Ujenzi wa mwalo wa Chato Beach uliopo mkoani Geita umefikia asilimia 91 huku Kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo ikisema imeridhishwa na kasi ya ujenzi wa mwalo huo.
Mwenyekiti wa kamati hiyo, Deodatus Mwanyika amesema mkandarasi aliyejenga mwalo huo anastahili kupewa kazi...
Habari wakuu.
Mimi ni Dalali wa mavitu yote lakini nipo na wazo ambalo hili ni Kwa wale Risk Taker kama Mimi.
Nahitaji mtu mmoja awe mwanaume au mwanamke ambaye yupo tayari Kwa huu mpango wangu.
Nipigie simu tuongee vizuri mkuu.
0754693556
Google Workspace, zamani ikijulikana kama G Suite, ni seti ya zana za kidijitali zilizotengenezwa na Google kwa ajili ya kuboresha usimamizi wa biashara na taasisi. Ikiwa unatafuta njia ya kufanya kazi kwa ufanisi zaidi, kushirikiana kwa urahisi, na kuokoa gharama, Google Workspace ni suluhisho...
Google Workspace, zamani ikijulikana kama G Suite, ni seti ya zana za kidijitali zilizotengenezwa na Google kwa ajili ya kuboresha usimamizi wa biashara na taasisi. Ikiwa unatafuta njia ya kufanya kazi kwa ufanisi zaidi, kushirikiana kwa urahisi, na kuokoa gharama, Google Workspace ni suluhisho...
Unapoteza Pesa na Muda Bila Kujua? Huu Ndio Suluhisho!
Katika dunia ya kisasa ya kidigitali, biashara na taasisi nyingi bado zinatumia mbinu za zamani za mawasiliano na uhifadhi wa taarifa. Barua pepe zinapotea, mafaili yanapoteza usahihi kutokana na mabadiliko yasiyoeleweka, na mikutano...
Nifanye biashara Gani kwa hili godwn langu ambalo mlango mkuu wakuingil a jorani amejenga ukuta ambao siwezi kuingiza gari kubwa na hata bajaji,nipeni mawazo nilifanyie biashara Gani ambayo haitaruhusu gari kubwa na ndogo zamizigo kuingia
Au nifungue kiwanda Gani kidogo
Ushindani wa Tanzania ni kimaskini sana.
Yani leo usije kusikia matajiri wanatoa pesa kukusanya mawazo ili ushinde pesa ambzao wazime wazo au kulichukua wazo.
Wengi wamekuwa wakifitiniana ili kujilinda na umaskini wao japo mnawaona kuwa kama kichwa cha habari.
Wengi wapo kupigana na wewe.
Mafunzo ya Ujasiriamali na Uendeshaji wa Biashara Kimataifa kwa Wanadiaspora wa Visiwa vya Comoro
Mgeni Rasmi: Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki
📍Moroni, Comoro
📅 14-16 Machi, 2025
Kama mnakumbuka:Hiki kisa cha
Katika miaka ya 1990, kulikuwa na tukio ambapo serikali ya Tanzania ilimwaga shehena ya ngano na unga wa ngano wa mfanyabiashara maarufu, Said Salim Bakhresa, ikidai kuwa bidhaa hizo hazikukidhi viwango vya ubora vinavyohitajika kuingizwa nchini.
Kutokana na hatua...
Katika ulimwengu wa biashara wa kisasa, matangazo ya bidhaa na huduma ni moja ya njia bora za kuvutia wateja na kujitangaza. Hata hivyo, kuna mwelekeo mbaya unaozidi kuonekana miongoni mwa wajasiriamali na wamiliki wa biashara ambapo wanatangaza bidhaa na huduma zao, lakini hawaweki wazi kuhusu...
Habari wana JF
Ni muda mrefu nimekuwa najiuliza maswali mengi sana kuhusu uwepo wa Mungu lakini kuhusu masimulizi yanayo elezea matendo yake mazuri na huruma kuu Kwa viumbe wake.
Mungu kupitia wajumbe wake hapa duniani na maandiko yanadai Mungu ni mwema na mwenye huruma sana lakini ukitafakari...
Nimeandika andiko kwa ajili ya kutafuta hela za ujenzi wa chuo kikuu matata, ambacho kitakuwa kinafundisha mambo ya biashara kuanzia ngazi ya cheti mpaka PhD.
Katika andiko hilo, nimependekeza walimu wawe wale wote waliojiajiri na kufanikiwa katika biashara zao au viwanda vyao, wakiwemo...
Ukiacha Mo extra ni bidhaa gani inafanya vizuri sokoni kwa sasa? Baada ya hali kuwa ngumu ameamua kuwa wakala wa....
1. Boxer, bajaji
2. Betri
3. Nyembe za Dorcco.
Kinachosikitisha zaidi huenda uwakilishi wake kwenye bidhaa hizo pia ukawa mgumu, kama ubora utabadilishwa.
My take. mo ajiri...
Unapambana Biashara Ikue, Lakini Gharama ya Mkaa Inashusha Faida... Una Mpango Gani?
Fikiria hivi kwa Kg 5 za Mkaa Utaweza Kupika Chakula Cha Kilo 30 kwa Wakati Mmoja ?
Hii Inawezekana Kama Ukitumia Jiko Bomba La kg 30 ...
Hili Ni Jiko Kubwa La Kupikia Chakula Mpaka 30kg Kwa Wakati Mmoja...
Habar wakuu leteni uzoefu wenu,Niko katika biashara ya vinywaji na chakula kwamiaka Sasa ,mshidani wangu yuko mita50 tuko ofisi yangu, Sasa Kila nkifanya ubunifu wakibiashara basi ataiga,nkiigiza product mpya sokoni basi nae ataiga na ataipunguza Bei
Nini chakufanya biashara imekua pasua kichwa...
Nauliza tu kwa Nia njemaa
WAPENDWA
Mm na sehemu kawe tatu za BIASHARA nimekodisha
KILA ukifika wakati WA KULIPA kodi nkatumiwa msg za MATAPELI NDUGU....jitahidi basi tulipane Kodi yetu na natumiwa kwenye line mbili tofauti
Haitoshii
Na VYUMBA napangisha airport
Yaani wapangaji wannenkati...
Asikwambie mtu watu wanataka A's na hela tu mengine mtajua wenyewe wazazi
1. watoto wanakalishwa madarasani kama wafungwa
2. wanakaririshwa midude hadi wanachanganyikiwa
3. watoto hawako huru, hawajifunzi vitu vya ziada nje ya masomo
4. wazazi wanteseka na ada ada ada hadi wanachanganyikiwa
5...
Utangulizi
Biashara ndogo na za kati (SMEs) ni uti wa mgongo wa uchumi wa Tanzania, lakini changamoto kuu inayowakabili ni jinsi ya kufanikisha masoko yao na kuvutia wateja. Ili kufanikisha hilo, kuna haja ya kuwa na mikakati bora ya uuzaji inayozingatia mazingira ya kibiashara ya Tanzania...
HABARI WANA JAMII FORUM
Naomba maelekezo juu ya biashara ya mbao
1,upatikanaji
2,usafirishaji
3,jinsi ya UENDESHAJI wa biashara
4, mtaji wa chini kiasi gani
5,namna ya kutafuta soko
TAWALA ZA AFRIKA NA BIASHARA YA NISHATI
Tutanunua umeme kutoka Ethiopia kwa ajili ya mikoa ya Kaskazini. Mikoa hiyo ina barabara nzuri, nyama choma nyingi na watalii wengi lakini haina uhakika wa umeme.
Kenya itatumika kama posta. Itapokea kifurushi toka Ethiopia na kukikabidhi Tanzania. Hakuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.