Mitaa yetu ina giza nene totoro na vibaka wengi sana, na wakati mwingine hakuna umeme kabisa.
Ni jambo jema sana biashara kariakoo masaa 24, itasaidia kuchechemua uchumi wa watu, familia, jiji na taifa kwa ujumla. Usalama Kariakoo umeimarishwa kwa kufunga taa, kamera na kuwa na walinzi wa watu...