biblia

Byblos (Arabic: جبيل‎ Jubayl, locally Jbeil; Greek: Βύβλος; Phoenician: Gbl, probably Gubal) is the largest city in the Mount Lebanon Governorate of Lebanon. It is believed to have been first occupied between 8800 and 7000 BC and continuously inhabited since 5000 BC, making it one of the oldest continuously inhabited cities in the world. It is a UNESCO World Heritage Site.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Lini kutakuwa na Mashindano ya kusoma Biblia kama ilivyokuwa Quran?

    Lini Mashindano ya kusoma Biblia? kama ilivyokuwa Quran? Au ni vigumu kuihifidhali? Wadau wanaosoma biblia hebu watwambie. Hichi kitabu kinahifadhika?
  2. R

    Makinika, kumiliki smartphone bila kudownload BIBLIA ndani yake, ni ushamba mkuu!!

    Salaam ,Shalom!! Umeshawahi kujiuliza nini kinaweza kukutokea ikiwa utajifunga kitambaa cheusi machoni na kutembea barabara ya mwendokasi? Katika nyakati hizi tunazoishi, simu ya mikononi inachukua muda, nafasi kubwa sana katika maisha ya Kila siku, ni device ambayo muda wote uko nayo, sisemi...
  3. Gulio Tanzania

    Faida nilizipata baada ya kuanza kusoma neno la Mungu ( biblia)

    Watu wengi wamejikita kwenye mambo yao bila kumshirikisha Mungu kikamilifu kwa kusoma neno lake kikamilifu hata wakristo wanaoshinda kanisani wengi siku hizi hawasomi neno zaidi ya kutafuta miujiza utakutana mkristo biblia anaifungua siku za Ibada tu Yani jumapili hadi jumapili na hii ndio...
  4. Ndagullachrles

    Benki yabariki wizi fedha za chuo cha Kanisa la Biblia Moshi

    Mgogoro wa madaraka Katika kanisa la Biblia Tanzania Kanda ya Kaskazini ,Sasa umefikia pabaya baada ya kundi linaloongozwa na Legius Nchimbi kuwasilisha nyaraka za kughushi za mabadiriko ya watia saini kwenye benki moja hapa Moshi na kuchota kiasi kikubwa cha fedha. Kundi hilo kwa kumtumia...
  5. GoldDhahabu

    Biblia, kitabu kilichopigwa vita sana lakini kimeendelea kuongoza kwa kusomwa na watu wengi

    Kimepigwa vita na watu binafsi, watawala na Serikali mbalimbali lakini limeshindikana kuifuta. Kwa miaka mingi sana, kimeendelea kusomwa na kinaendelea kusomwa sehemu mbalimbali duniani. Kukutwa na Biblia nchini Korea Kaskazini ni ama adhabu ya kifo au adhabu ya mateso. Nchini Libya, nako...
  6. OMOYOGWANE

    Manabii na mitume wa leo kwanini hamuandiki biblia ya agano la leo

    Habari wakuu, Hapa bongo tuna manabii na mitume wa kutosha tena ni wengi kuliko hata wale wa israel wa kule kwa Netanyau kama vile Matayo, samwel, petro, yuda, timo na warumi. Hapa tunao manabii machachari akina Mwamposa, Malisa, Kapora, Mzee wa upako, Titto na wengineo wengi. Hawa wateule...
  7. U

    Je Zakayo Mtoza ushuru wa kwenye Biblia alikuwa na ufupi wa aina gani? wa kawaida au wa mbilikimo ? alikuwa ameoa? alikuwa kabila gani?

    Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika hapo juu Wenye elimu mtuelimishe zaidi kuhusu ndugu yetu huyo aliyepata umaarufu baada ya kubahatika kutembelewa na Bwana wetu Yesu Kristo nyumbani kwake. Karibuni tujifunze
  8. Pdidy

    Mambo mengine hamfanikiwi kutokana na dhambi, sio uchawi wala mapepo

    Gudmng Tukamate hii kutoka kwa mwl Newton Gordian “Ukweli ni kwamba mambo mengi tunayokwama na kushindwa kufanikiwa hayatokani na mapepo wala wachawi ila asilimia kubwa inatokana na kutokutii sauti ya Mungu na kutokufuata maagizo yake. Kuna wakati wala wachawi hawahusiki wala mapepo ila ni...
  9. USSR

    Kwenye biblia kuna Yesu wawili Yesu kristo na Yesu mchawi ,Manabii wanamtaja Yesu mchawi

    Nataka Ufahamu Neno Moja wewe mwana wa Mungu Ambaye Umekuwa ukitishwa na Hawa manabii wa Uongo na wanataja Jina la Yesu na Umekuwa ukichanganyikiwa Sana unapo sikia Jina Hili likitajwa na huenda Umekuwa ukijiuliza Kama Ni washetani mbona wanataja Jina la Yesu, ngoja Sasa nikufungue macho leo...
  10. Ivan Stepanov

    Usomaji wa Maandiko ya kidini (Biblia)

    Inawezekana hapa si mahala pake lakini ningependa kusaidiwa na wahusika ambao najua wapo hapa. Ni vile nimelitafuta jukwaa la dini katika forums zilizopo na sijaliona. HIvi, mantiki ya kusoma Biblia iko wapi? Kwakifupi tu ni kwamba sisi wengine (kama walivyo wengi) tumezaliwa katika dini...
  11. chiembe

    Elibariki Kingu: Mpina alilipa kila chombo cha habari 10,000,000, wabunge watoa tamko kumlaani wakinukuu korani na biblia

    Ni rasmi sasa Mpina ni mbunge aliyelaaniwa. Hii imetokana na Askofu Gwajima kunukuu aya ya biblia ambayo wabunge waliitikia ameen, aya hiyo inapinga kumfitini nduguyo. Baadhi ya wabunge walimfananisha Luhaga Mpina na nguruwe, na wengine walimfananisha na nyani. Elibariki Kingu ameeleza Bunge...
  12. M

    Biblia inasema ni ruksa kumpiga mtumwa wako. Mungu mwenye upendo ananichanganya

    Habari wadau. Kuna mistari ya biblia inanichanganya. Mungu mwenye upendo anatoa maagizo kupitia biblia yasiyoendana na upendo wake.
  13. U

    Wasabato mnadai Kanisa Katoliki ni alama ya mpinga kristo lakini bado mnaamini Biblia waliyoindaa Karne 16 zilizopita?!

    Wadau hamjamboni nyote? Nimekuja na mada kama ifuatavyo Mabaraza ya Makadinali wa Kanisa Katoliki kwenye Mtaguso wa Roma (382) na Trento (1546) walisimamia mchakato wa kuchambua, kupangilia pamoja na kuidhinisha vitabu 73 - 46 katika Agano la Kale na 27 katika Agano Jipya - ambayo...
  14. BARD AI

    Je Biblia inajipinga yenyewe katika maandiko yake mfano Zaburi 109 inapingana na Mathayo 18:21?

    Zaburi 109:Hii ni zaburi ya Daudi inayojulikana kama "Zaburi ya Kulaani." Katika zaburi hii, Daudi anamlilia Mungu awaadhibu maadui zake kwa maneno makali na malalamiko mazito. Mfano, katika Zaburi 109:9, Daudi anaomba Mungu, "Watoto wake na wawe mayatima, na mke wake awe mjane." Mathayo...
  15. Mto Songwe

    Hivi Mungu wenu bado yupo au amekufa? Au zile zilikuwa hadithi tu za vitabuni?

    Ujue siwaelewi. Nashindwa kuelewa mpaka sasa huyo Mungu anayepata sifa kede kede katika hivyo vitabu vyenu Biblia na Quran mpaka sasa hizo sifa zake ameshindwa kuzionesha kwa wafuasi wake. Angalia wafuasi wake pale Palestine wapo tayari kwa nguvu zao kulinda ule msikiti usitwaliwe na waisrael...
  16. T

    Biblia Mwanzo 4: Kwa nini Kaini baada ya kumuua Abel, aliogopa watu wengine watamuua, hao watu ni kina nani?

    Msingi wa dini uko kuanzia mwanzo 1 inayoelezea uumbaji wa Mungu wa binadamu wa Kwanza. Baada ya Adamu kuubwa, alipewa mke wake akamuita Eva, wakazaa watoto 2, mmoja Abeli mwingine Kaini. Hao watoto mmoja akawa mkulima (Kaini) na mwingine Abel mfungaji. Mmoja, Abel akapata kibali machoni pake...
  17. KING MIDAS

    Biblia na Quran vinachangia kiasi gani kwenye Pato la taifa? Watumiaji wa vitabu hivi acheni kuwasakama walevi, wao ndio wanajenga taifa letu

    Inasikitisha sana. Vitabu vya dini havina Kodi, kama vina Kodi basi ni kidogo sana. Pombe zinaingizia Serikali faida kubwa kupitia Kodi. Hivyo walevi ndio wajenga nchi yetu. Barabara zetu, shule, vituo vya afya na mambo mbalimbali ya kimaendeleo yanategemea zaidi walevi kuliko walei. Cha...
  18. Victor Mlaki

    Biblia inaonesha kurejea vitabu vingi ambavyo havipo: Je, kuna siri imefichwa?

    Katika mambo yanayoshangaza ni namna Biblia inavyoonesha kurejea vitabu vingi ambavyo havipo ndani yake. Swali la kujiuliza ni je vitabu hivyo vimetajwa tu havipo au vimeondolewa? Na kama vimeondolewa ni kwa nini? Ni nani anafaidika na kutokuwepo kwa vitabu hivyo? Angalia namna maandiko haya...
  19. M

    Biblia imesisitiza zaidi kwenye kusaidia zaidi wenye uhitaji na sio kumtajirisha mmiliki/mchungaji au nabii wa kanisa kwa kigezo cha zaka na sadaka.

    Kwenye nyakati tulizopo kumekuwa na utapeli mkubwa miongoni mwetu wakristo kuhusu mambo ya zaka na sadaka. Kuna viongozi baadhi hutumia biblia vibaya kuwatisha waumini wao kwamba inatakiwa sadaka (pesa) zote zipelekwe kanisani. Wengine wameenda mbali zaidi kuwa hata kile kidogo ulicho nacho...
  20. Ritz

    Mgogoro Hamas vs Israel: Bunge lapitisha sheria inayotoa ufafanuzi wa 'Chuki dhidi ya Wayahudi' ili Idara ya Elimu itekeleze sheria ya kupinga ubaguzi

    Wanaukumbi. Bunge la Marekani limepitisha kitendo ambacho kinapiga marufuku kabisa kuongea na kupinga Israel. Hata ukihubiri sehemu za biblia zinazosema wazi siku ambazo Wayahudi walimuua Kristo utakamatwa. Sheria ya "antisemitism" ambayo imepitishwa hivi punde katika Bunge HAIFAI tu kuwa...
Back
Top Bottom