Bïa Krieger is a Brazilian-born singer and recording artist who lives in France and Quebec. She sings in French, Portuguese and Spanish. Her recording career began in 1996 and currently she has four albums.
Watu wengi hufikiri uchungu wa bia unatokana na pombe. Uchungu wa bia hutokana na mmea unaoitwa hop. Watengenezaji wa pombe hutumia mimea mbalimbali kuzipa pombe ladha mbalimbali. Mmoja wa mmea huo ni hop ambao huzipa bia uchungu. Mmea huu upo jamii moja na mmea wa bangi lakini hauna kemikali...
Wadau hamjamboni nyote?
Siku ya furaha,siku ya kukumbukwa
HAPPY BIRTHDAY SAFARI LARGER
Tarehe 4 Februari 1977 siku kama ya leo bia ya SAFARI LAGER ilizinduliwa na kampuni ya bia Tanzania Breweries katika mikoa ya Arusha na Dar es Salaam. Sherehe za uzinduzi zilifanyika New Africa hotel...
Kwa nini wanaume wanaokunywa bia za Savannah, Redd's na Flying Fish wanatazamwa vibya au kutaniwa?
Hizi tabia nimeziona kwenye hizi bar za kati na changanyikeni. Mwanaume akiagiza hizi bia kwenye hizi bar hata muhudumu anamuuliza mara mbili mbili kuthibitisha kama amesikia vizuri alichoagizwa!
bia zote za tbl upatikanaji wake ni wa shida mno bia kama kilimanjaro, castle lite, safari, Eagle hazipatikani kuna shida gani?
Wadau mnaofanya biashara ya pombe (bia) hizo bia nilizotaja hapo ulipo zinapatikana?
uongozi wa TBL tunaomba mtueleze kwanini bia zenu hazipatikani? sisi wateja wenu...
Mirinda nyeusi inaniita.....
kwakweli kuna muda bia huwa inakera ikiamsha hangover unaapa kuiacha mwili ukipoa unarudia tena, siku ya juzi na jana bia imenikera sanaa, leo mimi na bia basi. 👋
Shida imeanza sijanywa kitambo hata miezi miwili imefika, juzi nkaona kama vile nmepata kiu ngoja...
Mbowe kaanza visingizio mapema.
Kwani lissu Kula kitimoto na bia unahusika nini na uchaguzi?
Lissu Kula Sato na ugali wa mtama inakujaje kwenye uchaguzi kwa nini haukusema hayo mapema iweje Leo?
Mbowe atangaze Sera au aseme walikula wote hivyo vyakula, asilete ujanja ujanja kisa uchaguzi
Maandalizi ya kuufanya mwezi January kuwa mwezi dume, yanafanyika msimu huu wa sikukuu. Watu wanaponda mali kana kwamba wanakufa kesho ama wameagana kabisa na shida za dunia.
January inapofika inawakuta watu hao wako hoi bin taabani kiuchumi. Wataanza kuhaha kuuza hata kile kidogo...
Makusanyo ya mapato ya makampuni ya bia nchini yameshuka kwa karibu asilimia 20, hali inayoonekana kusababishwa na kupungua kwa wanywaji wa bia kufuatia ongezeko la ushuru wa bidhaa lililowekwa na serikali. Ongezeko hili la ushuru limewafanya wanywaji wengi kuhamia kwenye vinywaji mbadala...
Wanywa bia huu ushamba wa kumwaga bia chini ili kuangalia povu kisha kusema bia imeharibika au nzima nani aliwadanganya?
Huwa nawaona mnavyobishana na wahudumu kuhusu bia kama ni nzima kwa kumwaga na kuangalia povu natamani walinzi wawapige tanganyika jeki na kuwatupa nje.
Katika kusheherekea siku ya bia duniani, Kampuni ya Bia ya Tanzania (TBL), inayoongoza kwa utengenezaji wa vinywaji hapa nchini, leo imezindua Kampeni yake ya ‘Smart Drinking’ yenye lengo la kutoa elimu ya kunywa kistaarabu. Kampeni hii inalenga wauzaji na watumiaji wa bia ili kuwahimiza kunywa...
Hizi lebo za bia haziwezi kutumika mara mbili kupunguza gharama za kuchapa lebo mpya? Lebo nyingi zinamfikia mnywaji zikiwa katika hali nzuri kabisa na zinarudishwa kiwandani zikiwa zipo vema kwenye chupa.
Najiuliza kampuni za bia kwa nini hazizitumii hizi lebo kwa mara ya pili? Maana...
Hii mada inawahusu wanywaji tu.
Tangia Serengeti ibadilishe bia ya Serengeti larger yenye makaratasi meusu na kutuletea nyingine yenye makaratasi ya njano sio tu imebadilishwa meoneko Bali pia na ladha imebadilika.
Ladha mpya sio tu haina msiaimko Bali inakera naomba Serengeti wanrudishe...
Aisee hii bia ya Serengeti nilikuwa naipenda sana lakini Kwa Sasa Wacha niipe talaka tatu wamekuja na sticker la hovyo kabisa rangi mbaya sana utafikiri ya chama kile chakavu mtakosa mapato msiporudisha sticker ya zamani kiwanda chenu kinaenda kufa kifo Cha Mende
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.