benki

Benki Birugali (Kannada: ಬೆಂಕಿ ಬಿರುಗಾಳಿ) is a 1984 Indian Kannada film, directed by Thiptur Raghu and produced by H. V. Sowbhagya. The film stars Vishnuvardhan, Shankar Nag, Jayanthi and Jayamala in the lead roles. The film has musical score by M. Ranga Rao. This movie was remake of 1968 Bengali film Apanjan.

View More On Wikipedia.org
  1. Replica

    Tanzania yapokea mkopo wa trilioni 1.2 kutoka Benki ya Dunia. Kuboresha tabia nchi, usalama na barabara

    Benki ya Dunia imeipa Serikali ya Tanzania trilioni 1.2 kwaajili ya tabia nchi, barabara na viwanja vya ndege. Nadhani sasa ni muda wa kuondoa tozo au kuambiwa siku ya ukomo. Kiuchumi mkopo unakwenda kusisimua mzunguko wa fedha hasa kama sehemu kubwa ya hizi tenda yatapewa makampuni ya hapa...
  2. L

    Benki Kuu ya Kenya yafungua jengo lililojengwa na kampuni ya China

    Benki kuu ya Kenya CBK imefungua jengo lililojengwa na kampuni ya China (CBK Pension Towers), ambalo liko katika kitovu cha Nairobi, nchini Kenya. Kampuni ya ujenzi ya Wu Yi ya China imejenga jengo hilo la kisasa ambalo lina majengo marefu pacha yenye urefu wa mita 110. Jengo hilo lina sehemu...
  3. L

    Benki ya AfDB yafanya mikutano ya mwaka nchini Ghana

    Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB imefungua mikutano yake ya mwaka 2022 huko Accra, Ghana ikihudhuriwa na viongozi, wanasiasa na wanateknolojia wa Afrika. Rais Nana Addo Dankwa wa Ghana kwenye ufunguzi wa mikutano hiyo amewataka wakopeshaji wa masharti nafuu wa bara hilo kuisaidia Afrika...
  4. mngony

    Naibu Gavana wa Benki Kuu ni nani? Anapatikana vipi?

    Habari Wakubwa. waswahili wanasema kuuliza si ujinga Ningependa kufahamu Naibu Gavana wa Benki Kuu anapatikana vipi? Ni mteule tu wa Rais kama wateule wengine? Majukumu yake ni yapi? Naibu gavana wetu sasa anaitwa nani alikuwa wapi na wapi kabla ya kuwa Naibu Gavana. Nafahamu Gavana Luoga...
  5. Cordy bnei shirk

    NBC bank ni benki bora Tanzania Kwa sasa

    Habari zenu. Hii bank sikuwahi kuitumia Wala kuijua,Binafsi Kwa miaka mingi natumia CRDB na NMB. Katika pirikapirika na mishe mishe za mjini nikajikuta nimeandikiwa cheque ya NBC. Nilipofika Kule nilihudumiwa chapchap Kwa weledi and customer care Bora kabisa. nilifungua account moja ya saving...
  6. JET SALLI

    Ni kweli kwamba watumishi wasiopitishia mishahara yao benki ya CRDB hawana nafasi ya mikopo katika benki hiyo?

    Hili suala nimelisikia sehemu ndugu zangu wanajamii forum kwa mnaojua ukweli wa suala hili Basi mtujuze tusiojua vizuri.
  7. JanguKamaJangu

    Benki Kuu ya Uganda inatafakari kutoa sarafu ya kidigitali

    Benki kuu ya Uganda ipo kwenye harakati za kutafakari matumizi ya sarafu ya kidigitali Nchini humo, pia haijapiga marufuku sarafu ya kimtandao ‘cryptocurrencies’. Benki kuu ya Uganda inatafakari kutoa sarafu ya kidigitali, na haijapiga marufuku sarafu ya kimtandao “cryptocurrencies” lakini ina...
  8. MK254

    KCB wazidi kufunika ukanda huu, wanunua benki Rwanda

    Mbele kwa mbele... ------ KCB Group is banking on its new subsidiary BPR Bank Plc Rwanda to more than double its regional business in the next two years and support economic expansion in the East African country. KCB said scaling its regional business was critical for the future, adding that...
  9. idoyo

    Miji muhimu ya Kifedha Tanzania, nje ya Dar: Mwanza, Arusha, Moshi

    .
  10. Y

    Wadau naulizia benki au taasisi gani za fedha zinazotoa mikopo ya riba nafuu kwa wafanyabiashara wa kati na wajasiliamali

    Wadau naulizia taasisi gani au benki gani inayotoa mikopo ya riba nafuu kwa wajasiliamali au wafanyabiashara wa kati
  11. V

    Kwako Waziri Bashe: Je, mpango wa kuwakopesha wakulima fedha za kuendeshea shughuli za kilimo kupitia Mfuko wa Pembejeo upo kama ulivyotuaminisha?

    Salaam aleikum! Nitumie fursa hii kukupongeza kwa kazi nzuri unayoifanya. Nikiri kwamba Wizara ya Kilimo imekuwa na mawaziri wengi, lakini wewe, umekuwa tofauti kwa uchapakazi wako. Maono na mipango ya Wizara unayosimamia unawagusa wakulima wa ngazi zote hususan wa ngazi ya chini na kati...
  12. BigTall

    Ligi Kuu Bara haiwezi kuwa na udhamini wa benki 2 kwa wakati mmoja, huu ni uchambuzi wa NBC na DTB kama itapanda daraja

    Ligi Kuu ya Tanzania Bara mdhamini wake mkuu ni ni Benki ya NBC ambaye amechukua jina kabisa la ligi hiyo ikiitwa Ligi Kuu ya NBC. Upande wa pili kuna Championship au Ligi Daraja la Kwanza ambayo huwa inatoa timu zinazopanda daraja kwenda kucheza katika Ligi Kuu. Swali au hoja ambayo nilikuwa...
  13. JanguKamaJangu

    Benki ya Dunia: Uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine umesababisha hasara ya dola bilioni 60

    Uharibifu wa majengo na miundombinu ya Ukraine kutokana na uvamizi wa Russia umefikia hasara ya takriban dola bilioni 60 na utaongezeka zaidi kadri vita vinavyoendelea, Rais wa Benki ya dunia David Malpass amesema Alhamisi. Malpass ameuambia mkutano wa Benki ya dunia kuhusu mahitaji ya msaada...
  14. Sky Eclat

    Hivi Benki kuna mikopo ya build to rent?

    Build to rent ni mikopo kwa wajasiliamali wa kupangisha nyumba. Hitaji la nyumba mijini ni kubwa sana. Chumba chenye ceiling board, ndani ya nyumba yenye umeme na maji kinafika 70-90,000 mjini Dar. Kiwanja katika sehemu unayoweza kuoangisha chumba 80,000 kinaweza kukugharimu milioni 10-15...
  15. N

    Inawezekana kuongeza makato ya mkopo benki?

    Habarini! Najua kuna kila aina ya wataalamu humu. Nauliza kuna uwezekano wa kuongeza makato yako benki ikiwa mdaiwa umeamua hivyo? Yaani labda ulikuwa unakatwa 200,000 kwa mwezi, sasa umepanda daraja labda na unataka kilichoongezeka kiende ktk makato yako ili umalize haraka deni (ukatwe...
  16. Izzi

    Benki zina kinga gani dhidi ya uchawi?

    Hakuna asiependa pesa (Hapo sasa nimekuwa semaji la binadamu wote), na kama yupo basi ana raha sana. Tutakubaliana pia, hakuna asiependa njia za mkato (shortcuts) za kurahisisha mambo. Njia mojawapo ya mkato ni kutumia uchawi kupata kile unachokitaka.... nimekua katika jamii ambayo inaamini ili...
  17. 5

    Benki ya Dunia waimiminia zaidi fedha Ukraine $1bn (£770m)

    The World Bank has approved financial support to Ukraine worth $1bn (£770m) to help keep critical services running as the country fights a fresh assault by Russia in Vladimir Putin’s ongoing war. The bank said the funds would be used to support the continuation of key government services...
  18. W

    World Bank: Tanzania bado ipo uchumi wa kati

    Ndugu zangu, Katika pitapita kwenye magazeti hii habari kuhusu Tanzania. Je,kwa Tanzania kuwa hadhi ya juu kiuchumi kuna misaada tunakosa?
  19. BigTall

    Waziri Nape Nnauye: Miamala ya simu kutungiwa Sheria iwe 'Dhamana ya Mikopo Benki'

    Serikali imeeleza kuwa ongezeko la matumizi ya miamla ya fedha kwa njia ya simu imewapa wazo la kutunga sheria kutambua njia hizo zitambulike ikiwezekana kwa kuangalia uchumi wa mtu na itumike kama dhamana wakati wa kukopa benki. Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape...
  20. Lady Whistledown

    Account za Benki za Mange Kimambi zazuiliwa

    Anaandika Mange Kimambi kupitia ukurasa wake wa Instagram PART 1. Chama changu pendwa, chama bora hakijapata tokea tangu dunia iumbwe. Naomba mnisaidie kwenye hii vita polisi waliyonayo na mimi. Nimeona niwaombe msaada huku kwa social media maana sina namba zenu za kuwapata, otherwise...
Back
Top Bottom