biashara

  1. P

    Rais nakushauri tu achana na hii biashara ya kununua umeme Ethiopia

    Tunashuhudia unyanyasaji mwingi katika hizi za kutegemea huduma kutoka nchi zingine hususani pale ambapo mausiano ya kidiplomasia yanapozorota. Lakini pia Tanzania kwa sasa tunazalisha umeme zaidi ya maitaji yetu sasa mtu unapata ukakasi wa kuanza kununua kitu unachokizalisha. Kwa vyovyote...
  2. F

    Usiogope kwa 200,000 mpaka 250,000 unapata fremu ya biashara kariakoo.

    Habari wana JF it's another beautiful day. Thread hii inahusu kariakoo, Kuna watu wanahitaji/tamani kufanya biashara Kariakoo lakini wanahofia bei za fremu lakini pia hawajui wanaanzia wapi kupata fremu za kufanyia biashara kama za kuuzia nguo, viatu, urembo, vyombo, huduma za kifedha kama...
  3. Equation x

    Wazazi kuhamasisha mabinti zao, kuwa kwenye mahusiano biashara

    Kutokana na jua kuwa kali, ardhi kuwa kame, na mazao kukaukia shambani; baadhi ya wazazi wamekuwa chachu ya kuwashawishi mabinti zao waingie kwenye mahusiano biashara. Yaani mdada anaingia kwenye mahusiano ili apate kitu, hasa hela; ili aweze kuwahudumia wazazi wake. Mabinti wamegeuzwa kuwa...
  4. A

    Njoo Tufanye Biashara ya Uwekezaji Kwenye Cocoa, Iliki na Korosho

    **"Karibu kwenye fursa ya kipekee ya uwekezaji! Uwekezaji katika cocoa, korosho, iliki, na mbaazi ni njia bora ya kujenga mali yako. Pata faida ya hadi 15% kwa mwezi kwa kuwekeza katika sekta hii inayokua haraka. Tunachofanya ni kununua nafaka kama korosho, iliki, kokoa, na mbaazi, kisha kuuza...
  5. X

    China vs U.S Trade War: China yaijibu Marekani. Imeongeza kodi katika bidhaa za Marekani na zuio la kampuni za Marekani kufanya biashara na China.

    China suspends soybean imports from three US companies, including Louis Dreyfus, one of the world’s biggest agricultural trading companies. More than half of all soybean exports from the US go to China. (60-65% of US soybean export is to China!) China imposes retaliatory tariffs on...
  6. nzalendo

    Nini chanzo Biashara ya mabasi kufeli?

    Miaka yote nimejikita katika malori..lakini kwa sasa napata upepo ndoto na maono juu ya biashara ya mabasi....lakini si mabasi ya kifahari....hapana ....la hasha.....ni mabasi kwa ajili ya huduma kwa raia....hasa kwenye njia mbazo ni za vumbi ndani ndani nje ya miji..... kwa daladala pamoja na...
  7. Technophilic Pool

    Mwenye kuweza kutengeneza Blog kama hii aje tuongee biashara

    Wakuu nataka blog advanced kama hii. Tafadhari kabla hujasema dau ipitie kwanza uione
  8. Rozela

    Biashara 2 zinazomletea hasara Bakhresa

    1. Timu ya Azam. Hii timu imesajili wachezaji ghali na inalipa mishahara na posho kubwa lakini uwezo wake uwanjani hauridhishi hata kidogo. 2. Azam Pesa. Pamoja na promo zote, watu wengi hawajashawishika kutumia huduma hii. My take: Mzee azifunge hizi biashara anunue mabasi hata kama wafanya...
  9. DalaliBinamu

    Banda la biashara - Mbezi beach Dar es Salaam

    BANDA LA BIASHARA UKUBWA 6×6 BEI LAKI 6 TU MAWASILIANO _ 0687614981 LOCATION _ MBEZIBEACH
  10. E

    Biashara yenye wateja wa uhakika

    Wakuu amani na iwe nanyi. Nahitaji mtu wa kushirikiana naye katika biashara. Awe na mtaji wa fedha kwa ajili ya kununulia bidhaa mimi ninao wateja na connection ya kuupata mzigo. Mahali pa kuupata mzigo ni popote pale ndani ya Tanzania. Kwanini natafuta partner? Sababu ni kuwa nimeyumba mtaji...
  11. T

    Fanya biashara hizi kama una mtaji kiduchu

    Una mtaji wa laki 2 mpaka million 2? Hizi ni biashara ambazo unaweza ukafanya na zikakupa uhakika wa faida ya TSH 30,000_ laki kwa siku(1_3M kwa mwezi) Wakati mwingine biashara nzuri sio Ile inayoonekana ya kifahari sana na decorations nzuri Biashara ni mizunguko,faida💵. Hizi biashara Zina...
  12. KING MIDAS

    Anza biashara ya printing, scanning na photocopying kwa mtaji mdogo tu.

    Mashine ni mpya kabisa, imetumika kwa miezi miwili tu. Unafaa kwa matumizi ya ofisi, chuo, Stationary na biashara. Bei poa 2,000,000/- karibu tuongee. 0712302556, 0684240927
  13. Obed maagi

    Mawazo ya Biashara Yaliyo wafanikisha watu.

    Ni muda sasa umepita na watu wengi wamekuwa wakichangia mijadala na kutoa Thread mbalimbali kuhusu mawazo ya biashara, na muongozo wa uendeshaji wa biashara ni muda rasmi kila mmoja alifanikiwa kupitia wazo la biashara kutoka Jukwaa hili la biashara kutoa ushuhuda wa wazo na namna alivyofanya...
  14. chizcom

    Alipay mkombozi wa biashara kwenye malipo

    Wachina wanatupeleka kasi kivitendo sana. Mfumo wa alipay umesaidia sana kulipa wachina kwa haraka bila kutumia njia za kwenda benk kutrans pesa kwa njia nyengine. Usalama ni mkubwa kwenye matumizi kama ikitokea lolote ni rahisi kupata msaada wa pesa zako. Alipay imewezesha mfumo wa kulipa kwa...
  15. Y

    Fursa za biashara Bukoba mtaji million 5

    Habari Wana JF Naomba kwa mtuu anae ifahamu Bukoba anipe abc za fursa za kibiashara Nina mtaji wa million 5 nanimgeni katika mkoa huo 🙏
  16. RIGHT MARKER

    Ndoa nyingi za watanzania ni makampuni ya biashara

    MHADHARA (92)✍️ Ndoa nyingi za watanzania zimegeuka kuwa makampuni ya biashara. Siku hizi wasomi ni wengi lakini hawana ajira wala mitaji ya kuanzisha biashara, hivyo wamegeukia kutafuta mitaji kupitia ndoa. Hata ambao hawakubahatika kupata elimu pia wameshafahamu kuwa ndoa ni njia nyingine ya...
  17. Ojuolegbha

    Tanzania na Vietnam kuimarisha ushirikiano kwenye biashara, kilimo na uwekezaji

    Tanzania na Vietnam kuimarisha ushirikiano kwenye biashara, kilimo na uwekezaji Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo amekutana na kufanya mazungumzo na Mjumbe Maalum wa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Viet Nam, Mhe. Le Thi Thu Hang...
  18. I

    Mnaofanya biashara za mazao au nafaka au matunda naombeni ushauri

    Ndugu poleni na majukumu naona fursa kwa upande wa mazao au nafaka pia hata matunda. Nahitaji kuingia huku kwenye hii biashara ila nahitaji mwongozo zaidi. Nilikuwa naomba kwa anae fanya hii biashara anipe mwongozo. Naomba uwe unafanya hiyo biashara kwa sasa ili kupata uhalisia kamili wa...
  19. Fally kidoba

    Biashara ya lodge au bandas.

    Habari wakuu naomba wataalam au waliowahi kufanya, wanatarajia wanafanya Biashara hii ya lodge au maarufu kama bandas. Zinakuwa kama kota, zenye mazingira tulivu yenye garden kiasi na sehemu ndogo ya chakula na vinywaji kama picha inavyoonekana hapo..Tupeane tips kidogo uendeshaji wake...
  20. chizcom

    Kwanini biashara kubwa ikifika level VAT kodi inapokuwa kubwa uzifunga au ubadilisha leseni na jina la kampuni au biashara.

    Ili swala sio geni kusikia kampuni au biashara nyingi zikipitia ili,Hapa nimeweza kuwapa sababu kuu zinazowafanya wafanyabiashara kufunga biashara zao au kubadilisha jina na leseni ya kampuni mara wanapofikia kiwango cha kulipa VAT ni pamoja na: 1. Mzigo Mkubwa wa Kodi • Kodi ya VAT ni...
Back
Top Bottom