Habari wana JF
Mwenzenu nna kitu leo natamani ku share na nyie wakuu mwenye mwanga au wazo juu ya hili nigependa kupata wazo ama ushauri.
Mi natamani sana sana na ni ndoto yangu kubwa sana kufanya biashara ya madini hasa ya dhahabu naipenda sana hii biashara.
Sasa challenge nilokuwa nayo ni...
Habari wadau,. Kama mada inavyojieleza, nahitaji kupata uelewa wa biashara ya kukoboa na Kusaga mahindi. Ninapenda kuwa na mashine kwaajili hiyo Ili niweze kudunduliza kipato (mashine ya kutumia umeme).
Ni usagaji wa rejareja tu mtaani. Nahitaji kufahamu bei za mashine mpya na used. Gharama...
Kwemah wakuu,,,tunapeana tu motisha na kuongeza mapambano ya kila siku hasa kwa wadundulizaji kama mimi
Iko hivi, nilipomaliza chuo niliingia zangu kitaa na idea ya kuuza vifaa vya simu na tigo pesa ambayo nilikuwa naifanya toka nikiwa chuoni hasa tukifunga chuo au nikiwa mwanzoni mwa semester...
Wakuu hivi nikiwaletea tende, misuli na makobazi toka uarabuni na mbele ya duka nitengeneze kijiwe cha kahawa na mijadala ya mpira na vita vya mashariki ya kati si itakuwa poa?
Habari Wana JF nina idea ya biashara ,nipo Kilimanjaro,Nina proposal ya biashara but nahitaji Sponsor, niingie nae mkataba, Mimi ndiye nitasimamia kampuni
Je, naweza kupata wapi au pakuanzia nipate tajiri atakayenishika mkono ,maana Sina uwezo kifedha ,lakini pia sijui nianzie wapi kupata...
Iran ndipo anapompatia silaha hezbollah
Iran na Russia ndipo waapopeana silaha na usaidizi mwingine
USA ndipo anapopatumia ku-attack adui zake wa middle east
ISIS ndipo wanapouzia artifacts za kiajemi walizoiba iraq na syria.
Turkey ndipo anapo patumia kupaamabana na resistance ya wakurdi.
Habari za wakati huu wanajukwaa.
Naomba niulizie kwa anayepangisha fremu ya biashara kwa bei nafuu hasa kipaumbele changu ni maeneo ya Buguruni Malapa na Ilala japo nakaribisha wa maeneo mengine ila iwe ndani ya Dar es salaam na eneo lililochangamka, mwingiliano wa watu.
Natanguliza shukrani...
Habari za wakati huu ndugu zangu wa JF, tukiendelea na mapambano ya kila siku
Kwenye harakati za mapambano nimefikiria kutafuta eneo kwa ajili ya kuuza maziwa ikibidi kuongeza na bites na vitu vingine.
Nimefikiria kupata maziwa fresh, maziwa mtindi, Asas (pamoja na yogurt), Tanga Fresh na...
Niliweka uzi huu jujwaa la biashara ila audience yake nilivyoiona ina mwamko mdogo wa mambo ya tech, nimeona niwaletee watu wa tech.
Ni biashara ambayo huwa naifanya kipindi ambacho game ya mpira toleo jipya likitoka, silaha kuu ni kujitahidi kuwa mtu wa mwanzo kabisa kumiliki mali, inasaidia...
Kwa usahihi na usalama: Fuatilia stock, mauzo, matumizi na faida. Simamia biashara yako popote ulipo! Hakuna kuumiza kichwa. Pata kila kitu unachohitaji kwa ujasiri kuendesha Biashara yako.
Mfumo wetu huu unauwezo wa kufuatilia na kurecord Mauzo, Faida Hasara, Kodi, Mfumo wa Mauzo yani POS...
Toka kwenye wazo mpaka utimilifu wa wazo kua bidhaa. Tunatoa huduma mbali mbali za uchapishaji zenye kukidhi mahitaji yako binafsi, biashara, taasisi za kidini n.k
Kama kituo kinachojihusisha na huduma za uchapishaji, tunatoa huduma ya uchapaji kwa bidhaa mbalimbali. Iwe unahitaji kuchapa...
Mtaji wa milioni 10 ni mzuri sana kuanzisha biashara kadhaa zenye faida mwaka 2025. Chaguo bora litategemea sana maslahi yako, ujuzi wako, na soko linalokuzunguka.
Hapa kuna baadhi ya mawazo ya biashara unaweza kuzingatia kwa mtaji huo:
### Sekta ya Uchakataji Chakula
Utengenezaji wa vyakula...
Wasaalam ndugu na jamaa
Naomba kuuliza, je biashara ya electronic transactions kama mpesa, tigopesa, Airtel money na halopesa ,faida yake inapatikanaje?
Na je kwa hapa dsm, biashara ipi inatoa zaidi kwa mtaji kuanzia 1m?
Na je ni maeneo yapi yanafaa?
Wakuu kuna mtu ameniambia kuwa kuna biashara anafanya ya kuchukua kamba kochi toka Msumbiji na kuwaleta Dsm,soko lake kubwa lipo kwa wachina .
Tupeana info kwa mwenye kujua zaidi hii biashara ipoje na changamoto zake, na bei ya soko ipoje!? Na je sio nyara za serikali kweli
Habar wanajf naimani mko powa
Sana
Leo nataka tujadili kuhusuu hii idea siyo ngeni maana maduka kazaa nishawah ona so ntaka mnishauriii kidogo..
Nataka kufungua duka la vifaa vifaa vya electronics.
Lakini ndanii nataka nichanganye niwekeee vifaaa vya simu.
Pia niwekee vifaa vya umeme vile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.