biblia

Byblos (Arabic: جبيل‎ Jubayl, locally Jbeil; Greek: Βύβλος; Phoenician: Gbl, probably Gubal) is the largest city in the Mount Lebanon Governorate of Lebanon. It is believed to have been first occupied between 8800 and 7000 BC and continuously inhabited since 5000 BC, making it one of the oldest continuously inhabited cities in the world. It is a UNESCO World Heritage Site.

View More On Wikipedia.org
  1. Mchungaji Moses Magembe , Kwa Makanisa ya Jumapili, ndio Mchungaji Pekee mwenye Mafundisho yanayotokana na BIBLIA

    Kuhusu Mafuta ya Upako na mavitu ya aina hiyo https://youtu.be/xx8rWWCIg6c?si=nbltSobDGPsezWPO https://youtu.be/I4OtZ1AoGcU?si=2XR4Yn3OPD2ZLN8l Msikilize hapa kuhusu Hawa wahuni wa Sadaka za kuvunja laana ,kukomboa familia https://youtu.be/FkDv56OFfU4?si=jN_fOWdHzX-6RLlY
  2. Kwanini Watu Bado Wanaendelea Kuomba Kwa Nafsi za Wafu?

    Utangulizi: Katika maandiko matakatifu, tunapata maagizo ya wazi kuhusu hali ya wafu na jinsi tunavyopaswa kushughulika nao. Aya za Mhubiri 9:5-6 na Kumbukumbu la Torati 18:10-12 zinatupa mwongozo wa moja kwa moja ambao unaweza kutumika katika mjadala huu. Hata hivyo, bado kuna desturi miongoni...
  3. Je, kwa mujibu wa Biblia kumwagia nje wakati wa tendo la ndoa ni dhambi?

    Jf Amani iwe kwenu nyote. Kama kichwa cha habari kinavyosema je ni sawa ama sio sawa kumwangia nje wakati wa kugonoka? Katika hali ya kawaida kabisa ktk jitihada za kupanga uzazi wa mpango leo hii njia tunautumia tofauti na hii njia ya kumwagi nje ni mojawapo na ni kongwe ya enzi na enzi...
  4. Biblia: Wanawake na Wanyamaze katika kanisa

    Nawasalimu katika jina pendwa la Bwana wetu Yesu Kristo . Mfalme wa utukufu. Nimewaandikia hili kuwakumbusha hila za ibilisi,na njia yake kuu anayoitumia yakugeuza maandiko. Nakufanya watu waishi kinyume cha neno la Mungu. Yeye amefanya hivyo mara zote, kufanya watu waone hamna shida. Lakini...
  5. Maisha ni ubatili! Mnataka kusema sisi wenye miaka 50 tumebakisha miaka 20 kuondoka hapa duniani kama umri wa Biblia unavyosema?

    Now I'm doing 50+ Leo nimesoma Bible nikaona umri wa binadamu kuishi ni miaka 70 Nimegundua I have only 20 yrs kuwepo hapa Jamvini na duniani. Nilichoamua kufanya nimeona nianze Kuwa Karibu na jamii na kuangalia namna ya kuacha legacy yoyote ile.
  6. Jumapili yako.. Tuandikie neno moja la Biblia likupendezalo

    Maana Mungu hakutuitia uchafu, bali tuwe katika utakaso.Basi yeye anayekataa, hakatai mwanadamu bali Mungu, anayewapa ninyi Roho wake Mtakatifu.Katika habari ya upendano, hamna haja niwaandikie; maana ninyi wenyewe mmefundishwa na Mungu kupendana. 1 Wathesalonike 4:7-9
  7. Canada is the next india

    Sio kila unachokipanga ndicho kitakacho kamilika Msemo uo umemkuta waziri mkuu wa Canada Justin trudeau Aliingia madarakani mwaka 2015 - mpaka sasa Justin trudeau alivyoingia madarakani akaja na system yake ya immigration. Kwa maono yake alikuwa anataka kuingiza temporary immigration kama...
  8. Andiko hili katika Biblia ndio kifungu katili zaidi kuwepo Duniani. Je, ni kweli Mungu aliamrisha ukatili wa namna hii?

    Mzuka Wana jamvi. Bila kupoteza muda naombeni Maarifa na uchumbuzi wa kina juu la andiko hili NB : Lengo la huu Uzi ni kupata Maarifa kama hauna hoja na Maarifa yanayohusiana na Uzi pita kushoto mapema. Kwa wasiojua Kiswahili au Foreigners nimewarahisishia kazi.
  9. S

    Ni kwanini kitabu cha Henoko kilifichwa/ kiliondolewa kwenye Biblia? Je, ilikuwa ni mpango wa shetani??*

    Je, Ilikuwa ni mpango wa shetani?? 💫💫💫💫💫 © Mwl. Makungu Ms 0743781910 Ndugu mpendwa, watu wengi hawajui ya kuwa wakati Biblia inaandaliwa/ inakusanywa ili iwe mjumuiko wa vitabu vya pamoja, kuna vitabu vingine havikuingizwa. Na vingine viliingizwa halafu baadae vikatolewa tena...
  10. D

    Hivi why watawa au mapadre wako exempted kutoa sadaka? Mi sijui sababu na probably hata kwenye Biblia haimo

    Nimeshangaa sana leo wakati naenda kutoa sadaka. Yule msimamizi anayesimamia kunyanyuka bech kwa benchi alipofika walipo masista na ilikuwa robo ya watu wote , aliruka as if wao siyp watu kama sisi. Huu unyonyaji jamani mpaka kanisani! Halafu hawa watawa wanaendesha mikoko ya maana mitaani na...
  11. Usijizime data! Wewe kama ni msomi unaijua fika kuzimu hile ya Biblia ikoje!

    Utangulizi: Katikati ya kiini cha dunia kuna joto kali sana, na halijoto ni kuanzia 7200–9000℉ (4000–5000℃) linasababisha kuungua na kufanya uji wa mawe, miamba na madini magumu kama nickel. Hapa kwenye kiini (core/mantle) kuna joto lenye shinikizo (pressure) kubwa kiasi cha kuweza kutoka nje ya...
  12. Kwa mujibu wa Biblia manabii wa uongo bado hawajatokea, hawa niwatafuta maisha tu

    Kwa utafiti wangu wa maandiko, manabii wa uongo bado hawajaanza kuja. Hawa tunaowatuhumu ni watafuta maisha, wanasaikolojia, waganga na wachawi wa kawaida tu. Biblia imetabiri watafanya Ishara hadi kushusha moto. Hapa bado sijaona nabii yoyote akifanya ishara yoyote ya ajabu. Vyote ni vya...
  13. R

    Eti ni kwanini ndani ya BIBLIA hakuna simulizi za utani Wala mzaha, tunapata fundisho Gani?

    Salaam,Shalom!! Enyi Wana wa Mungu msomao BIBLIA, ni wapi umewahi kusoma simulizi yoyote yenye utani au mzaha? Yaani ukakuta Mungu akimtania Nabii wake, au Nabii alifanya mzaha Kwa wafuasi wake? Hii mizaha na utani wafanyayo watumishi wa Mungu wa Leo wakiwa madhabahuni wanaitoa wapi? Wana...
  14. Wasomaji wa Biblia Kwanini shetani hakumgusa mke wa Ayubu

    Wanatheolojia wa jf, baada ya kupitia kitabu cha Ayubu kilicho andikwa mambo mengi ambayo shetani alimtendea Ayubu kama majaribu. Kama ilivyo andikwa shetani alirdhuru mifugo,wajakazi,utajiri,watoto na zaidi afya ya Ayubu mwenyewe ,ila mke wake yeye tu alikua safe, wanasema Kila kitu na sababu...
  15. Msimamo wa Kundi A: Mstari gani kwenye biblia unaweza kuipeleka Yanga robo fainali?

    Msimamo upo taiti sana kwa Yanga, msimamo unamaanisha kwamba kuna timu ina point moja tu ikishika mkia. Nayo inataka kuingia robo fainali. Yaani timu zingine pale juu ziwe zinaitazama tu ikiingia robo, just imagine Sio kwamba haiwezekani. Mungu ana miujiza yake Kwa hiyo ina hitaji maombi mazito...
  16. Hivi kulingana na biblia nani alikuwa ni nabii wa mwisho na nani alikuwa ni mitume wa mwisho ?

    kulingana na mtiririko wa biblia wa manabii unaishia kwa yohana kama ndie nabii wa mwisho yani yule alieandika kitabu cha ufunuo ambacho ndio kitabu cha mwisho kwenye biblia na ukiangalia manabii wote katika mtiririko wa biblia walikuwa ni waisrael na sio wa mataifa tofauti na hilo na hawakuwai...
  17. Je kuna watu wako hai mpaka sasa Kama walivyoahidiwa na Bwana Yesu?

    Reference: Marko 9:1 Luka 9:27 Mathayo 16:28 Mistari yote hio ina ujumbe unaofanana, ya kwamba Maneno hayo yalitamkwa na Bwana Yesu mwenyewe akiwa katika mwili wa damu na Nyama akiwaambia kuna watu watauona ufalme wa Mungu kabla ya kufa.. Kumbuka ishapita miaka elfu 2 mpaka sasa Je, hao...
  18. Mfalme jemsi(king Jems) muandishi wa biblia

    Mfalme James I wa Uingereza (na VI wa Scotland) alikuwa mtu wa kipekee katika historia, si tu kwa mchango wake wa kidini na kisiasa bali pia kwa maisha yake binafsi na maandiko aliyoyaacha. Ingawa hakuna uthibitisho wa moja kwa moja, kuna mjadala wa kihistoria kuhusu maisha yake ya binafsi...
  19. J

    Prof. Kabudi ataka Elimu ya Biblia itolewe shuleni kuanzia Chekechea hadi Sekondari na Biblia zigawiwe Bure ili kulinda Maadili

    Waziri wa Katiba na Sheria Prof Kabudi ametaka Elimu ya Biblia iingizwe Kwenye mitaala ya kuanzia Chekechea hadi Sekondari Prof Kabudi amesema zitengwe fedha za kuchapisha Biblia Ili zigawiwe Bure Kwa wanafunzi Katika Jitihada za kulinda Maadili yanayoporomoka Kabudi amesema hayo kwenye...
  20. Kwenye biblia uafrika umetajwa mara nyingi 56 kwenye agano la kale ila mzungu ndo anapewa hatimiliki ya biblia na ukristo

    Katika jamii ambayo watu ni rahis kuwa brainwash basi ni waafrika Mfano:- neno kush likimaanisha mwafrika limetajwa mara nyingi sana mke wa musa alikua ni mwafrika, sefania alikua ni mwafrika na malkia wa sheba alikua ni mwafrika Ila ni kawaida sana kukuta mwafrika anawapa umiliki wa ukristo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…