1 Tim 4:12 SUV
Mtu awaye yote asiudharau ujana wako, bali uwe kielelezo kwao waaminio, katika usemi na mwenendo, na katika upendo na imani na usafi.
Lk 2:52 SUV
Naye Yesu akazidi kuendelea katika hekima na kimo, akimpendeza Mungu na wanadamu.
Efe 6:11-18 SUV
Vaeni silaha zote za Mungu, mpate...