biashara

  1. M

    Wenzetu wanafanyaje kina niffer,biashara za ramsek Hadi biashara zinakua kwa Kasi mno

    Wakuu wenzetu Hela wanapatia wapi Hadi kutajirika ndani miaka michache wanashusha makontena 40ft..uku wangine biashara hizo hizo miaka na miaka hazikui
  2. G

    Is the risk worth it ? kununua pikipiki mpya, uitoe kwa mkataba wa faida ya “elf 3 kwa siku”,kisha uigawe bure baada ya miezi 13 ikiwa bado mpya

    Gharama za ununuzi na usajili - 2,800,000 Mkataba – miezi 13 (siku 365 za mwaka + 30 za mwezi moja) Hesabu ya siku – elf 10 Hesabu ya miezi 13 – elf 10 x siku 395 = 3,950,000 Faida miezi 13 = 3,950,000 – 2,800,000 = 1,150,000 Faida ya kila siku = 1,150,000 / siku 395 = 2,911.. (elf 3...
  3. Bkisandu

    Natafuta mtu wa kupartner naye kwenye biashara ya milling machines.

    Hello esteemed partner. I believe hii thread itakupata ukiwa poa. Napatikana, Mbeya, and kama kichwa kilivyojieleza. Natafuta mwekezaji au mshiriki ambaye tutafanya pamoja biashara hii ya kuandaa na kuuza bidhaa za shamba baada ya kuzichakata. Kwa kuanzia. Tutaanza na unga wa sembe na Dona...
  4. Dalton elijah

    Biashara ya binadamu yaendelea kuumiza Zanzibar

    Zanzibar Imekuwa Ikitumika Kama Njia Ya Biashara Hii kwa Kutumia Kipengele Cha Ajira Nje. Ya Nchi Ambapo Baadhi ya Watu husafiri Kwenda Nchi Kwa Ajira Ya Kutafuta Ajira. Na Husafiri Bila Kuwa Na Mkataba Wa Ajira Ambao Umethibitishwa Na Ofisi na Ofisi za Kibalozi za Nje ya Nchi ya Yetu. Mwaka...
  5. C

    Naingia katika biashara ya korosho za kurost naombeni order zenu wadau

    Jamhuri ya muungano wa Tanzania Amani iendeleee wananchi . Baada ya maneno hayo mazito napenda kuchukua fursa hii kuwatanabaisha ndugu zangu wajarsiriamali na wazalendo ,wapenda uhuru wapenda amani kokote mlipo duniani Huu uzi uwafikie watu wote Bila kupoteza muda nimekaa na kuwazua nikaona...
  6. H

    Invitation to the webinar - Ungana nasi kuadhimisha mwaka mmoja wa SmartBusiness Startup

    Tunafurahi kukualika uwe sehemu ya sherehe ya mwaka mmoja wa ukuaji wa SmartBusiness program ya usimamizi wa biashara ndogo na za kati (SMEs) kote Afrika. Katika webinar hii, utapata kusikia moja kwa moja kutoka kwa mwanzilishi na timu ya SmartBusiness kuhusu safari ya SmartBusiness, mafanikio...
  7. contask

    Biashara ndani ya Amazon

    Habari wakuu Baada ya uzi wangu wa utafiti ambao ulifutwa sasa nimekuja na uzi mpya Katika pitapita zangu za amazon nikakutana na uwezo wa kucreate seller acount ambayo unaweza ukachukua plan ya individual account ambayo itakua inalipiwa 0.9USD kwa kila mauzo unayoyafanya NIkapitia price ya...
  8. E

    Msaada wa namna ya kutengeneza peanut butter kwaajili ya biashara.

    Wataalamu naombeni maelekezo jinsi gani naweza kutengeneza peanut butter kwa njia rahisi
  9. Mr Suprize

    Mnishauri, nahitaji kuacha ajira Serikalini ili nisimamie biashara zangu

    Nina mwaka tangu niajiriwe Serikalini lakini ukweli sioni future yoyote kwenye hii kazi niliyoajiriwa, naona kabisa naenda kuzika ndoto zangu na kubaki kuishi Kwa kutegemea mshahara. Kabla sijaajiriwa nilikuwa na biashara zangu ambazo nilikuwa naingiza net profit Million 1.5 Yani hiyo ni...
  10. Prostar

    Biashara ya vyuma chakavu

    Ningependa kujua biashara ya vyuma chakavu imekaaje,.. Kuanzia mtaji wa kuanza biashara hii, changamoto zake, namna ya kuRUN and everything guys,... Nasubiria comments zenu.
  11. I

    Fursa za biashara

    Wakuu habari, Naomba mwenye kujua maeneo ya nchi yetu ya Tanzania yenye watu wengi ambayo unaweza kufanya kazi ya UWAKALA wa benki na MITANDAO ya simu kwa mchana na biashara kama chips bila kufunga kwa maana ya masaa 24 nahitaji npate eneo husika mfano mtu akinambia Dodoma mtaa flani itakuwa...
  12. Dr. Zaganza

    Biashara zangu za utotoni hadi uzeeni

    Kwa kuwa miaka 40 wanaanza kuhesabu ni mzee, umepevuka, nami nimefika hapa ni muda wa kuwatia moyo wengine kwamba chochote unachokifanya,kifanye kwa moyo na akili yako yote ili kikupeleke hatua ya mbele yenye mafanikio zaidi. Pia nimegundua ukianza biashara hasa za kusafiri nje ya nchi, kubali...
  13. Stephano Mgendanyi

    Wafanyabiashara Ngara Watakiwa Kurasmisha Biashara Zao Ili Kupunguza Mzigo wa Kodi Kwao

    Wafanyabiashara Ngara Watakiwa Kurasmisha Biashara Zao Ili Kupunguza Mzigo wa Kodi Kwao Naibu Waziri wa Wizara ya Viwanda na Biashara Mhe.Exaud Kigahe (Mb) amewataka Wafanya biashara wilayani Ngara Mkoani Kagera Kurasmisha Biashara zao ili kupunguza mzingo wa kodi kwao Mhe. Kigahe ameyasema...
  14. Yoda

    Kwanini maeneo mengi ya biashara ya chakula huwa wanishindwa kudhibiti nzi?

    Kwenye maeneo mengi ya biashara za vyakula hasa migahawa ya ukubwa wa kati na midogo pamoja na sehemu nyingi za nyama huwa kunakuwa na nzi wengi sana waliojaa kila mahali. Yani mtu unakula chakula na mkono mmoja huku mwingine una kazi ya kufukuza nzi! Kama wewe sio mvivu na hupendi nzi, kwa...
  15. Ochoa Real Estate

    Eneo kwawajili ya project kubwa au kwaajili ya biashara linauzwa Madale Mivumoni

    Habari za wakati huu... Eneo linauzwa madale mivumoni... Lipo karibu na shule ya atlas Eneo limezungukwa na njia kubwa kabisa pande zote nne... Eneo lipo tambalale kabisa...🔥 Eneo linafaa kwa projects kubwa kama shule,hospital na hata viwanja vya michezo au sports academy.. Pia kwa wale...
  16. JanguKamaJangu

    Biashara ya utumbo wa kuku Dar inahatarisha Afya za Walaji, Mamlaka chukueni hatua

    Katika Jiji la Dar es Salaam ambalo kwa mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi wapo wakazi zaidi ya Milioni sita, shughuli mbalimbali za kibiashara zimekuwa zikifanyika kama sehemu ya Watu kujipatia kipato. Hata hivyo, miongoni mwa biashara ambazo zimekuwa zikifanyika nyingine uibua wasiwasi na...
  17. P

    Hawa NMB kufanya fujo kwenye biashara za watu wamebarikiwa na nani?

    Watu wa mazingira wako wapi? Kwa kuwa tu wanatafuta wateja ndio wapige kelele kwenye mitaa? Kama hapa tulipo ni fujo ya matangazo na nyimbo wakati jirani tu hapa pana hospitali na wagonjwa kibao Hawa jamaa ustaarabu ni ziro kabisa na bila shaka hata huko ofisini ni hivyo hivyo fujo tu Picha na...
  18. Ochoa Real Estate

    Biashara ya kulenga viwanja/maeneo

    Je umewahi kusikia biashara hii ya Kulenga viwanja? Twende sawa Habari za muda huu, natumai mzima kiafya kama sio mzima sana basi Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi uwe sawa kiafya. Je umeshawahi kusikia biashara ya kulenga viwanja/maeneo? Je kulenga viwanja ni nini? Kulenga ni ile hali ya...
  19. Manyanza

    Mo Dewji Bilionea aliyegeuza soka la Africa kuwa Biashara

    Rais wa klabu, Mohammed Dewji ametajwa na jarida la Face2Face Africa lenye makao makuu yake jijini New York, Marekani kuwa mmoja kati ya mabilionea wawili ambao wamesaidia kukuza biashara ya mpira wa miguu barani Afrika. Kutajwa kwa Mo kumetokana uwekezaji na mafanikio ambayo Simba imeyapata...
  20. Manyanza

    Mo Dewji Bilionea aliyegeuza soka la Africa kuwa Biashara

Back
Top Bottom