Mchungaji wa Ufilipino, Apollo Quiboloy mwenye ushawishi mkubwa na aliyekuwa akisakwa nchini Ufilipino na Marekani kwa tuhuma za biashara ya ngono kwa watoto na usafirishaji haramu wa binadamu amekamatwa Ufilipino.
Apollo ambaye kanisa lake la Kingdom of Jesus Christ (KOJC) linadaiwa kuwa na...
Watu wengi wanafirisika biashara Kwa kufuata mkumbo wa kufungua maduka, bar, vibanda n.k
Yaani mtu una million 2 au 3 unachukua mzigo wa kuweka dukani?
Ndugu utalia sana aisee,
Vijana wanatoka vyuo wanapewa mtaji na wazazi wanakimbilia kufungua boutiques, sijui bar, n.k na mtaji umepewa...
Kuna njia kuu tatu tu za kuua ushindani kwenye biashara yako
Moja kuwa bidhaa ya bei nafuu kuliko zote sokoni ....
Mpaka sasa sijui ni mbinu gani bora ya kupambana na bei sokoni
Mtu akikushinda kwenye bei ni majanga ...
Pili, Ni kuwa na uwezo wa kufikisha bidhaa au huduma kwa wateja ndani ya...
Hello wana jf
Natumai wote mko poa sana
Naulizia gani hivi hapa dar haina majina makubwa sana kama vile tandika, mbagala, kariakoo nk.
Lakini ina watu wengii na biashara zinafanyika kwa maana zinauzika
Nilikuwa mbagala na store yangu ya mchele ila kwa sasa nimenyoosha mikono ushindani...
Kiwanja caha biashara kipo opposite na New kibo complex Tegeta kina ukubwa wa 1260 square meters
Kinafaa kwa matumizi ya biashara kama petro station, apartment, Maduka n.k
Kianuzwa 850M
Mazungumzo yapo.
Kwa mawasiliano zaidi unaweza piga namba 0674630975
Ama 0714 796 778
Karibuni sana
Mbali na uwepo wa supermarkets(Stores) nyingi huku Marekani, pia yako masoko ya wakulima au wanaita Farmers Market, at least kwa hapa nilipo sijui majimbo mengine kama kuna farmers markets.
Masoko yako mengi ambayo hufanyika mara moja kwa wiki. Lakini kwa kuwa yako tofauti unaweza ukainjoi tu...
Mwaka 2023 ulikuwa mwaka ambao ulijaa changamoto na fursa kwa upande wangu. Nikiwa nimeamua kupanua biashara zangu, nilijikuta nikiingia China kwa mara ya kwanza. China ni taifa lenye nguvu kubwa kiuchumi, na kwa kila mjasiriamali mwenye ndoto ya kupanuka kimataifa, hili lilikuwa eneo muhimu...
Wakuu tangu nifungue biashara yangu ni wiki Sasa. Mazingira na miundombinu ya hapo ninapofanyia biashara yapo vizuri ila cha ajabu siuzi vile inavyotakiwa.
Yaani mtu anakuja anauliza kidali Tsh ngapi unamwambia bei anakigeuza geuza wee anakitathmini halafu anasema anarudi ndo imeisha hiyo...
Biashara ina mambo mengi sana, katika biashara yangu leo asubuhi mbele ya malango nimekuta manyonya ya kuku, kichwa cha paka, kucha za binadamu na damu.
Hii hatari sana.
Habari ndugu, naomba niwashirikishe kidogo yanayonisibu;
Nina biashara 5;
1. Magodoro
2. Electronics
3. Mchele
4. Duka la rejareja
5. Vinywaji vya jumla.
Kinacho niumiza wakuu chakwanza ni location mbovu haswa kwa biashara ya;
1. Mchele
2. Electronics
3. Magodoro
Jambo la pili ni mtaji...
Jeshi la Polisi limeleza kuwa Wafanyabiashara Raymond Hyera maarufu Ray (25) na Riziki Mohamed (30) wa Songea, Ruvuma waliokuwa wamepotea walienda kwa Mganga kupata dawa ya kuwezesha biashara zao kufanya vema zaidi ambapo walinyweshwa maji yaliyowafanya walegee na kupoteza maisha na kisha Mganga...
Cristiano Ronaldo sio tu gwiji wa soka bali pia ni mfanyabiashara aliye na aina mbalimbali za biashara zinazoendeleza ushawishi wake zaidi ya uwanjani. Chapa yake ya CR7 inajumuisha nguo, viatu, manukato, na biashara zingine kubwa.
Kupitia biashara hizi, Ronaldo anahakikisha urithi wake...
Habari wadau!
Naenda kwenye hoja moja kwa moja kwenye hoja.
Ki ukweli utakatishaji fedha ni biashara ambayo ipo kwa siri sana.
Usione mtu anajipost na rundo la hela na hana kazi yeyote akasema yeye ni free mason ukaamini we ni mjinga hata serikali ina ujinga flani.
Kuna watu wana hela Dunian...
Kufanya biashara kunahitaji muongozo, lakini pia taarifa sahihi kutoka kwa watu sahihi inaweza kufanya tofauti kubwa.
Tunatoa ushauri kwa wafanyabiashara wanaotaka mitaji mikubwa ya biashara na wenye historia au uzoefu wa biashara na asset kwa ajili ya dhamana.
Wasiliana nasi kwa email...
Wazoefu wa hii biashara naomba ufafanuzi;
Niandae bajeti ya Tsh ngapi kwa ajili ya hii biashara mchanganuo wa bei ya machine na Vitu vingine vinavyohitajika.
Location nzuri iweje Mambo gani ya msingi nizingatie Ili nipate location nzuri
Gharama za uoshaji zikoje kwa sasa. Changamoto ya hii...
I salute you kinsmen.!
Naona kumekuwa na mjadala wa vuta nikuvute kwa pande mbili hasa kwenye muelekeo wa kidini zaidi .
Mwelekeo huu ukihusu zaidi waarabu na wazungu na kujikuta tukikaa makundi ya ukristo na uislamu.!
Hii haifai wakuu lazima tuwe neutral na tujadili ukweli sio kuruka ruka na...
1. Kundi la Dada zetu (diaspora pori) wanapambana huko Arabuni.
2. Nilikua Dubai, Ile kuingia Tinder nakutana na mbongo ila nikajikausha kama sitoki Bongo.
3. Hela ngumu Sana aisee. Wacha wapambane.
NB: wengi Wanakwenda na viza za miezi mitatu ikiisha anakwenda Qatar au Oman kuzuga masaa tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.