watu kibao
JF-Expert Member
- Mar 25, 2025
- 466
- 1,663
Uchuuzi ni biashara inayohitaji basi knowledge ya kujua gharama ya kununua, kuuza na faida, sio complicated kama kununua hisa, kufungua kampuni ya bima, kufungua shule, n.k.
Nunua chupi 200 uza 300 faida 100
Nunua kreti lasoda 13,000 uza 15,000
nunua simu elfu 70 uza laki 2
Biashara inavyozidi kuwa kubwa unaanza kununua pakiti, carton, mabox hadi makontena, kinachoongezeka ni sifuri kwenye hesabu
huwezi ukawa serious uende chuoni kusomea digrii miaka mitatu halafu uje kufanya uchuuzi wa bidhaa za kawaida kabisa
Kwa mtu anaekwenda chuo awe na targets kama kupata maarifa ya kuwa agent au distributor wa kampuni kubwa, kufungua kampuni za utalii, bima, zahanati, shule, n.k.