besigye aanguka ghafla

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Dkt. Kizza Besigye mpinzani wa Museveni kwa sasa yuko hali mahututi, sijui utawala wa Museveni utajitetea nini

    Samia na utawala wa CCM jiandaeni na nyie kama mnavyo fanya mateso mkitegemea dunia inawachekea. Huko Uganda, kiongozi mkongwe wa upinzani, Kizza Besigye, anayezuiliwa jela kwa muda mrefu, alianguka siku ya Jumatano akiwa mahakamani na baadaye kulazwa hospitalini akiwa katika hali mbaya. Soma...
  2. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Kiongozi wa upinzani Uganda, Kizza Besigye aanguka ghafla mahakamani, akakimbizwa hospitalini

    Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Dkt. Kizza Besigye, ameanguka ghafla akiwa ndani ya kizimba cha Mahakama Kuu mjini Kampala leo wakati kesi yake ya uhaini ikiendelea kusikilizwa. Besigye alisikika akipaza sauti akiomba mahakama isimamishe mwenendo wa kesi kabla ya kuanguka, hali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…