biashara

  1. Abdul Said Naumanga

    ARUSHA: Polisi yadaiwa kumuua mfanya biashara Johnson Joseph mbele ya familia yake kwa kushushiwa kichapo huku akiwa amefungwa pingu

    Credit kwa WasafiTv👇🏼 https://youtu.be/dl-pDpB8K2Y?si=AssMQvmbRoW28ILy Johnson Joseph, mkazi wa Murieti, jijini Arusha, na mfanyabiashara wa vyuma chakavu, anadaiwa kuuawa na watu wawili waliodai kuwa maafisa wa polisi katika mtaa wa Eso, kata ya Ungalimited. Tukio hilo linadaiwa kutokea...
  2. Mr_mkisi

    Usitoe ofa bila sababu unapoteza wateja badala yake tumia mbinu hii

    Mara nyingi huwa nakutana na matangazo Mtandaoni yanatangaza bidhaa na kunadi ofa ... Unakutana na Tangazo linasema OFA OFA OFA jipatie ......kwa bei ya ofa ,lakini ukiangalia sababu za yeye kutoa ofa hana . Hili ni kosa kubwa wanalofanya wafanya biashara wengi bila wao kujua . Dunia ya sasa...
  3. aBuwash

    Naomba ushauri kuhusu biashara yangu inakoelekea inaenda kukata roho sio muda

    Habarii wana JF natumai wote mko salama. Mimi ni mfanyabiashara wa mchele hapa Dar es Salaam Nauza jumla na rejareja. Ila nasikitika toka nifungue hiii baishara yangu nimepitia changamoto nying sana mpka leo na nimekuwa mtu ambaye sikatii tamaa nikijipa moyo kwamba ndo napata experience maana...
  4. G

    Biashara ya Baa sio ya kuiwekea matumaini sana ikianza kujaza wateja, wateja wana tabia ya kukizoea kiwanja ila ghafla huhama kwa pamoja

    Nimewahi kuziona Baa kadhaa ambazo sikuwahi kudhania kabisa zitakuja kupoteza wateja, Wateja walihama kwa style za kimafia sana, yani vuuup!! ghafla bar inaanza kuwa tupu !! sio kwamba bar imefirisika, sio kwamba warembo wamepungua, sio kwamba hakuna service nzuri, n.k. yaani ndio hivyo, Vuup...
  5. Down To Earth

    Mwezi ujao naanza project maalum ya kusaka mtaji wa Tsh laki 5

    Ni kupitia Apps za mikopo mtandaoni. Nimekuja na strategies maalum sana kwa hizi kausha damu za Online Mbinu nitakazotumia 1. Nimesajili Simcard Ya Vodacom maalum kwa ajili ya kukopea tu. 2. Nimetumia hio Simcard kuwasiliana na watu maalum ambao hawanifahamu, na nimesev majina yao.. hapo ni...
  6. Mr No fair

    Biashara ya kuvalishia godoro lililochanika kitambaa au kure pair GOdoro lililochakaa

    Nina lengo la kuagiza machine nje kwaajili ya biashara hii nadhani ni Mpya nachowaza sana ni soko na namna ya kuitangaza
  7. Pdidy

    Mwenye kujua biashara ya kitimoto wapendwa/mtaji/na sehemu za upatikanaji kwa bei nafuu

    wapendwa Ukiacha biashara nilizonazo nimeamua kujikita kwenye biashara ya kiti moto. kwa wale wa Dar tujuzane inahitaji mtaji wa sh ngapi kuanzia. Mahali pa biashara papo fridge zipo mizani ipo Hasaa nahitaji kujua kiasi cha kuanzia hela zipo. sehemu za upatikanaji kirahisi namaanisha...
  8. Druggist

    Developers wa Jengo la biashara Wanakaribishwa Katoro

    Nakaribisha Developers wa Eneo la Familia lililopo Barabara ya CCM Mkabala na Kituo Cha Afya Katoro.Njoo na proposal.Familia inamilki Eneo na Nia ni Kujenga Trade Centre (Tayari Jengo 1 limekamilka). Eneo linatazama Lami hivyo developer atajenga na Kupangisha Kwa Miaka Kadhaa Kwa makubaliano...
  9. E

    Naombeni ushauri kuhusu biashara ya stationery

    Ndugu zangu naomba kujua kwa wale wanaona fanya biashara ya stationary, naipenda sana lakini watu wengi wanasema hailipi ni biashara ya msimu tu. Je nitawezaje kufaidika na hiyo biashara maana ndio nitakayoitegemea kwa ajili kuendesha ya familia na mambo mengine. Naombeni ushauri maana nina...
  10. Mike Moe

    Biashara ya solar Panels nchini Tanzania

    Habari za wakati huu wana Jf naomba kujuzwa undani wa biashara hii ya solar panels kwa hapa nchini kwetu Tanzania, Vifaa vitegemeavyo solar power na ni kwa kiwango gani solar system and panels zinahitajika Nchini Tanzania(Maeneo yapi nchini) na ni kwa matumizi yapi?
  11. M

    Gharama mpya za Bajaj zinaumiza sana!

    Asalaam wana jamii, Mimi nafanya kazi ya bajaj, hua nanunua na kuziweka kwenye mkataba lakini mwaka moja sasa bajaj kimekua zina panda bei vibaja mno Mwaka jana nilikua nanunua kwa bei ya 8.1 Million lakini Jan-24 nilipoenda kunnunua tena bei zilipanda hadi 8.6m lakini sasa kiznauzwa 9.7m na...
  12. Shooter Again

    SIMBA A.K.A MBUMBUMBU WAWAFUNGAWAARABU KOKO VIBONDE WA BIASHARA UNITED

    Siku ya Jana ilikua kombe la mbumbumbu linaendelea na klabu ya mbumbumbu simba ilifanikiwa kuwafunga waarabu Koko vibonde wa biashara unitea ikumbukwe Hawa waarabu Koko walifungwa Gori 3 bila majibu na biashara united hivyo Jana wamekutana na kipigo kutoka Kwa mbumbumbu wenzao hongereni simba...
  13. G

    Biashara kiganjani. Hivi ndivyo unavyoweza kunasa wateja kwa kutumia internet na kujiingizia kipato

    N:B: Lazima uwe na ujuzi au maarifa ya kutatua shida, sio kuminya tu simu. Tafuta ujuzi au maarifa ya kumtatulia mtu shida kwa uhakika na uaminifu. mfano mimi hii ni kazi part time, najihusisha na mini logistics, niliwahi kuandika humu >> link << Tengeneza page yako ukionyesha ukamilifu wako...
  14. G

    Biashara kiganjani, Hivi ndivyo unavyoweza kunasa wateja kwa kutumia internet na kujiingizia kipato,

    moved jukwaa la biashara
  15. Kaiche

    Njoo tufanye biashara ya kununua korosho

    Wanajamvi, habari za muda huu na poleni na mihangaiko ya kutwa nzima. Korosho ni zao linalolimwa zaidi mikoa ya Lindi na Mtwara na sasa ni kipindi rasmi cha msimu wa korosho. Nahitaji Tajiri ambaye yupo tayari kununua korosho , kwa rejareja (kangomba ) kwa sababu nina uzoefu wa biashara hii na...
  16. W

    Nifanye biashara gani mbadala na duka?

    Mim ni mfabiashara ya duka la rejareja naomba msaada wenu maduka yamekua mengi miaka miwili naishia kupata pango pekee hivyo naombeni msaada wenu nyinyi wataalam wa bashara mnisaidie nifanye biashara gani tofauti naduka ili initoe nilipo na kupiga hatua zaidi ASANTENI SAANA.
  17. Brojust

    Biashara ya kuuza wazo la Biashara.

    Habari za leo wakuu; Baada ya kupigwa sana na kuhangaika na watu mpaka level za kimahama kuhusu kuibiwa idea mbali mbali. Sasa nimekuja kwenu wadau kuomba hekima zenu kwa biashara hii ambayo tayari nimeanza kuona matunda yake. Ni Biashara Ya kuuza wazo la biashara, wazo la kutafuta jina la...
  18. Azoge Ze Blind Baga

    Je inafaa mtaji wa sh. ngapi kufungua biashara ya phone accessories?

    Wakuu nahitaji ushauri. Ni muda mrefu nina ndoto ya kufungua biashara ya vifaa vya simu. Ila changamoto nakosa mtaji na sijajua kiasi gani kinaweza kufaa kuanzisha hii biashara. So wajuzi wa mambo naomba mnipe ABC kuhusu mtaji unaofaa na maeneo yanayofaa zaidi kwa biashara hii. Nataka kuuza...
  19. G

    Mkong'oto wanaotembezewa wastaafu wanaotumia mafao kuanzisha biashara ni funzo kwamba uzoefu ni muhimu, Biashara zinabuma stress zinawamaliza wazee !

    Wafanyakazi wa serikalini na baadhi ya makampuni huwa wanakatwa pesa kila mwezi kwenye mishahara yao kwa ajili ya malipo yao ya mafao ya kujikimu wakistaafu. Mafao wanayopewa kwa mkupuo moja huwa ni fedha nyingi sana mfano milioni 200, 150, 100, 50, 30, n.k. kulingana na kazi walizofanya...
  20. JourneyMan

    Mshauri huyu mdau, Jee hii Biashara anayofanya inafaida, Hasara au imebalance?

    Sitaki kusema ni mimi au laaa..ila ni issue ya kweli.. Ipo hivi Mhusika kabla ya mkopo alikua anaweza kusave 400k kwa mwezi kutoka kwenye Salary, Akaona hio 400k inayozidi aikopee bank, riba Mil 3, afungue biashara, pengine atapata zaidi. Akachukua mkopo wa miaka 3, makato ni laki 4 na senti...
Back
Top Bottom