Bïa Krieger is a Brazilian-born singer and recording artist who lives in France and Quebec. She sings in French, Portuguese and Spanish. Her recording career began in 1996 and currently she has four albums.
Muda mrefu duniani imekuwa ikipita mabadiliko makubwa ya teknolojia kutoka mapinduzi ya mwanzo ya viwanda mpaka sasa kuelekea mapinduzi mapya ya viwanda ambayo yanaelekea kuja na taswira mpya na aina mpya ya uwekezaji hususani kwa sasa teknolojia inayozungumzwa ni teknolojia ya akili bandia (...
Swali fupi sana ila ni la msingi ambalo mtaalam wa afya yakupasa ulifanyie Utafiti uliandikie andiko.
Kwanini ukikaa bar unaweza kupiga safari lager zile kubwa za nusu lita hata 10 Sawa na lita 5 ila haiwezekani kukaa sehemu ukanywa maji Lita 5 labda unywe taratibu asubuhi Mpaka jioni.
Kwa...
Unaweza usiamini ila kwenye mabanda umiza na mabar soda inauzwa 1000 sio kama madukani 700 na maji Lita 1.5 yanauzwa 1500 sasa Wakija wateja wengi ukauza ma kreti mengi ya soda aisee biashara itakuendea vizuri sana.soda moja unapiga faida Mpaka 500 hakuna bia yenye faida hiyo.
Je, Kuna ukweli kuwa unywaji wa Bia kwa wingi kwa mwanaume hupelekea kuongezeka kwa homoni za kike, na mwisho kupelekea mwanaume kupata ugumba?
Video inayozungumziwa (Chanzo: Times FM)
Picha ya Mwanaume aliyelewa pombe (Picha: Adobe Stock)
Sijasema mimi bali amesema mtaalam aliyenukuliwa na mtandao wa ommy msafi news hivyo nendeni huko mkaisikilize clip yake
Kitu pekee ninachofurahi cognizant mimi ni kwamba sinywi bia na haitotokea nikaja kunywa bia.
Akhsante mtaalam kwa ukweli wako
Muswada wa Bangi kwa matumizi binafsi uliokuwa unakutana na vipingamizi kadhaa toka mwaka 2018 umepitishwa na bunge nchini humo jana Jumanne 14/11/2023.
Vyama vya ANC, DA, IFP, EFF, NFP na PAC viliunga mkono muswada wa bangi kwa matumizi binafsi, wakati FF+ na ACDP waliupinga wakati wa kikao...
Kampuni ya Serengeti nashauri wejiheshimu na waheshimu brand ya wateja wao wanatumia neno la kihuni na lenye matumizi yenye weight kubwa ya negative connotation hasa sehemu zetu za kula bata.
Tafadhari Serengeti breweries mjitafakari sana baadhi yetu tumetoka mbali sana na hii bia sio poa...
Siku zote ukiwauliza watu kuhusu unywaji wa pombe aina ya Bia, watakuambia sio nzuri kiafya, na watakuelezea na matatizo mengineyo yanayoambatana na unywaji wa Vilevi.
Je umewahi kufikiria kuhusu faida za unywaji wa BIA kiafya. Sasa mimi sio mchoyo, nimekutana na Kipande cha video hii...
Najua nitaonekana mlevi lakini kuna uwezekano mkubwa sana hizi bia kuna viwanda vya uchochoroni vinaendelea.
Ukizingatia wamiliki wengi ni wachaga ambao nao pesa ni zaidi ya uhai wa mtu. Hivyo ni rahisi wakafanya mchongo na wachina kutengeneza bia feki.
Haiwezekana watu watano wanywe bia nane...
Siku ya Kimataifa ya Bia Duniani ambayo husherehekewa kila Ijumaa ya Kwanza ya Mwezi Agosti, ilianzishwa mwaka 2007 huko Santa Cruz, California, Marekani
Siku hii hunganisha Dunia kwa kusherehekea aina mbalimbali za #Beer kutoka Mataifa yote Duniani, ambapo marafiki hukusanyika na kufurahia...
Mikoani Safari ni 1,500 huku Dar Safari ni 2,500 mpaka 3,000, WHY? Bia zote za TBL ni bei juu Dar kuliko mikoani ambapo nilitegemea kinyume chake kwasababu Dar hakuna gharama za usafirishaji ukilinganisha na mikoani, This is stupid!
Dar es Salaam. Kauli ya watalaamu wa afya kuhusu kiwango cha bia kinachoshauriwa kutumiwa na mtu kwa siku, imezidi kuibua maoni tofauti, safari hii wachambuzi wakijikita katika ujazo wa chupa, wingi wa kileo, afya ya mnywaji na mchanganyiko wa kinywaji chenyewe.
Akizungumza na Mwananchi jana...
Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), imeshauri jamii kupenda kufanya mazoezi, kupunguza kula vyakula vya sukari, wanga na kusisitiza kwa wanywaji wa bia, kunywa angalau tatu kwa siku ili kujilinda na ugonjwa wa moyo.
Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI, Dk Peter Kisenge amesema hayo leo Jumatatu...
Wanawake wanadharau sana. Eti ananiambia kisa mimi mfupi gharama yake ili angalau anifikirie fikirie nimnunulie bia 6! Dah, nilishangaa sana! Kununulia bia sio tatizo, ila hiyo sababu aliyoitaja yeye ndio ilinifanya niishiwe nguvu.
Watu warefu wanafaidi sana ila malipo ni hapa hapa duniani.
Si maneno yangu, ni Mkuu wenu mpya Mkoa wa Dar es Salaam.
Ukiwa kama kiongozi chunga sana maneno yako.
Tunajua kitambi ni kiribatumbo, ni ugonjwa, kipara sijui ila kiongizi lazima uwe na staha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.