Uchuuzi ni biashara inayohitaji basi knowledge ya kujua gharama ya kununua, kuuza na faida, sio complicated kama kununua hisa, kufungua kampuni ya bima, kufungua shule, n.k.
Nunua chupi 200 uza 300 faida 100
Nunua kreti lasoda 13,000 uza 15,000
nunua simu elfu 70 uza laki 2
Biashara...
Watanzania hasa wa Jiji la Dar wameonesha kulalamika hatua ya Wachina kuamua kufanya biashara za Uchuuzi Badala ya Kuwa Wawekezaji Kama Vibali vya ukaazi walivyoomba.
Wachina wameonekana maeneo mbalimbali ya mitaa ya Jiji la Dar wakisukuka mikokoteni,kuchoka mahindi,kushian viatu,kuzungusha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.