biashara

  1. Pfizer

    Benki ya biashara Tanzania (TCB) kushirikiana na Serikali kupanua biashara nje ya nchi

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Arusha, Agosti 30, 2024 - Benki ya Biashara Tanzania (TCB) imeendelea kuthibitisha dhamira yake ya kupanua wigo wa uwekezaji nje ya mipaka ya nchi. Hayo yameelezwa wakati wa kikao kazi cha siku tatu kinachohitimishwa hivi leo jijini Arusha. Kikao hicho...
  2. ndege JOHN

    Kwa kijana anayejitafuta kwa sasa ni bora ufugaji kuliko kilimo au biashara

    1. Biashara zimeandamwa na makodi ya mamlaka na fremu ilihali uwezo wa ununuaji umepungua 2. Kilimo kinaathiriwa na mabadiliko ya tabia ya nchi na bei kuyumba 3. Mazao ya mifugo hutoa mbolea, nguvu kazi, chakula na bei yake haishuki daima hupanda mfano kuku bei ya 15000-20000 imedumu kwa miaka...
  3. A

    Nipo Dar, biashara ipi inalipa kati ya kukaanga miguu ya kuku na kukaanga mihogo?

    Wakuu nimemaliza chuo mwaka huu hata joho bado sijavaaa yaani Sitaki kuwa kama graduates wengine kuendekeza aibu au kuwa na yale mawazo ya watu watanionaje hapana. Yaani bila kupoteza muda hapa Nnina wazo la biashara mbili. Biashara ya kwanza nataka nianze kukaanga mihogo. Nyingine nataka...
  4. Riskytaker

    Kwa wenye uzoefu na Dar, kati ya biashara ya daladala na gari za kukodisha (special hire), ipi inafaa kwa anayeanza na kwa nini?

    Pia kipi bora kati kununua gari/Coaster mpya au used?
  5. P

    Njia za kuzuia wizi kwenye Biashara yako

    Njia za kuzuia wizi kwenye Biashara yako. Wizi ni miongoni mwa vitu vyenye kurudisha sana nyuma Biashara zetu. Kuweza kudhibiti wizi kwenye Biashara sio kazi nyepesi kabisa. Lakini unatakiwa kupambana sana mpaka ukae sawa kwenye Biashara yako. La sivyo wewe utateseka kisha wafanyakazi wako...
  6. N

    Plot4Sale Kiwanja kizuri kwa biashara kinauzwa wilaya ya Kigamboni,Dar es Salaam.

    Eneo linatazamana na barabara kuu iendayo Buyuni na barabara ya mtaa iendayo ufukweni (beach) jirani. Eneo linaendelea kuchangamka kwa ujenzi na uwekezaji kama ujenzi wa makazi, viwanda, yadi, kiwanda cha saruji(sementi), mahoteli, fukwe,vituo vya mafuta,viwanda vya matofali,n.k. Eneo lipo...
  7. matunduizi

    Flemu nyingi za biashara huku mitaani kwa asilimia kubwa zimejaa watu wa namna hii

    moja kwa moja... 1: Watu wanaofanya biashara kwa sababu hawana option nyingine ila wakiipata wanakimbia. 2: Ndugu za hao mabosi wamiliki wa hizo biashara. Ndugu mwema sio lazima awe mwema kwenye kusimamia mambo yako ya msingi. Ndugu hawa wengi hawana morali na hiyo kazi na wengine wengi...
  8. Kazanazo

    Napenda kufanya biashara muda wote ninashika pesa tofauti na kusubiri mshahara mwezi hadi mwezi

    Biashara yangu ndogo bado haijakua kiviile lakini vichange change mkononi haviishi hata kama ni vya rejesho la kila wiki lakini vipo mkononi. Vipi wewe mdau unaipendea nini biashara yako? Au kama ni muajiriwa unaipendea nini ajira yako?
Back
Top Bottom