Dkt. Kizza Besigye mpinzani wa Museveni kwa sasa yuko hali mahututi, sijui utawala wa Museveni utajitetea nini

Dkt. Kizza Besigye mpinzani wa Museveni kwa sasa yuko hali mahututi, sijui utawala wa Museveni utajitetea nini

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Samia na utawala wa CCM jiandaeni na nyie kama mnavyo fanya mateso mkitegemea dunia inawachekea.

Huko Uganda, kiongozi mkongwe wa upinzani, Kizza Besigye, anayezuiliwa jela kwa muda mrefu, alianguka siku ya Jumatano akiwa mahakamani na baadaye kulazwa hospitalini akiwa katika hali mbaya.

Soma pia: Kiongozi wa upinzani Uganda, Kizza Besigye aanguka ghafla mahakamani, akakimbizwa hospitalini


FB_IMG_1785598125876.jpg
 
Ninahisi kuna nchi jirani imejifunza hii mbinu ya kunyanyasa wapinzani kupitia kesi za mchongo, kwa huyu Dikteta.
 
Samia na utawala wa CCM jiandaeni na nyie kama mnavyo fanya mateso mkitegemea dunia inawachekea.

Huko uganda mpinzani wa museveni alipata kuanguka mahakamani na kuwekwa kizuizini mda mrefu sasa hali ni mbaya.Kuanzia mda huu tunaweza kupata habari za Tanzania.View attachment 3641478
Ngoja tuone,Wana la kujifunza!
 
Mauti haina formula unaweza kushuhudia wasipishane hata miaka 2 mmoja akamfuata mwenzake
 
Museveni ile nchi aliinyakua kwa kutumia silaha.

hata tanzagiza ni hivyo hivyo sema nyenzo ni tofauti tu, na ndiyo maana regime zote 2 zinafanana wote wameweka familia zao museveni mke, watoto wamo ndani ya serikali, jeshi na chama likewise tanzagiza linganisha na kwa mfano na Kenya Ruto alikuwa raisi kwa kura na kushinda ulishasikia kamteua mke, mtoto au mkwe wake kuwa mbunge/waziri au cheo chochote cha kisiasa popote kule Kenya? ...
 
Kwann unawaza watajiteteaje wakati wenzio ndio kitu wanataka afe watawale kwa amani
 
Ila huwa nashindwa kuwaelewa mtu kama Mseven,una dola na mamlaka lakini bado unahangaika na wapinzani wako,wakati unachoweza kufanya ni simple tu,waache wapige makelele ukija uchaguzi unaiba kura like always halafu unandelea kutawala,sasa kuwa nyanyasa watu na kuwaonea ina faida gani?
 
LIVE MUBASHARA MFUMO WA HAKI JINAI ULIVYOTEKWA NA DOLA - BESIGYE AFOKA KABLA YA KUANGUKA

29 July 2026
Kampala, Uganda

. He (Orlando) started providing evidence to court on how Besigye contacted him seeking fire arms and other military support and guidance to overthrow gov't
29 July 2026
Before he collapsed:Besigye challenged prosecution & Justice Baguma on their rights-we need fairness

View: https://m.youtube.com/watch?v=DxFEloOzw2c
Today prosecution brought an American security expert Andrew Wilson aka Orlando as its first witness against Besigye.

He (Orlando) started providing evidence to court on how Besigye contacted him seeking fire arms and other military support and guidance to overthrow gov't.

Besigye tried to raise objection to the proceedings citing absence of his legal team but all in
vain
 
Back
Top Bottom