biashara

  1. RIGHT MARKER

    Dalali ndiye anayechelewesha biashara

    Mhadhara - 52: Kama utafuatilia kwa undani utagundua kuwa biashara nyingi za upangishaji na mauzo ya mali mbalimbali kama vile viwanja, nyumba, mapagala, mashamba, vyumba vya kupanga, mazao, magari, visima vya mafuta, n.k, zinakuwa ngumu kuuzika au kupangishika kwa haraka. Wanaochelewesha...
  2. RIGHT MARKER

    Dalali ndiye anayechelewesha biashara

    Mhadhara - 52: Kama utafuatilia kwa undani utagundua kuwa biashara nyingi za upangishaji na mauzo ya mali mbalimbali kama vile viwanja, nyumba, mapagala, mashamba, vyumba vya kupanga, mazao, magari, visima vya mafuta, n.k, zinakuwa ngumu kuuzika au kupangishika kwa haraka. Wanaochelewesha...
  3. Mikopo Consultant

    Kwa mazingira ya biashara Tanzania, mikopo ni kinga ya lazima kwa biashara yako

    Kwakuwa watanzania wengi wajasiriamali bado ni wageni wa masuala ya kifedha na mikopo, sio vibaya tukaelimishana kuhusu huchi kitu. Mazingira ya biashara Tanzania sote twayajua, unaweza lala una biashara ukaamka huna biashara, refer ile case ya masoko kuungua. Au unalala una biashara yako, kesho...
  4. M

    Mambo muhimu ili kuanza Biashara ni yapi?

    Hivi kweli hawa wahamasishaji wanataka mambo yote katika kuanza na kufanikisha Biashara? Naamana yote? Mimi niache kwanza nijifunze kwako! Karibu!
  5. Bodhichitta

    Nafikiria kuacha kazi nifanye biashara

    Aslaam, Nafanyakazi katika kampuni binafsi na mshahara wangu hauzidi 600,000. Mpaka sasa nina kama miaka mitatu hivi kwenye hi kampuni. Wakati naanza kazi malengo yangu makubwa ni kutafuta mtaji then nikipata mtaji niache kazi nikaanze biashara zangu. Kiukweli mi niko vizuri saaana kwenye...
  6. Mpwimbe

    Je, kuna namna yoyote serikali inaweza kuwarahishia Wamarekani Weusi wanaofika nchini, kuhamia, kufanya biashara au kama sehemu ya kustaafia?

    Kwa miaka 5 sasa, kumekuwa na wimbi kubwa sana la wamarekani weusi wanaokuja Tanzania, wengine kuhamia, wanaopenda kufanya biashara na wengine ni wazee wamechagua TZ kama sehemu ya kustaafia. Na hili wimbi nadhani lilikuwa kubwa baada ya dada mmoja anaigwa Traveling Sista kuja na kuanza...
  7. dr namugari

    Huyu chief Goodlove anafanya biashara gani?

    Kijana naona anakuja kwa kas sna na hata saa hakuna haujuwae kuwa alikuwa nani na anafanya biashara aya kaz gani Jana aliwachukuwa watoto yatima 120 na kwenda kuwanunulia vitu mlimani city iliyo gharimu milion 40 Jmaa huyu anatoa wapi pesa na serklali na usalama wa taifa huyu isije kuwa...
  8. E

    Biashara ndogo ndogo zinazolipa Dar es salaam

    Kuna biashara zinaonekana ndogo lakini kipato chake kimechangamka 1. Miwa- hii inalipa sana 2. Karanga 3. Kahawa- faida X2 4. Fenesi- k/koo&sinza, Niongezeeni nyingine, nahitaji kutoa ajira kwa wapambanaji zaidi.
  9. Msaga_sumu

    Ufedhuri na biashara za kitapeli

    ni jambo la kusikitisha kuna siku niliwahi sema humuu JF kumetapakaa matapeli na watu wa hovyo sana,, just assume watu wanaomba kazi humu mtu anadiriki kujifanya anakazi anakupatia tena anakusumbua tafuta wadhamini njoo na barua za utambulisho toka serikali za mtaa Ehhhh bana unaingia kazini...
  10. OttoThyPrince

    Biashara ya Pweza wa Kitaani

    Pweza wanaouzwa mtaani mara nyingi huandaliwa kwa njia za kiasili, ambazo ni rahisi na zinazojulikana katika maeneo mengi ya pwani ya Afrika Mashariki, hasa Tanzania. Kwa kawaida, hawa pweza wanapikwa kwa mbinu tofauti kidogo kuliko zile za kigeni, lakini bado ladha yao ni nzuri sana. Hapa kuna...
  11. O

    Biashara ya uingizaji wa vitu Tanzania, kutoka Nje na changamoto kubwa kwa watu wa mikoani

    Inasikitisha kuona office nyingi ziko Dar pekee wasafirishaji kama dhl, sailenti osheni n.k hawana office baadhi ya mikoa vile vile mikoa waliyopo Wana gharama kubwa sana!, anyway watu wa mikoani tunaumia mnavyotutenga na hizi pesa zenu mnazowekeza Dar pekee why hata katika majiji tu walau...
  12. G

    Kenya wametufunika kwenye shughuli za kimaendeleo, Benjamin fernandez kijana wa kitanzania aliehamishia biashara zake Kenya na Kutajirika zaidi anena

    Tanzania ni nchi iliyobarikiwa utajiri mkubwa sana kwenye rasilimiali kuanzia ardhi nzuri ya kilimo, madini, vicutio vya asili, n.k. lakini bado tupo nyuma sana kimaendeleo, Kenya ni nchi ambayo ina rasilimali chache lakini wametufunika kwasababu wamewekeza zaidi kwenye watu (elimu, ujuzi) na...
  13. Don Dacxh

    Ushindani Mdogo, Faida Kubwa: Mwongozo wa Biashara kwa Wenye Mtaji Tanzania!

    Habari wana JF, sitotaka kufanya uzi huu uwe mrefu sana; najaribu kufupisha ili nisikuchoshe wewe utakaechukua muda wako kusoma. Hakuna biashara utakayoanza leo ambayo haijawahi kufanywa; naamini hilo linahusu sekta zote. Swali muhimu ni, umejiandaa vipi kushindana na wale walioanza mapema? Ni...
  14. K

    Mwenye uzoefu wa Biashara ya cake accessories

    Habari wadau!, Naomba mtu mwenye uzoefu katika biashara ya cake accessories (vifaa vya kutengenezea keki (isipokua oven), mapambo ya keki, mabox, ingridients za keki, n.k) anisaidie kunipa overview ya biashara hii pamoja na makadilio ya mtaji.
  15. Mwamuzi wa Tanzania

    Ukiwa mtumishi wa umma usipoiibia serikali ili ujenge mjengo mkali, ununue gari kali na kufungua biashara wananchi wanakudharau

    Hao ndio Watanzania, ukiwa mtumishi wa umma wanatarajia wakuone umepark ndinga kali kali uani mwako, uwe na mjengo wa haja , vimichango vya misiba na sherehe unatoa parefu hapo ewaaah watasema una akili bila kujua malipo yako halali ni Shilingi ngapi. Hao hao baadaye wanasema nchi imejaa...
  16. FRANCIS DA DON

    Naomba majibu rasmi ya maandishi kutoka BOT juu ya wao kupokea pesa haramu zilizopitwa na wakati, BOT inafanya biashara na maharamia?

    Benki kuu ya Tanzania (BOT) wanawajibu wa kutoa ufafanuzi juu ya kwanini wanapokea pesa haramu kutoka kwa maharamia? Nafafanua ni kwanini nasema hivi… Pesa ya zamani ikitaka kufutwa na kuletwa pesa mpya kwenye mzunguko, BOT hutoa tangazo rasmi juu ya muda wa kuanza kupokea pesa za zamani pamoja...
  17. Mwamuzi wa Tanzania

    Napendekeza ufanyike usajili kwa vijana wote wanahamia majijini kutafuta maisha

    Sasa hivi vijana wa vijini wanahamia Wilayani na mikoani kwenda kufanya uchuuzi. Vijana wa Wilayani na mikoani wanahamia Dar es salaam. Kijana hata elimu ya kidato cha nne hana, cheti cha ufundi hana, ufundi au ujuzi wowote hana anakimbia kijijini anakwenda mjini . Ufanyike usajili kwenye...
  18. F

    Kuhusu biashara ya chakula kwenye minada ya korosho mkoani Mtwara

    Habari zenu wangu, Mimi ni mpishi mzuri sana. Ninaishi na kufanya shughuli zangu za upishi hapa Dar. Ninataka kwenda kufungua banda la kupika kwenye minada ya korosho mkoani Mtwara. Wenyeji wa Mtwara mlio na uzoefu na minada ya korosho naombeni ABC za minada hiyo tafadhali. Ninacho taka...
  19. kichongeochuma

    Ni kitu kibaya sana tena sana kuiweka serikali rehani kwa matajiri na wafanya biashara

    Nadhani mnakikumbuka kisa cha mgiriki aliye sema serikali yote kaiweka mfukoni wakati wa utawala wa Mwl nyerere, Matokeo ya jambo hilo ni nchi kukithiri kwa Rushwa,ubadhirifu wa mali za umma,dili chafu , madawa ya kulevya ,utekaji na mauaji ambayo wakati mwingine yanaweza yakawa si utekaji au...
  20. Kaluluma

    Msaada namna ya kurenew leseni ya biashara kupitia Tausi Portal

    Habari za leo wakuu, Mimi ni kijana wenu mhangaikaji. Leseni yangu ya biashara ya hardware imefikia ukomo, na nilihitaji kuirudia kupitia Tausi Portal. Changamoto niliyonayo ni kuwa sioni sehemu ya kufanya urudishaji wa leseni hiyo. Nimefuata hatua zote hadi ninapofika sehemu yenye vipengele...
Back
Top Bottom