Bïa Krieger is a Brazilian-born singer and recording artist who lives in France and Quebec. She sings in French, Portuguese and Spanish. Her recording career began in 1996 and currently she has four albums.
Watu wakiambiwa wapige kura kuchagua kati ya kuchakatana na kunywa bia. Mm nitakuwa mmoja wa watu watakao chagua kuchakatana na tutapata ushindi mkubwa sana.
Aliyesema bia tamu akafanye utafiti upya.
Ndiyo maana hata bia ikikolea inamsukuma mtumiaji aende kuchakatana, hii inamaanisha kwamba...
Mkurugenzi wa Baraza la Kutunza Mazingira NEMC, Dr Samwel Gwamaka asema baraza la mazingira linashauri kuwa si salama kunywa vileo, kufanya matamasha makubwa ktk fukwe za bahari kwani ni hatari kwa umma mpana na pia inapelekea kuharibu mazingira
Source : millard ayo.
Kuanzia roundabout ya Uhuru hizo shule zote napendekaza ziondolewe zitafutiwe eneo lingine lipishe wamachinga walioratibiwa.
Kiwanda cha bia hakina sababu ya kukaa katikati ya jiji, kiamishwe kipishe wafanyabiashara.
Maeneo hayo yajengwe majengo simple ya kisasa yenye vizimba vya kimkakati...
Nimekaa nikajiuliza sana kwanini watumishi wengi wa idara nyeti (wengi mtakuwa mmenisoma na maanisha nini), watu hawa ukiangalia kazi wanayofanya na maisha yao mtaani ni vitu viwili tofouti kabisa maana vijana hawa wamejawa na tamaa hadi kufikia kutapeli watu hovyo mtaani kwa kigezo cha kufanya...
Huu wimbo hauna tofauti na ule wimbo wa zamani uliokuwa unahamasisha kubomoa na kujenga kesho.
Sasa hivi mitaani vijana wanapiga huu wimbo huku wakilewa hovyo na kuhamasisha ulevi.
Waziri Bashungwa piga marufuku huu wimbo mara moja.
Mwaka mpya wa fedha tumepelekwa mbiombio aseee na mambo yalikuwa Ni mengi bado bilabila na mother anaupiga mwingi na inavyoonekana hata bia kumbe hazitashuka Bei kumbe ile habari ya punguzo la bia ilikuwa Ni scam.msaada tutani
Tuliahidiwa bei zimeshushwa kodi hivyo hata bei itapungua, lakini mpaka leo utekelezaji unasuasua, sasa wadau naomba tupaze sauti ni lini serikali yetu tukufu itapunguza bei ya bia ili sisi wanywaji tuendelee kuchangia kodi kwa spidi kweri kweriii
Waziri wa Viwanda na Biashara, Prof. Kitila Mkumbo amesema serikali imepunguza kodi kwenye bia zinazotumia shayiri ya Tanzania 100%
Amesema malalamiko ya kusema zimepunguzwa kwenye bia na kupelekwa kwenye miamala ni kutoelewa
Amesema dhumuni la kushusha kodi ni kuwezesha uanzishwaji wa kiwanda...
Hamna kitu inaumaa unarudu kwa Mangi unakutana najamaa wanahadithiana yaaanai leoo nimela.baa sitaa za bk miatan
Mwingine
Za buku Nimemimina kumi aisee mwenye ukweli hasa wale wa tbvu tujuzanee hizi bukubuku zinapatikana Wapi
Otherwise darajani leo kuna ufunguzi mbele ya Rainbow KIDOGO wa...
MBUNGE ARUDI JIMBONI,AULIZWA KWANINI WAMESHUSHA BEI YA BIA?
"Naipongeza bajeti ya serikali japo kuna mahali imeteleza yaani serikali inaongeza bei za mafuta na mabati lakini inashusha bei ya bia kwa nini"Joseph Haule mkazi wa Iwela mbele ya mbunge wa Ludewa,Njombe Joseph Kamonga.
Wanadamu wachokozi,
wazandiki na makuhani tena wanahiyana una kifua gani cha kuhoji unywaji wangu,kisa wewe hunywi.
Majukumu yangu yooote huyaoni bia mbili tatu kesi
Habari wadau..!
Hii dunia unaambiwa ukistaajabu ya Mussa utayaona ya filauni.
Wakati pale Africable Kurasini Mivinjeni kuna mwamba kajitolea anatoa msosi bure na ana zaidi ya mwaka watu wanapiga msosi.
Kuna mwanangu kanipa info kwamba kuna mwamba yeye kafungua bar yake anatoa bia za bure ...
Kama kichwa cha habari kinavyosema!
Hivi wanyaji wa bia na pombe kari tunaibiwa au? Maana pombe kali zishapanda bei ila bia Zimebaki pale pale shida iko wapi? Au mi kwa sababu niko uku ruvuma?
TRa
Tbs
OSHA
Wateja
TUPAZE SAUTI
TANZANIA NI YETU
Nchi hii sijui imelaaniwa wapi, ni juzi tu Rais wetu mpendwa Mama Samia aliwaonya Task forces TRA waache kutumia nguvu kudai kodi lakini usiku huu wamevamia Mpo Afrika bar iliyopo Temeke na kubeba crates za bia wakiwa wameambatana na polisi wengi wenye silaha.Hivi unapomvamia biashara ya mtu...
Habari wakuu
Hakika wanawake kuwaelewa ni ngumu mno, ni mwezi mmoja umepita tangu nilivyomuapproach mtoto mmoja hapa jiji la joto na akanitolea nje.
Nikapambana kila namna lakini mtoto hakunielewa ndani ya siku 4 nikajikatia tamaa. Ilibaki tunaonana kupitia status za wasap pasipo kucoment...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.