Bïa Krieger is a Brazilian-born singer and recording artist who lives in France and Quebec. She sings in French, Portuguese and Spanish. Her recording career began in 1996 and currently she has four albums.
Habari za wakati huu wanaJf,
Ni asubuhi tulivu watu mko katika majukum yenu ya kila siku. Eeeh bhana leo kwa mara ya kwanza nimeamua kunywa Bia nijue Inaleta feeling gani mpaka watu wanakesha Bar au Wakati mwingine kutelekeza familia zao.
Nimeanza Castle lite, Ni chungu [emoji36][emoji36]ila...
Yaani kabla hujaanza hata kuyumba yumba.
Nyimbo gani zinakupa burudani ya aina yake moyoni ukiwa baa/club?
Kiasi kwamba unaweza kutumia mpaka hela ya nauli au bajeti ya kesho ikavunjwa bila kujielewa.
TATIZO: "Unstable Political Grounds of the Nation"
TATIZO ZAIDI: "Poverty Among Politicians is the Root Cause of Unstable Political Ground of the Nation"
ZAIDI YA TATIZO: "POVERTY IS A RESULTS OF LOCKED MIND OF GREAT THINKERS IN THE SOCIETY BY THE POOR POLITICIANS FOR THEIR OWN GREED TO STAY...
Wakuu natumaini mu wazima.
Natafuta mawasiliano na wauzaji wa bia kwa jumla pale Dodoma mjini. Kama yupo yeyote humu au kuna mtu anaweza kuniunganisha na muuzaji yeyote tafadhali nitumie namba ya simu niweze kuwasiliana nao kibiashara.
Unaweza kuituma hapa au kwenye PM.
Natanguliza shukrani...
Kuna bia moja ya TBL ninaipenda lakini iko kwenye ukanda fulani na haipatikani kwenye mkoa niliopo ambapo pia nina vibiashara vyangu vya kinywaji na ningependa kuiuza hapa.
Nilipomuuliza mmoja wa wahusika nikaambiwa hiyo ni ya ukanda huo tu hairuhusiwi kuuzwa nje ya ukanda!
Habari wakuu. Naomba mwenye kujua anijuze ni ipi bia ya asili (local beer) ambayo iko packaged kwenye chupa na ina ladha nzuri. Naijua Chibuku tu lakini kwa mikoani naona imeshindwa kupata soko. Nina visehemu vya biashara ya kinywaji maeneo ya watu wa kipato kidogo naangalia product ya nzuri ya...
Akiongea na wananchi wa Mbalizi mkuu wa mkoa wa Mbeya mh Albert Chalamila amesema mkoani kwake wanatwanga bia kitambo hawasubiri party ya Jumapili kama Dar.
Amedai kuna wakati alifungia bar kwa siku moja na kesho yake akaruhusu watu watwange bia hadi saa 7 za usiku.
Amemalizia kwa kusema Mbeya...
SIKU HIZI KUNA KATABIA NAKAONA BAR
Umeenda zako mahali unapiga gambe na meza imependeza anatokea jamaa kapendeza na kaweka ufungua wa gari kiunoni anajisogeza na bia yake moja story nyingiiiii badae unasikia nipe moja brother atakupa au utasikia brother napiga moja
Umenunua zako K Vant unapiga...
Wakuu poleni na maumivu ya january,
Ndugu zangu sina mengi ijumaaa nimeagizwa kikazi mwanza na ofsi na sijawahi kula bata Mwanza nawaomba mnipe ramani ya kiwanja kizuri kilichochangamka chenye watoto classic ambacho ntakula bia huku nimebambia mtoto classic wa jiji la mwanza
Shukrani.
Wana JF,
Kwa yeyote anejua dawa au mbinu ya kumfanya mlevi kuacha pombe. Nina ndugu yangu yeye bila kilevi cha pombe siku haiendi kabisaa na hii imekuwa inarudisha maendekleo yake nyuma.
Wanaoijua tiba mnijuze niokoe maisha yake na familia yake.
Ushauri na Maoni yaliyotolewa na wadau
---
Wakuu kwema?
Nataka kumzawadia Raisi wangu mpendwa John Pombe Magufuli zawadi ya mwaka mpya, nataka kumzawadia kreti la bia.je huwa anakunywa bia kweli?
Asanteni
Mkude kasimamishwa kwa utovu wa nidhamu, lkn kosa alijatajwa.
Taarifa za uhakika kabisa ni kuwa siku ya sikukuu Mkude alienda kiwanja flani akaagiza bia za kutosha na baada ya kulewa akasema hawezi kulipa hata sh 10 na badala yake wakachukue hela kwa Mo Dewji maana kuna malimbikizo flani flani...
Kuna wakati niliwahi kuona bia za kupima kwenye glasi zinazohifadhiwa kwenye mitungi (kegs). Hivi siku hizi hazipo tena? Glasi ilikuwa inauzwa sh 500. Ingesaidia watu waache kunywa mataputapu.
Kenya zipo sana watu waliokuwa wanauza pombe haramu waliacha wakawa wanauza Senetor kegs beer. Huku...
Mu-hali gani wakuu??? Maisha magumu sana, kila kukicha mambo yanazidi kuwa magumu, nilifanikiwa kuanzisha ki'biashara flani (maji na juice kwa jumla) hapo Dar ila mimi nilikua mkoani naongeza kisomo kidogo ila kama mjuavyo tena USIMAMIZI Ulikua mgumu sana kutokana na umbali hivyo nikajikuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.