenya ni ksh 195.5 huku Tanzania ikiwa ksh 165 kwa pesa ya Kesha ikiwa ni pungufu kwa 30.5 ksh kwa Lita moja hii ni baada ya serikali ya Kenya kuongeza ushuru wa 8% kutoka ule wa 8% wa awali na kuwa 16% kwa Lita .
Maeneo yote yanayopakana na Kenya kwa siku za hivi...
Majeshi ya Ukraine yanashindwa yaamueje kushughulika na kamikazer drones za Urusi. Ni drones za gharama chee (dola 20,000 za marekani kwa kila moja). Ina uwezo wa kuangamiza vifaru, magari ya kivita, na vifaa vingine vya kijeshi, kubomoa majumba makubwa nk. Ukkraine wanaweza kuzidungua lakini...
Jipatie hii laptop HDD 500 Gb, RAM 4GB, Intel Celeron 1.6Ghz
Inakaa na charge mpaka masaa mawili na nusu kutegemeana na matumizi.
Bei Tsh 230,000. Napatikana kinondoni vijana. Simu 0765137266
Pia kuna hii kamera kwa wale wenye biashara ya studio za kupiga passport.
Sony original...
Habarini wana jamvi letu pendwa,
Nauhitaji wa kununua kuku wa kienyeji kwa bei rahisi (chini ya Tsh 10,000/=) kama kuna mdau anafahamu sehemu (kijiji/kata, wilaya au mkoa) basi naomba anitajie, nina access ya kufika popote pale Tanzania.
AHSANTENI
Niliwahi pata kiatu kigumu sana, ni kizuri yani tangu 2020 mpaka sasa kinadunda poa tu, Ajabu ni kwamba hata sikuomba kupunguziwa bei maana kilikuwa elf 15 tu, laiti ningeenda dukani nisingeshangaa ni laki 2 na mtumbani kiwe laki. Mwaka jana nilinunua raba hizi za vic nabaki nashangaa ni vipi...
Ni kwa toleo lile lilioandika nyuma Docomo kutoka Japan - SO-O1K.
niliwahi kununua simu hii yani kamera ni kali, ram si 4gb, battery inachaji fasta na inakaa, simu ngumu, n.k ila kwenye network sasa!!
ukiwa mjini centre utaiona simu iko poa kabisa inashika 4g+ ni ngumu kujua kuna tatizo...
Tumekuletea hp Elitebook 840 G5
Processor: Intel® Core™ i5-8350U vPro™ processor (1.7 GHz base frequency, up to 3.6 GHz with Intel® Turbo Boost Technology, 6 MB cache, 4 cores)
Ram 8gb
SSD 256GB
Display 14"
Refurbished PC
Bei yake ya offer Ni 750,000 tu
Ni refurb zenye clean condition kabisa...
Ni wazi Sasa kwamba,utajiri uko shambani, kupaa kwa bei ya mazao iwe alama ya kijani ya kutuelekeza turudi shambani, na tuwekeze katika kilimo.
Mtu amekaa mjini anasubiri mwenzake wa shamba aingie gharama kulima, halafu aje amuuzie mazao kwa bei nafuu!
Huko huko mjini, wa Kijijini wakija...
Hizi pombe ni kali zaidi hata ya gongo, zinaharibu afya ya vijana wengi nguvu kazi ya taifa. Vijana wanakauka, wanakunywa bila kula, zinaharibu kila kitu maana wanashindwa hata kuperform kitandani.
Kwa mambo yanavyoendelea nchini Tanzania hasa hasa baada ya tarehe 17 Machi, 2022 kuna Chama na Kiongozi wake Tanzania imeshawashinda kiasi kwamba wengine wanatamani tu Tukio lolote litokee ( hasa Ulaya ) ili wakapumzishe Kwanza Akili kwani walichokitegemea sicho.
CHADEMA nilidhani Kipindi hiki...
Tanzania ni ya pili kwa unafuu wa bei ya mafuta Afrika Mashariki, ahueni iliyotokana na ruzuku, TZS bilioni 100, inayotolewa kila mwezi Na Mhe. Rais Samia Suluhu. Kushuka kwa bei ya mafuta kunapelekea kushuka kwa gharama nyingine za maisha.
Rais Samia Suluhu alisema lengo lake sio kuwadidimiza...
Habari. Hawa mabwana wanajiita Samsung discount wapo china plaza bei zao ziko chini sana ukilinganisha na maduka mengi yanayo uza simu za kufanana na hizo mpaka nimeshawishi nataka nikachukue Note 10+ lakini ninakuwa na wasiwasi ebu team Samsung nitoeni uwoga na wasiwasi nataka nikaitie petrol...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.