biblia

Byblos (Arabic: جبيل‎ Jubayl, locally Jbeil; Greek: Βύβλος; Phoenician: Gbl, probably Gubal) is the largest city in the Mount Lebanon Governorate of Lebanon. It is believed to have been first occupied between 8800 and 7000 BC and continuously inhabited since 5000 BC, making it one of the oldest continuously inhabited cities in the world. It is a UNESCO World Heritage Site.

View More On Wikipedia.org
  1. Biblia kitabu cha Ajabu Sana

    Mwaka ujao nitajitahidi nifike pale Israel nikajionee jinsi Mji wa Daudi na Ushahidi wa Kihistoria na Kibiblia, gharama za kuingia kufanya ziara ni shekeli 45-60 sawa na 30,000-40,000 ya kitanzania . Hebu tuone kidogo kuhusu huu unaoitwa Mji wa Daudi Kiaikolojia na Kibiblia, Mji wa Daudi ni...
  2. Biblia ilivyosema msinyimane nadhani ilimlenga zaidi mwanamume kwa sababu ndo humkinai mke haraka

    japo ni ushauri wa mtume paulo ila kwetu sisi wakristo tunamuona kama ni mtu muhimu nyaraka zake tunazitumia yeye alisema kwamba wanandoa wasinyimane penzi. Nachokiwaza mimi aliyekuwa anaombwa kuwa na uvumilivu ni mwanaume kwa sababu wanandoa wakizoena na kuishi pamoja mume huanza kumuona mke...
  3. Biblia Takatifu: Mathayo 7:22-23 ni angalizo linalohitaji maarifa (Wakristo tupo kwenye mtego mkali sana)

    Matt 7:22-23 "Wengi wataniambia siku ile, Bwana, Bwana, hatukufanya unabii kwa jina lako? na kwa jina lako kutoa pepo?, na kwa jina lako kufanya miujiza mingi?. Ndipo nitawaambia dhahiri, Sikuwajua ninyi kamwe; ondokeni kwangu, ninyi mtendao maovu." Andiko tajwa hapo juu ni zito sana, na...
  4. Trump ametangaza rasmi kuirudisha biblia Marekani (Marekani ni Taifa la Mungu)

    Rais wa Marekani anaye tarajiwa kuapishwa, Donald Trump ametangaza rasmi kuirudisha biblia Marekani. https://youtu.be/R9Nh6v8ivh0?si=i4su5eN3M7E2k_kA
  5. M

    Wakubwa wanaosimamia chaguzi wajue waliapa kwa Qur'an na Biblia- Mwenyezi Mungu hataniwi

    Umezuka mchezo nchini wa watawala kutoheshimu haki za raia, kutoheshimu viapo vyao. Na hii yote ni kwa sababu ya Kibri cha madaraka. Kibri cha kujiona "wakubwa" na kwamba ni untouchable. Kwa kiburi hicho, hawa wenye dhamana huvunja viapo vyao walivyoapa kwa kushika Qur'an na Biblia halafu...
  6. Naombeni app ambayo ina biblia ya kikatoliko

    Salam wanaukumbi Nimejaribu kuperuzi playstore kupata biblia ya kiswahili yenye vile vitabu vya ziada (Tobiti, Wimbo ulio bora, Baruku, Hekima ya Suleiman, Judith, etc) Mwenye kujua jina tafadhali
  7. Tashwishwi ya Biblia kweli ni kitabu cha Mungu?

    BAADHI YA MISTARI YA BIBLIA 2 samweli 1:18 (Kama ilivyoandikwa katika kitabu Cha YASHARI), akasema , wana wa Yuda wafundishwe haya. Yoshua 10:13 Ndipo jua likasimama, na mwezi ukatulia, Hata hilo taifa lilipokuwa limekwisha jipatiliza juu ya adui zao. Hayo, je! Hayakuandikwa ndani ya kitabu...
  8. Leo nimejaribu kusoma Biblia japo kidogo tu ila nahisi kuchanganyikiwa

    Nimeanza na kitabu cha waebrania sura ya Kwanza mstari wa kwanza hadi wa 14. Kusema kweli sijaelewa Jinsi Mungu na Mwanae walivyojipambanua. Aliyeelewa naomba Ufafanuzi wa kina.
  9. Kama ilipo Israel siyo Israel, Wayahudi wanaotajwa kwenye Quran na Biblia walikuwa wanaishi wapi?

    Kuna hoja ipo kuwa pale ilipo Israel kwa Sasa si Ardhi ya waisrael bali wapalestina. Binafsi nakubaliana na hoja hiyo. Lakini swali la kujiuliza ni kwamba, kama ilipo Israel kwa Sasa siyo nchi ya waisrael, jee pale Mashariki ya kati, waisrael wanastahili kuwepo kwenye nchi Gani? Quran na...
  10. Tusome Bibilia

    Mpenzi, usiuige ubaya, bali uige wema. Yeye atendaye mema ni wa Mungu, bali yeye atendaye mabaya hakumwona Mungu. 3 Yohana 1:11
  11. Kwanini tupo Duniani? Hadithi ya kutisha ukweli kuhusu Biblia

    Luka 8:17 - Hakuna siri ambayo haitafichuliwa, wala hakuna jambo lililo fichika ambalo halitajulikana na kuwekwa wazi Tuzungumzie huu ndio ukweli ambao hakuna mtu anayetaka kuuzungumza juu yake, vipi ikiwa binadamu hapo mwanzo wa dunia hakukusudiwa kuwa hapa hii dunia? Sasa kabla haujafikiria...
  12. Upotofu, ulaghai na uchafu ndani ya kanisa kiini chake kikubwa ni viongozi wa dini kukwepa haya hizi mbili ndani ya Biblia

    Hallelujah! Mimi ni mkristo, siandiki hapa kwa lengo la kuufedhehesha Ukristo hapana. Natamani turudi kwenye Ukristo ule ambao sifa tu inatosha kuleta uponyaji wa kimwili na kuleta bubujiko la kiroho tofauti na sasa sifa ipo tu kama desturi. Mtu ametoka kuzini jana leo anashika mike kuongoza...
  13. Hizi ni stori za kwenye Biblia ambazo zimeniacha na maswali sana

    Mimi ni mkristo na ninaamini Mungu yupo na anatenda. Ila kuna mambo ukisoma kwenye biblia lazima ujiulize maswali mengi sana yanayokosa majibu. Leo nitashea nanyi mambo ambayo naona kama yana ukakasi; 1. Kwenye Mwanzo 1:26 imeandikwa kuwa Mungu alisema tuumbe mtu kwa mfano wetu. Nimejiuliza ina...
  14. Mjadala usiwe mrefu: Pombe siyo dhambi Wala haijawahi kukatazwa mahala popote Kwenye biblia Takatifu

    Ukiacha ushabiki na kufuata yale wasemao viongozi wetu wa dini Kwa sababu wanajua tukinywa pombe Kwa namna Moja ama nyingine watakoswa sadaka. Hii imekuwa ndo mbinu Yao kubwa ya kuwa hadaa wale wasio jua maandiko vizuri. Kwa wachache tulio amua kuyachunguza maandiko Kwa undani wake tukaona ni...
  15. Freeman Mbowe: Kivuli cha Mfalme Daudi Kwenye Biblia katika Serikali ya Samia

    Freem Mbowe, kama kiongozi wa upinzani nchini Tanzania, anaweza kuhusishwa na Mfalme Daudi wa Biblia kwa njia kadhaa. Mfalme Daudi anajulikana kwa uongozi wake wa busara, ujasiri, na uwezo wa kuunganisha watu kwa malengo ya pamoja. Katika muktadha wa kisasa wa siasa za Tanzania, Mbowe...
  16. Benjamin Netanyahu: Je, ni Kivuli cha Mfalme Daudi Kwenye Biblia?

    Mfalme Daudi ni moja ya watu mashuhuri katika Biblia, na vita alivyopigana vinaelezewa hasa katika vitabu vya 1 Samweli, 2 Samweli, na Zaburi. Hapa ni baadhi ya vita muhimu alivyopigana kwa mujibu wa Biblia: 1. Vita dhidi ya Goliathi (1 Samweli 17) Akitumia kombeo na mawe matano, alimshinda...
  17. Sijawahi ona Kiboko ya Wachawi kashika biblia, nina wasiwasi hata Biblia haijui

    Huyu jamaa kweli alikuwa tapeli aliyewasha taa haikuhitaji mwanga kumuona. Ni tapeli, muhuni afu Lina kejeri na jeuri za kishamba Hasomi hata Biblia wala kutumia mifano kwa kusoma neno la Biblia mpaka ibada inaisha yeye mda wote yupo busy kufanya maigizo ya kutoa mapepo na kuleta ushahidi wa...
  18. Tusome wote Biblia Takatifu kwa sauti kubwa

    Mwanzo 9:6 Inasema Atakayemwaga damu ya mwanadamu, damu yake huyo itamwagwa na mwanadamu, maana kwa mfano wake Mungu alimfanya mwanadamu.
  19. G

    wanaume wenye homoni nyingi za kike na wanawake wenye homoni nyingi za kiume wanazungumziwaje kwenye biblia na Quran?

    Ni nadra kuwakuta ila wapo na watu huwadhania ni jinsia tofauti ni mpaka wakijuzwa zaidi lakini mijadala huanza "huyu ni mwanaume kweli?" "huyu ni mwanamke kweli?" Unamkuta mwanaume ana hormone imbalance ana hips, makalio makubwa, mapaja makubwa, ana sura ya kike, tabia za kike, n.k. vitabu...
  20. J

    Amini usiamini vita waliyoianzisha Hamas huko gaza imefungua ukurasa mpya wa ufahamu na utapelekea kutimia kwa tabiri muhimu za biblia

    Nakusihi utumie muda wako kujielimisha kupitia mahojiano haya kwenye video hapa chini ambayo Zuby (gwiji aliyepata kumhoji Elon Mask) anamhoji Loay Alshareef, msaudia aliyezaliwa na kukulia Saudia ila kwa sasa amefanya makazi yake Abbudhabi, UAE. Highlights za mahojiano Zuby akiwa mtoto wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…