biashara

  1. S

    Nahitaji kuanzisha biashara ya dagaa waliokaangwa kutoka Bukoba - Dar, natafuta soko na partnership wa kuuza hii bidhaa yangu

    Habari ndugu, kama kichwa Cha tangazo kilivyoandikwa nahitaji kuanzisha biashara ya kuuza dagaa waliokaangwa kutoka Bukoba -Dar hivyo nahitaji watu wa kushirikiana nao kupata soko, dagaa ni rejareja kwenye packet au kwa jumla pia wanapatikana kuanzia ndoo ya lita 10 mpk 20, hivyo kwa ambae yupo...
  2. Melki Wamatukio

    Hivi ni kwanini ukimchekea chekea mwanamke kwenye biashara, anawaza kukufirisi tu?

    Aisee! Hadi nimechoka mwili, akili na roho Kuna mdada mzuri tu yuko na mama yake opposite na duka langu la maudambu udambwi ni mama nt'ilie. Huyu binti alinivutia sana tokea siku ya kwanza wanafungua kijimgahawa pale. Nilikuwa mteja wa kawaida ambaye sikutaka hisia zangu ziwe wazi kwa muda ule...
  3. Stephano Mgendanyi

    Naibu Waziri Kigahe: Wajasiriamali Wapewe Elimu ya Kurasimisha Biashara

    NAIBU WAZIRI KIGAHE: WAJASIRIAMALI WAPEWE ELIMU YA KURASIMISHA BIASHARA Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Exaud Kigahe amezitaka mamlaka za Serikali zinazosimamia sekta ya biashara nchini kutoa huduma bora na kuwalea wajasiriamali ili waweze kufanya uzalishaji wenye tija na kuongeza...
  4. KikulachoChako

    DOKEZO Angalizo: Utapeli na wizi kwenye maduka ya Pharmacy/ biashara ya dawa za binadamu

    Habari za wakati huu ndugu zanguni. Kama ilivyo ada na kawaida kuhabarishana habari mbali mbali zenye manufaa kwa ajili ya kuepushana na mambo yanayoonekana kutuathiri kwenye jamii na familia hii kwa ujumla wake. Nimepata bahati mbaya ya kumuuguza mgonjwa hapa nyumbani kwangu mwenye ugonjwa wa...
  5. G

    Nina milioni 2 ningependa kuwekeza biashara za online naomba mawazo nijaribu kitu gani?

    nina biashara za kawaida lakini nimeona nijaribu na online kwa bajeti ya milioni 2 kama kuna mawazo feasible. so far nilipanga niwekeze youtube ila shida ni kwamba sina account ya Youtube adsense, nina rafiki yangu yupo states aliwahi kunipa wazo hilo kibongo bongo views buku kwa wastani ni...
  6. ngara23

    Dar Kuna fursa nyingi za biashara na kupiga pesa, ni kuamua na kutokuwa na aibu tu

    Me Huwa napenda kutafiti njia za utafutaji hata ziwe ndogo vipi, ili kujua watu wanapataje pesa na hizo biashara ambazo watu wanaziona ni duni Nikasema haaa kumbe aisee watu wanapiga pesa ambazo hata watu wenye ajira za kuchomekea mashati na kuvaa viatu mchuchumio hawapati Nitaorodhesha baadhi...
  7. technically

    Biashara za Kinondoni na sinza

    Kinondoni studio na sinza fremu ya chini ni million 1 Lakini unakuta duka Lina nguo 10 na ukiingia ndani full kiyoyozi na nje mwenye duka kapaki ndinga ya maana Mimi uwa najiuliza Hawa uwa wanafanya biashara gani pale na wanawezaje kulipa Kodi!!?
  8. figganigga

    Upoteaji wa Watu, Hospitali zichunguzwe biashara ya figo na viungo vya binadamu Tanzania

    Wakuu Salaam Katika Swla la Upoteaji na utekaji wa Watu, Watu wa tiba Mbdala na Hospitali zichunguzwe biashara ya figo na viungo vya binadamu Tanzania Tunaweza Walaumu Polisi, TISS, Machawa wa vyama vya siasa nk. Lakini tunawasahau hawa wataalam wetu wa afya. Pia kuna watu wanazikwa na...
  9. CONTROLA

    Wajue Aina ya wateja unaowataka kabla hujafungua biashara yako, itakusaidia

    Kwenye biashara tuna waza mambo mengi sana hasa Mitaji,maeneo,wafanyakazi,bidhaa,nk Lakini watu wengi sana huwa tunasahau jambo 1 kujua aina gani ya wateja unawahitaji katika biashara yako. Ukiwa kama mfanyabiashara kuna FACTS lazima ukubaliane nazo utake au usitake ukubali au usikubali. 1...
  10. A

    Hii hali kwenye biashara siyo ya kawaida

    Mnamo mwezi wa nane mwishoni nilifungua biashara ya kuuza kuku Wa kukaanga pamoja na viungo vyake. Wakati nimeanza mauzo yalikuwa hafifu ikawa hata elfu 5 haifiki ya mauzo, ndo nikaja na Uzi wa kuomba ushauri Wakajitokeza waungwana wakanipa msaada wa mawazo Miongoni mwao ni dada angu kutoka...
  11. music mimi

    Biashara ya stationery ya mtaji mdogo iliyoongezewa thamani

    Wakuu naomba mawazo yenu. Nina mpango wa kuanzisha stationery ya mtaji mdogo around mil 5 yani umo kila kitu mpaka fremu. Naomba ushauri zaidi ya kuprint na kutoa copy pamoja na vifaa kama bahasha, rimu, kalamu, etc Naweza vipi kuongeza thamani kwenye stationery kwa gharama ndogo lakini niwe...
  12. Equation x

    Hii tabia iliyowaingia wanawake wa nyakati hizi, kwa kutothamini mapenzi (hisia) na kuendekeza mahusiano pesa ililetwa na nani?

    Kama utakuwa umefanya utafiti kidogo, utagundua wanawake waliozaliwa miaka ya 80 mpaka leo hii, walio wengi mahusiano yao yanabebwa na pesa. Wanakuwa na hisia na mwanaume, iwapo huyo mwanaume anaweza kuhudumia au kuhonga. Kwa mazingira ya sasa, mwanaume huna hela usitegemee kupata mahusiano...
  13. FAJES

    Biashara ya Tofali: Mafanikio na Changamoto zake.

    Wakuu amani iwe nanyi! Nafikisha kwenu Wajuvi na Wazoefu wa biashara za hapa nyumbani. Leo naomba mwenye uzoefu wa biashara ya kufyatua Tofali kwa Dar es Salaam atupatie mawili matatu ili kina sisi tunaoitizama biashara hii kama fursa ya kufanya hatujaingia mazima mazima. Karibuni sana Wakubwa.
  14. jay moseif

    Naomba ushauri, biashara yangu haiendelei

    Habari wanajamvi, nimekuja mbele yenu mm ni kijana wa miaka 25, lengo la kuamdika uzi huu ni kuomba ushauri juu ya biashara yangu. Mimi ni fundi kuchomea lakini pia nimejiongeza kwa kujifunza ufundi sofa. Lakini biashara yangu haitembei kabisa labda wenye uzoefu na mambo haya wanipe ushauri...
  15. BONNIE GOLD

    Gharama ya kujenga fremu za biashara

    Habari zenu wakuu Naomba msaada wa kupata roughly mchanganuo wa kujenga fremu tatu za biashara, ukubwa wa 2.5m x 2.5, Kuanzia msingi mpaka juu. Mfano wa fremu ni hizi chini hapa. Eno lipo Dar Asante sana
  16. C

    Vijana mnarogwa na nani kwenye biashara?

    Tunajua kwa exposure uliyopata kwa kusoma una expect vitu vikubwa huku ukisahau kwamba nidhamu ya fedha ndo kila kitu kwenye maisha ya biashara na ndo maana biashara nyingi zinafilisika Mimi hainiingii akilini kabisa inawezekana vipi kijana msomi una degree yako safi unaua biashara ya duka ya...
  17. digalangosha

    Ushauri biashara nchini Comoro

    Habarini wawekezaji Naombeni ushauri kwa mlionitangulia. Nina kimtaji changu kidogo hapa 15,000,000, nilikua nataka nifanye biashara. Sasa katika kukaa na watu kuna jamaa yangu akaniambia biashara kama asali, mbuzi, mchele n.k vinalipa sana ukipeleka Comoro na sometimes hata malipo yake...
  18. Optimistic_

    Usajili wa jina la biashara na kampuni (BRELA)

    USAJILI WA JINA LA BIASHARA NA KAMPUNI (BRELA) Rasimisha jina la biashara yako kisheria, upate faida nyingi. Mimi ni mbobezi wa kufanya application Brela kwa ajili ya usajili wa jina la biashara na makampuni. Nakuandalia kila kitu kuanzia nyaraka zote zinazohitajika. Nipigie 0765991551
  19. Miss Zomboko

    Ni wakati muhimu kwa biashara na mashirika kutathmini upya mikakati yao ya usalama wa mtandaoni

    Mwezi wa Uhamasishaji wa Usalama wa Mtandaoni si kwa watu binafsi tu—pia ni wakati muhimu kwa biashara na mashirika kutathmini upya mikakati yao ya usalama wa mtandaoni. Mashambulizi ya kimtandao kwa biashara yanaweza kuwa na madhara makubwa, ikiwa ni pamoja na wizi wa data, athari za kisheria...
  20. Lugano Edom

    Kipi ni muhimu kwenye biashara

    JAMBO GANI NI MUHIMU KUZINGATIA KWENYE BIASHARA NDUGU WADAU?
Back
Top Bottom