bia

Bïa Krieger is a Brazilian-born singer and recording artist who lives in France and Quebec. She sings in French, Portuguese and Spanish. Her recording career began in 1996 and currently she has four albums.

View More On Wikipedia.org
  1. Google Diggers

    Kuna maisha ya ajabu Sana. Leo nimetoka na rafiki. Tukala bia, nikaambulia kupigwa na kung'atwa. Bajaji musiwaamini

    Dereva mmoja Leo saa nne usiku alinitoa mitaa ya marambamawili kwenda tabata. Tukiwa safarini demu akaanza kushuka baada ya kufika kwao..nikaendelea safari. Tukiwa safarini tukapishana maneno na dereva m. Oooh Malaya na maneno kibao. Nikakaribia nyumbn Kwangu kabla ya kunishusha tukabishana...
  2. Expensive life

    Wanywaji wa bia washauriwa kunywa chupa moja kwenda nyingine baada ya saa moja

    Hayo yamependekezwa leo na prof. Mohammed Janab, mkurugenzi wa taasisi ya moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Namnukuu. Nakumbushia tena kunywa pombe chupa moja hadi nyingine ukienda baa kuanzia saa moja hadi saa mbili kunywa chupa mbili za bia. Ule muda uliobakia tazama mpira, tamthilia. Ukitoka...
  3. M

    Watanzania wasiokula bia au kilevi wana roho mbaya sana. Ukiwa nao makazini au unapoishi kuwa makini

    Wengi ni watu wasiojiamini. Wakiwa makazini ni watu wa fitina na majungu. Wanaamini sana uchawi na ushirikina. Ukiwa nao mahala unaishi nao kuwa makini. Ukiwa nao mahala unafanya nao kazi kuwa makini. Hawafai kabisa
  4. M

    Kama una kreti tupu za soda na bia na unataka kuziuza tuwasiliane

    Wakuu habarini za jioni. Kwa yeyote mwenye kreti tupu za soda na bia kampuni yeyote Ile na anataka kuziuza, naomba tuwasiliane. Hata kama unazo kreti 1000 au zaidi nitazinunua, nipo morogoro mjini.
  5. Google Diggers

    Nilikuwa nakata bia na majamaa, mmoja akaleta za kitoto nikamchapa

    Wakati mwingine najiona Nina matatizo. Siku Moja ikiwa na jamaa zangu tukila yombe, mlevi mwenza akajifanya hamnazo. Nina tabia ya kutopenda upuuzi niwe nimelewa au kavukavu naweza chapa MTU. Wkati flan nilimuomba jiran kwenye daladala anipishe akakataa, nikamkamata shingo na kumtupia Siri ya...
  6. DeepPond

    Changamoto: Mpenzi wangu akishalewa bia anakua na mwili wa baridi mno

    Habari, Wakuu Nna mpenz wangu mmoja (Ni Mchepuko Wangu) ni mwanachuo Hapa dsm, Yuko kwenye miaka 20-22 .Kipind tunaanza mahusiano, Changamoto yake Kubwa ilikua Ni aibu. Alikua na aibu sana Kias Cha kushindwa kumfaidi. Solution ikawa Ni kumfundisha kunywa pombe ili aondoe aibu, tuenjoy vizuri...
  7. S

    Kwanini mtu akiwekewa mkojo kwenye bia anazima?

    Kwa nini mtu akichanganyiwa mkojo kwenye bia anazima?
  8. S

    Sijawahi kuona promosheni ya safari lager hii bia ni big brand inajiuza bila kutegemea promo

    Hayo ma castle lite serengeti lite kinachowasaidia ni promosheni utakuta unaambiwa elfu 10 bia nane Safari haitegemei promo wala kushusha bei ni big brand
  9. S

    Bia ni Safari Lager na Castle Lager tu nyingine ni takataka

    Bia ni safari lager na castle lager nyingine ni takataka tu
  10. The Assassin

    Kama biashara zilikufa na kufungwa miaka 5 iliyopita, hizi faida za mabenki zilitoka wapi?

    Ukikaa na kusikiliza watu unaweza kufikiri Tanzania ilisimama kwa miaka 5 na hakuna kilichofanyika lakini uchumi unaongea tofauti. Bank ya crdb imetoa taarifa ya faida kwa miaka 5 iliyopita, faida imeongezeka kwa zaidi ya asilimia 300. 2018 Bilioni 64 2019 Bilioni 120 2020 Bilioni 165 2021...
  11. Nyankurungu2020

    Nina bajeti ya bia sita niatakuwa nikizishushia wakati watanzania tunabagazwa huko Gauteng province.

    Bia ya baridi itakuwa inapoza machungu tutakayoyapata wakati maharamia wanatuharamia Hakuna jinsi sasa nifanyeje?
  12. Mnazinguakinoma

    Wauza simu wa dar pitia hapa tufanye biashara.

    Habari za wikendi wakuu. kwa wale wafanyabiashara wa simu za jumla mimi natafuta mtu ambaye tutafanya nae biashara niwe nachukua simu kwake kwa bei ya jumla hata kama upo mkoani hasa wa iringa mjini au mafinga na makambako njoo inbox tuyajenge. Simu ndogo za batani ndo ninazotaka. Nawatakia...
  13. S

    Wanawake bia ngumu wanakunywa, usiwalegezee wanakuona boya

    Utakuta demu anajifanya anataka Serengeti lite au Heineken wakati kiuhalisia bia yake safari laga. Mi kuna siku demu kaniomba nimnunulie bia kulaleki anayaka Castle Lite wakati mi mwenyewe nakunywa Plisna Nilimnunulia moja alivyotaka nyingine nikamwambia hapa tutakunywa plisna na double kick...
  14. mkenya wa kova

    Serengeti Lager kubwa inafoka

    Ni kwa mda mrefu kidogo nimekua nikiwa nchini Tanzania natumia bia ya Serengeti Lager, hii ni vile taste yake kidogo inakalibiana na bia ya balozi ya Kenya. Sasa kwa kipindi hiki nina kama week moja na nusu niko nchini na nikiitisha hii bia waiter akifungua inafoka, na inamwagika kama 25% hivi...
  15. A

    'Uhuni' unaofanywa na Mawakala wa Kampuni za Bia unashangaza

    Wadau, salaam Kuna Mawakala wa kutangaza (promotion) bia za kampuni za bia nchini kama Tanzania Breweries Ltd na Serengeti Breweries. Yaani iko hivi, hawa Mawakala wao kazi yao ni kutafuta wasichana warembo na kwenda nao kwenye baa kubwa ambapo huwapa bia ili wazitembeze kwa wateja wa baa...
  16. VMWare-Oracle

    Uhusiano wa bia na kula tunda kimasihara

    Habari za wakati huu wana JF. Baada ya kupitia ule uzi pendwa wa kula tunda kimasihara nimegundua visa vingi vimejengeka katika mazingira yanayohusisha matumizi ya vilevi. Hivi sababu ni nini? Je vilevi vinahamasisha ulaji wa tunda kimasihara?
  17. nyboma

    Vijana acheni kunywa bia kwenye vibanda umiza, connection zote za maisha zinapatikana katika mahotel makubwa hapa mjini

    Kwa ufupi unakuta kijana kasoma chuo, kakaaa mtaani zaidi ya miaka tano (5) hana ajira, kijana huyuhuyu unamkuta kwa mangi ama kwenye baa za kawaida anafakamia kongagi ama K- vant kupunguza stress. Sasa ngoja niwape siri ukitaka kufanikiwa mara moja moja tembeleeni hotel kubwa kubwa mfano ( sea...
  18. S

    Nahitaji mbia kwenye biashara ya kuuza asali Kenya

    Habari wadau, ninahitaji mfanyabiashara wa asali au mfugaji wa nyuki ambae ana vibali stahiki vya kuuza na kusafirisha maana nina wafanyabiashara wapo kenya wanasafirisha asali kwenda dubai n.K, hvyo nahtaji mtu wa kushirikiana nae soko tayari lipo ila mim sina mtaji na utaalam wa kuitambua...
  19. M

    Zinauzwa: Kereti za bia tupu(chupa na kasha) elfu 9 tu!

    WADAU, NAUZA KIRETI TUPU ZA BIA KWA ELFU 9000 KWA KIRETI MOJA(CHUPA NA KASHA LAKE), ZIMEBAKI KRETI 13. ZINAPATIKANA BUNJU B, PIGA 0759 819 819
  20. mgt software

    Bia ya Pilsner yauzwa 1000 Bukoba, watu wamegaili kunywa soda, wanameza bia tamu.

    Wana JF Ukiwa Bukoba raha sana, wale ambao walikuwa wanagonga nyagi mwitu wameamia kwenye bia ya buku huku wakifurahia ujio wa kiwanda hiki mwanza, maroli na maroli yanamwaga bia bukoba, usije ukalogwa eti unataka kuwanunulia nyagi, hawataki kabisa. Hongela sana SBS kwa kuleta burudani...
Back
Top Bottom