biashara

  1. Pre GE2025 Kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo yaridhishwa kasi ya Ujenzi wa mwalo wa Chato Beach mkoani Geita ukifikia asilimia 91

    Ujenzi wa mwalo wa Chato Beach uliopo mkoani Geita umefikia asilimia 91 huku Kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo ikisema imeridhishwa na kasi ya ujenzi wa mwalo huo. Mwenyekiti wa kamati hiyo, Deodatus Mwanyika amesema mkandarasi aliyejenga mwalo huo anastahili kupewa kazi...
  2. Nahitaji Partner wa kufanya naye biashara.

    Habari wakuu. Mimi ni Dalali wa mavitu yote lakini nipo na wazo ambalo hili ni Kwa wale Risk Taker kama Mimi. Nahitaji mtu mmoja awe mwanaume au mwanamke ambaye yupo tayari Kwa huu mpango wangu. Nipigie simu tuongee vizuri mkuu. 0754693556
  3. Zifahamu Sababu Tano Kwanini Utumie Google Workspace Kuendesha Biashara Zako

    Google Workspace, zamani ikijulikana kama G Suite, ni seti ya zana za kidijitali zilizotengenezwa na Google kwa ajili ya kuboresha usimamizi wa biashara na taasisi. Ikiwa unatafuta njia ya kufanya kazi kwa ufanisi zaidi, kushirikiana kwa urahisi, na kuokoa gharama, Google Workspace ni suluhisho...
  4. Sababu Tano Kwanini Utumie Google Workspace Kuendesha Biashara Zako

    Google Workspace, zamani ikijulikana kama G Suite, ni seti ya zana za kidijitali zilizotengenezwa na Google kwa ajili ya kuboresha usimamizi wa biashara na taasisi. Ikiwa unatafuta njia ya kufanya kazi kwa ufanisi zaidi, kushirikiana kwa urahisi, na kuokoa gharama, Google Workspace ni suluhisho...
  5. Google Workspace ni Nini na Jinsi Inavyoweza Kubadili Biashara Yako

    Unapoteza Pesa na Muda Bila Kujua? Huu Ndio Suluhisho! Katika dunia ya kisasa ya kidigitali, biashara na taasisi nyingi bado zinatumia mbinu za zamani za mawasiliano na uhifadhi wa taarifa. Barua pepe zinapotea, mafaili yanapoteza usahihi kutokana na mabadiliko yasiyoeleweka, na mikutano...
  6. M

    Godown langu jirani kaziba njia yakuingilia,je nilifanyie biashara Gani ya uzalishaji mdogo

    Nifanye biashara Gani kwa hili godwn langu ambalo mlango mkuu wakuingil a jorani amejenga ukuta ambao siwezi kuingiza gari kubwa na hata bajaji,nipeni mawazo nilifanyie biashara Gani ambayo haitaruhusu gari kubwa na ndogo zamizigo kuingia Au nifungue kiwanda Gani kidogo
  7. Watanzania Matajiri na wafanya biashara wakubwa ni maskini na ukitaka kujua kuwa ni maskini ingia kwenye hizo sehemu mbili

    Ushindani wa Tanzania ni kimaskini sana. Yani leo usije kusikia matajiri wanatoa pesa kukusanya mawazo ili ushinde pesa ambzao wazime wazo au kulichukua wazo. Wengi wamekuwa wakifitiniana ili kujilinda na umaskini wao japo mnawaona kuwa kama kichwa cha habari. Wengi wapo kupigana na wewe.
  8. Mafunzo ya Ujasiriamali na Uendeshaji wa Biashara Kimataifa kwa Wanadiaspora wa Visiwa vya Comoro

    Mafunzo ya Ujasiriamali na Uendeshaji wa Biashara Kimataifa kwa Wanadiaspora wa Visiwa vya Comoro Mgeni Rasmi: Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki 📍Moroni, Comoro 📅 14-16 Machi, 2025
  9. Tabia ya kuwatishia matajiri na wafanyabiashara ijaanza leo wakiwa upande wa vyama pinzani

    Kama mnakumbuka:Hiki kisa cha Katika miaka ya 1990, kulikuwa na tukio ambapo serikali ya Tanzania ilimwaga shehena ya ngano na unga wa ngano wa mfanyabiashara maarufu, Said Salim Bakhresa, ikidai kuwa bidhaa hizo hazikukidhi viwango vya ubora vinavyohitajika kuingizwa nchini. Kutokana na hatua...
  10. Wafanyabiashara wekeni bei za bidhaa na huduma zenu kwenye matangazo yenu ya biashara

    Katika ulimwengu wa biashara wa kisasa, matangazo ya bidhaa na huduma ni moja ya njia bora za kuvutia wateja na kujitangaza. Hata hivyo, kuna mwelekeo mbaya unaozidi kuonekana miongoni mwa wajasiriamali na wamiliki wa biashara ambapo wanatangaza bidhaa na huduma zao, lakini hawaweki wazi kuhusu...
  11. Mungu ulikuwa wapi wakati wa biashara ya utumwa?

    Habari wana JF Ni muda mrefu nimekuwa najiuliza maswali mengi sana kuhusu uwepo wa Mungu lakini kuhusu masimulizi yanayo elezea matendo yake mazuri na huruma kuu Kwa viumbe wake. Mungu kupitia wajumbe wake hapa duniani na maandiko yanadai Mungu ni mwema na mwenye huruma sana lakini ukitafakari...
  12. Kuanzisha chuo chenye wakufunzi waliojiajiri kwenye biashara

    Nimeandika andiko kwa ajili ya kutafuta hela za ujenzi wa chuo kikuu matata, ambacho kitakuwa kinafundisha mambo ya biashara kuanzia ngazi ya cheti mpaka PhD. Katika andiko hilo, nimependekeza walimu wawe wale wote waliojiajiri na kufanikiwa katika biashara zao au viwanda vyao, wakiwemo...
  13. Biashara za Mo ngumu mpaka ameamua kuwa wakala wa bidhaa za wenzake sasa

    Ukiacha Mo extra ni bidhaa gani inafanya vizuri sokoni kwa sasa? Baada ya hali kuwa ngumu ameamua kuwa wakala wa.... 1. Boxer, bajaji 2. Betri 3. Nyembe za Dorcco. Kinachosikitisha zaidi huenda uwakilishi wake kwenye bidhaa hizo pia ukawa mgumu, kama ubora utabadilishwa. My take. mo ajiri...
  14. P

    Unapambana Biashara Ikue Lakini Gharama ya mkaa ina kula faida

    Unapambana Biashara Ikue, Lakini Gharama ya Mkaa Inashusha Faida... Una Mpango Gani? Fikiria hivi kwa Kg 5 za Mkaa Utaweza Kupika Chakula Cha Kilo 30 kwa Wakati Mmoja ? Hii Inawezekana Kama Ukitumia Jiko Bomba La kg 30 ... Hili Ni Jiko Kubwa La Kupikia Chakula Mpaka 30kg Kwa Wakati Mmoja...
  15. M

    Kila nkifanya ubunifu mshindani wangu anaiga ,wote tuko na aina moja ya biashara vinywaji na vyakula

    Habar wakuu leteni uzoefu wenu,Niko katika biashara ya vinywaji na chakula kwamiaka Sasa ,mshidani wangu yuko mita50 tuko ofisi yangu, Sasa Kila nkifanya ubunifu wakibiashara basi ataiga,nkiigiza product mpya sokoni basi nae ataiga na ataipunguza Bei Nini chakufanya biashara imekua pasua kichwa...
  16. Sehemu ya biashara nimekodi.kila ikifika tarehe za kulipa natumiwa sms mimi ni mwenye nyumba wako tafadhali tuma, wanajuaje hawa wezi?

    Nauliza tu kwa Nia njemaa WAPENDWA Mm na sehemu kawe tatu za BIASHARA nimekodisha KILA ukifika wakati WA KULIPA kodi nkatumiwa msg za MATAPELI NDUGU....jitahidi basi tulipane Kodi yetu na natumiwa kwenye line mbili tofauti Haitoshii Na VYUMBA napangisha airport Yaani wapangaji wannenkati...
  17. Kitendo cha kugeuza elimu kuwa biashara, ni mateso kwa wazazi/walezi na wanafunzi.

    Asikwambie mtu watu wanataka A's na hela tu mengine mtajua wenyewe wazazi 1. watoto wanakalishwa madarasani kama wafungwa 2. wanakaririshwa midude hadi wanachanganyikiwa 3. watoto hawako huru, hawajifunzi vitu vya ziada nje ya masomo 4. wazazi wanteseka na ada ada ada hadi wanachanganyikiwa 5...
  18. Mikakati ya Uuzaji (Marketing Strategies) kwa Biashara Ndogo na za Kati (SMEs) Tanzania.

    Utangulizi Biashara ndogo na za kati (SMEs) ni uti wa mgongo wa uchumi wa Tanzania, lakini changamoto kuu inayowakabili ni jinsi ya kufanikisha masoko yao na kuvutia wateja. Ili kufanikisha hilo, kuna haja ya kuwa na mikakati bora ya uuzaji inayozingatia mazingira ya kibiashara ya Tanzania...
  19. Naomba anayefahamu biashara ya Mbao anipe mchanganuo jinsi ya uendeshaji

    HABARI WANA JAMII FORUM Naomba maelekezo juu ya biashara ya mbao 1,upatikanaji 2,usafirishaji 3,jinsi ya UENDESHAJI wa biashara 4, mtaji wa chini kiasi gani 5,namna ya kutafuta soko
  20. Askofu Bagonza: Tawala za Afrika na biashara ya nishati

    TAWALA ZA AFRIKA NA BIASHARA YA NISHATI Tutanunua umeme kutoka Ethiopia kwa ajili ya mikoa ya Kaskazini. Mikoa hiyo ina barabara nzuri, nyama choma nyingi na watalii wengi lakini haina uhakika wa umeme. Kenya itatumika kama posta. Itapokea kifurushi toka Ethiopia na kukikabidhi Tanzania. Hakuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…